Biashara ya Ngono jijini Dar inatisha, yazidi kunawiri

Sasa maisha ya watu yanahusu nini huku???
Kama hujaelewa mada unawashwa nini. Si uulize vizuri ama


Labda nikusaidie kidogo..
Lambo ndo kijiwe haswaa cha ukahaba. Ni motel. Hapohapo manzese tip top. Zamani kituo cha chama. Ila lambo pamepooza siku hizi baada ya sekeseke

Mziwanda ni next kichochoro hapohapo. Ni kijiwe kingine. Kijana aliyeachiwa urithi yeye mwenyewe ni mdau wa hizi mbishe. Ile mziwanda inn kaongeza vyumba. Humo ndo mishe zinapigwa. Watu wanalipia kwa bao ama dakika kadhaa. Humohumo kikana amekusanya wanawake aliowazalisha. Na wanaishi na watoto wao hapohapo. Wewe unaona ni sawa? Maisha ya watu wakati yanaathiri maisha ya wengine? Hasa watoto? Arrogant
 
Ni hatari sana na wanaume wanaonunua wana roho ngumu na hawana kinyaa yaani unajua kabisa unaweza ukawa ni 13 hivi kwa siku hiyo na bado unaenda na wewe sehemu walipotoka wenzio🤔
Huyo ke wako alikuwa Bikra?? unadhani huchapiwi kisiasa wewe?!!! Pima DNA mtoto wa kati km ni wako!! tena kitakwimu ndoani mnaoongoza kwa ukimwi kuliko hao Ma CD!!! utashangaa mbinguni wanaenda kiulaini! km hujui hao ndo wa kuoa kabisaa!

umalaya wa Dangulo ulikuwepo hata kabla ya Yesu, na mpaka leo unarindima Shetani anabadili destiny zao maksudi! hao wanavipaji sana km wakipata mtu sahihi!!

Hivi unajua mfalme Suleiman ni matokeo ya umalaya wa mfalme Daudi? dhidi ya mke wa Huria? na ndo alirithi ufalme wa israel kafanya makubwa ya Mungu kuliko wale wa halali ya ndoa mfano Abosalom ni mtoto halali wa ndoa lkn alitaka kumuua mfalme Daudi, au umeamua kuropoka tu!
 
Hee mkuu kwanza mimi siyo me, nna mbususu pili sina mtoto hata wa kusingiziwa na je wapi niliporopoka hadi unishushie mpovu huo wa omo ? Kusema unaenda walipotoka wenzio ni kuropoka? We nyau vipi wewe
 
Makahaba 'wengi' hawana magonjwa, wenye magonjwa 'wengi' wao ni wale waliingia huko baada ya kujigundua wanayo.
Dah sasa hapo ndiyo ngumu kujua yupi aliingia huko kabla ama baada, je wateja wa aliyeingia huko baada hawaendi na kwa ambao hawakua na magonjwa? hiyo cycle yake hapo mmh
 
Mmh sawa ila erection ni feeling sasa kwa mtu ambaye hata si mpenzi wako hiyo erection itatokea kweli na ukikumbuka huenda wewe ni wa 19 kuchovya🤔
Feeling ya wapi wewe,msidhani hisia zenu ndio za mwanaume,spemu zikijaa tu zinahitaji kutoka tayari erection hiyo haihitaji feeling au kuchagua demu.

Mambo ya kuchagua demu huwa ni mbwembwe tuu yeyote anakojolewa ilimradi zitoke
 
Then serikali wanalialia juu ya vyanzo vipya vya mapato kumbe huku tunaweza kusanya mzigo wa kutosha.
Ndio maana mimi nimesema kama watu wanahonga na guests na mabaa yanajaa,sherehe zinafanyika ni mpuuzi tuu huko Serikalini ndio anaweza toa hii kodi ya miamala.
 
Feeling ya wapi wewe,msidhani hisia zenu ndio za mwanaume,spemu zikijaa tu zinahitaji kutoka tayari erection hiyo haihitaji feeling au kuchagua demu.

Mambo ya kuchagua demu huwa ni mbwembwe tuu yeyote anakojolewa ilimradi zitoke

Halafu zikishatoka sasa ndo unaanza kuwaza ilikuwaje, kisha unaamua kama irudiweeeee au imeisha hiyoooo..!![emoji1493][emoji1493][emoji1493]
 
Ohoo

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
[emoji3][emoji3]Nowdays nimeacha hizo mbishe mzee..nimeokoka.

Ila truth be told..malaya wote niliopita nao wana papuchi mnato kinoma..sijui wanazibanaje.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116]

"[emoji3][emoji3]Nowdays nimeacha hizo mbishe mzee..nimeokoka"
 
Hee mkuu kwanza mimi siyo me, nna mbususu pili sina mtoto hata wa kusingiziwa na je wapi niliporopoka hadi unishushie mpovu huo wa omo ? Kusema unaenda walipotoka wenzio ni kuropoka? We nyau vipi wewe
Mm!!mm! thawa banaa! miie nyau bana si umeamua hivo!! Mm!mm!! wa kunipiga makofi, mateke humu ni wewe tu!! hkn mwingine thatha ntafanyaje! moyo huu! yamenikuta... mie na Mbususu damudamu yaani huwaga sitii neno labda pia sikujua aisee!! loool

ya usingizi wangu tena na hako kajicho kako mwee!! umenijulia kweli!! nakumbukaga mbali mpaka nalia ila hujui tu! wa kunigalagaza ni wewe tu baby financial.... fanya utakavo najiachia mwaa!! hkn mwingine haki ya naniii.... nafuta kauli ndo ujue mbusus ina nguvu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…