OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
- #401
oyaa kuna watoto humuMnaijua kitu inaitwa telegramView attachment 1885801
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
oyaa kuna watoto humuMnaijua kitu inaitwa telegramView attachment 1885801
dah mkuu umetoa madini mpaka nimekubali jf kuna vichwa hatari . salute kwakoHuyo ke wako alikuwa Bikra?? unadhani huchapiwi kisiasa wewe?!!! Pima DNA mtoto wa kati km ni wako!! tena kitakwimu ndoani mnaoongoza kwa ukimwi kuliko hao Ma CD!!! utashangaa mbinguni wanaenda kiulaini! km hujui hao ndo wa kuoa kabisaa!
umalaya wa Dangulo ulikuwepo hata kabla ya Yesu, na mpaka leo unarindima Shetani anabadili destiny zao maksudi! hao wanavipaji sana km wakipata mtu sahihi!!
Hivi unajua mfalme Suleiman ni matokeo ya umalaya wa mfalme Daudi? dhidi ya mke wa Huria? na ndo alirithi ufalme wa israel kafanya makubwa ya Mungu kuliko wale wa halali ya ndoa mfano Abosalom ni mtoto halali wa ndoa lkn alitaka kumuua mfalme Daudi, au umeamua kuropoka tu!
Used
We jamaa story yako inafanana sana na ya kwangu, yaani nachepuka tu kwa sababu home mambo hayaeleweki. Hapa natafuta mchepuko mzuri wa kumfanya nyumba ndogo kuliko kuhangaika na malaya.Nimekua nae toka utotoni mpaka ndoa, alinizoea sana, nilikua nakata Week sipati haki yangu, nilikua loyal sana kwake ila alibadilika sana baadae.
Kazi ipi hali simu zimerahisisha mtongozano.Mambo ya Demand and supply ayo uhitaji wa malaya ni mkubwa sikuizi kutongoza kazi sana
kutongoza mpaka kuja kukubaliwa ni issue kubwa sana ni kupoteza muda.Kazi ipi hali simu zimerahisisha mtongozano.
Kutongoza ni gharama sana.kisha unachatishwa kama dogo. halafu ukinunua hata mkeo hapati bugudha. bora kununuakutongoza mpaka kuja kukubaliwa ni issue kubwa sana ni kupoteza muda.
Hela utaombwa na kutoa mpaka utakoma sasa yanini kuangaika kote uko nawakati lengo ni kuitafuta mbususu ambayo hata kwa malaya aso msumbufu naipata bila usumbufu.
yeapKutongoza ni gharama sana.kisha unachatishwa kama dogo. halafu ukinunua hata mkeo hapati bugudha. bora kununua
Hela hio ni nyingi Sana Ila mwisho wa siku wanabakia na umasikini mwingi. Kwasababu zinapatikana kirahisi hata hawawazi kabisa
Waje na huku kwetu ukelewe tuwaonyeshe mziki kama hawatakimbia
Jana tulianza kuchapisha makala maalum kuhusu kushamiri kwa biashara ya ukahaba kwenye maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam.
Hata hivyo, katika uchunguzi huo imebainika kuwa, kuna kushamiri zaidi kwa watoto wadogo chini ya miaka 18 kujiingiza kwenye biashara hiyo haramu.
Timu ya waandishi wa Mwananchi imefika katika maeneo na kuzungumza na watu mbalimbali, wakiwemo wahusika ambao wameeleza masaibu wanayokutana nayo. Endelea
Ushuhuda wa wahusika
Mmoja wa makahaba wanaojiuza kwenye baa moja maarufu maeneo ya Manzese akijitambulisha kwa jina la Jack (28), alizungumza na gazeti hili na kubainisha kuwepo kwa makahaba walio na umri chini ya miaka 18, lakini akasema ni vigumu kuwabaini kwa sababu ya muonekano wa maumbile yao kufanana na watu wazima.
Anasema makahaba wanaoonekana wadogo huwa wanafukuzwa wanapojaribu kuingia katika baa hiyo, lakini wenye maumbo makubwa wanaruhusiwa kuingia.
“Ni vigumu kujua kama huyu ana umri chini ya miaka 18, lakini wale ambao wanaonekana wadogo huwa wanafukuzwa hapa. Wakiondoka unakuta wanarudi tena na kuendelea na biashara kama wengine,” alisema Jack.
Kahaba huyo anaeleza kwamba anafanya biashara hiyo kwa sababu hana shughuli nyingine ya kumwingizia kipato cha kukidhi mahitaji yake ya kila siku.
Anasema wale wateja wa haraka (short time) wanalipia Sh7,000 hadi Sh10,000 ambapo Sh2,000 wanalipia chumba kwa kila anapoingiza mwanamume na kwa siku za wikiendi anaweza kuwahudumia wanaume kati ya 15 hadi 20. “Siku za kawaida hakuna watu wengi, naweza kupata Sh40,000 hadi Sh50,000 lakini siku za wikiendi nafikisha Sh100,000 mpaka Sh150,000,” anasimulia kahaba huyo ambaye alianza biashara hiyo miaka miwili iliyopita.
Ndani ya baa hiyo (jina linahifadhiwa) kuna vyumba vya kulala takribani vinane ambavyo ndani yake kuna kitanda kwenye kila chumba na kapu la taka. Vyumba hivyo ndiyo vinatumiwa na makahaba hao kwa huduma za haraka, lakini pia kuna vyumba maalumu (VIP) ambavyo viko sehemu tofauti ndani ya baa hiyo na bei yake ni tofauti.
Majirani katika maeneo ambayo biashara hizo zinafanyika wanasema makahaba hao wanawaharibu kimaadili watoto wao kwa sababu wanaona wanachofanya na wao wanaiga, jambo ambalo ni hatari kwa maisha yao.
Kwa upande wake, mkazi wa mtaa wa Mnazi Mmoja, Kuluthum Mrisho alisema wanaishi nao hivyo hivyo kwa sababu nyumba yao ipo katika eneo hilo na hawana sehemu nyingine ya kwenda.
“Sisi tulishawazoea, kila mtu na maisha yake. Tutafanya nini, tutakwenda wapi baba yangu,” anasema mwanamke huyo.
Mwananyamala ‘Kwa Wahaya’
Mkazi wa Mwananyamala, Ramadhani Juma anasema eneo la Mwananyama maarufu kama “Kwa Wahaya” ni la muda mrefu na lilianza miaka ya 1980 walipohamia hapo kutoka Kisutu.
Anasema wanawake hao hawakuanza biashara hiyo hivi karibuni, bali walianza zamani kwa kuwafurahisha wanajeshi wa jeshi la kikoloni wakati huo.
“Hawa wanawake walihamia hapa miaka ya 1980 wakitokea mjini karibu na soko la Kisutu, hawa walikuwa pale kwa ajili ya kuwafurahisha wanajeshi wa kikoloni, siku zilivyozidi kwenda walihamia maeneo mengine,” alisema Ramadhani.
Alisema hadi eneo hilo linaanzishwa ni kwa sababu wapangaji walikuwa wanasumbua kulipa kodi, lakini kwa hawa makahaba, mwenye nyumba anakuwa na uhakika wa kulipwa bila usumbufu. “Wapangaji hawa hawasumbui katika suala la kodi, kama ni kwa mwezi au miezi sita uhakika wa kulipa upo tofauti na wengine inapofika wakati wa kulipa wanasumbua,” alisema.
“Binafsi namfahamu rafiki yangu alikuwa na nyumba ya kawaida yenye vyumba vitano, kutokana na kusumbuliwa na wapangaji aliamua kugeuza vyumba vidogo vidogo na kuwapangisha makahaba hao.
“Hii biashara ilianza kwa nyumba moja, kadri siku zilivyozidi kwenda watu wengine walinunua nyumba na kuzifanya hivyo, lengo ni kuachana na usumbufu wa kodi, kwani hawa wana uhakika wa kulipa,” alisema.
Juma alibainisha kuwa wanaofanya biashara hiyo wamekuwa wakipanga vyumba hivyo na umri unapokwenda wamekuwa wanawapangisha watu wengine.
Chanzo: Mwananchi
Mitindo ambayo ukiiomba kwako ukanyimwa na kusimangiwa, kwa kahaba unaipata kwa kuipandia dau.wanasaidiaje ndoa kudumu?
Na nyie mnapodanga walipodanga wenzenu huwa hamuoni kinyaa?Ni hatari sana na wanaume wanaonunua wana roho ngumu na hawana kinyaa yaani unajua kabisa unaweza ukawa ni 13 hivi kwa siku hiyo na bado unaenda na wewe sehemu walipotoka wenzio🤔
Sasa ww wa ukelewa si uvuke maji tu uje mwanza uoneshe huo mzikiWaje na huku kwetu ukelewe tuwaonyeshe mziki kama hawatakimbia
Kama sijakuelewa hivi, kwahiyo nanyie mnajiuza?Na nyie mnapodanga walipodanga wenzenu huwa hamuoni kinyaa?
Ikoje mkuu fungukaHuyu mwandishi aliye andaa hii story ni 45+ hata njia alizotumia kuleta hii habari ni za kizamani sana. Hivi anaijua Telegram huyu?
Yaani Baby niite vyovyote raha tu!! wee! acha tu kwanza kabisa kubwa kulko!!Jina lako kama nyau aisee kumbe Nyaru😂😂 umekua mpoleee kweli mbususu ina nguvu🙌