Biashara ya Ngono jijini Dar inatisha, yazidi kunawiri

Biashara ya Ngono jijini Dar inatisha, yazidi kunawiri

Yaani Baby niite vyovyote raha tu!! wee! acha tu kwanza kabisa kubwa kulko!!

Mbususu bana! zinatuzaa jamani! mwee! tunapita pyuu! akibana tu hkn mtu hapo!

pili zina tulea kuliko chochote hapa Duniani jamani mwee!! yaani asinge kuwa mapenzi ya Mama Sijui ingekuwaje? sasa kale ka-upendo ka Mama bwana wee! mpaka naliaga! na nikiangalia kajicho kako hako?? mmm!...

Sasa Bila mbususu ndani kwako? yaani Me'' yeyote ni zero' unakuwa km jini, ndani ya nyumba uliyojenga mwenyewe ! kwanza hkn wa kukutembelea! mbali na mbususu, Mna tulisha, mnatuogesha, mnatupa bure jamani sasa hapo usinipige makofi kweli? ukinishindwa saana naondoka na suruali moja, ntajua hukoooooo mbereeeee!

Popote palee niliko pita!! Hasa!! Jeshini bwanae Mbususu zina heshimika jamani! Mwee! watake nini wale totoz!! Maafande wakorofi km kina afande Wawa! sijui kina Manyilizu wale! wananywea nyweee!!! km wamemwagiwa maji duuu! laiti mngejua mlivo bora! heee!

yaani hii hata kwa wanyama.......Mungu kweli fundi!!!
😂😂 inaonekana unatambua mchango wetu eeh! Na umeongea kama utani ila uko vizuri 👍
 

Jana tulianza kuchapisha makala maalum kuhusu kushamiri kwa biashara ya ukahaba kwenye maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam.

Hata hivyo, katika uchunguzi huo imebainika kuwa, kuna kushamiri zaidi kwa watoto wadogo chini ya miaka 18 kujiingiza kwenye biashara hiyo haramu.

Timu ya waandishi wa Mwananchi imefika katika maeneo na kuzungumza na watu mbalimbali, wakiwemo wahusika ambao wameeleza masaibu wanayokutana nayo. Endelea

Ushuhuda wa wahusika

Mmoja wa makahaba wanaojiuza kwenye baa moja maarufu maeneo ya Manzese akijitambulisha kwa jina la Jack (28), alizungumza na gazeti hili na kubainisha kuwepo kwa makahaba walio na umri chini ya miaka 18, lakini akasema ni vigumu kuwabaini kwa sababu ya muonekano wa maumbile yao kufanana na watu wazima.

Anasema makahaba wanaoonekana wadogo huwa wanafukuzwa wanapojaribu kuingia katika baa hiyo, lakini wenye maumbo makubwa wanaruhusiwa kuingia.

“Ni vigumu kujua kama huyu ana umri chini ya miaka 18, lakini wale ambao wanaonekana wadogo huwa wanafukuzwa hapa. Wakiondoka unakuta wanarudi tena na kuendelea na biashara kama wengine,” alisema Jack.

Kahaba huyo anaeleza kwamba anafanya biashara hiyo kwa sababu hana shughuli nyingine ya kumwingizia kipato cha kukidhi mahitaji yake ya kila siku.

Anasema wale wateja wa haraka (short time) wanalipia Sh7,000 hadi Sh10,000 ambapo Sh2,000 wanalipia chumba kwa kila anapoingiza mwanamume na kwa siku za wikiendi anaweza kuwahudumia wanaume kati ya 15 hadi 20. “Siku za kawaida hakuna watu wengi, naweza kupata Sh40,000 hadi Sh50,000 lakini siku za wikiendi nafikisha Sh100,000 mpaka Sh150,000,” anasimulia kahaba huyo ambaye alianza biashara hiyo miaka miwili iliyopita.

Ndani ya baa hiyo (jina linahifadhiwa) kuna vyumba vya kulala takribani vinane ambavyo ndani yake kuna kitanda kwenye kila chumba na kapu la taka. Vyumba hivyo ndiyo vinatumiwa na makahaba hao kwa huduma za haraka, lakini pia kuna vyumba maalumu (VIP) ambavyo viko sehemu tofauti ndani ya baa hiyo na bei yake ni tofauti.

Majirani katika maeneo ambayo biashara hizo zinafanyika wanasema makahaba hao wanawaharibu kimaadili watoto wao kwa sababu wanaona wanachofanya na wao wanaiga, jambo ambalo ni hatari kwa maisha yao.

Kwa upande wake, mkazi wa mtaa wa Mnazi Mmoja, Kuluthum Mrisho alisema wanaishi nao hivyo hivyo kwa sababu nyumba yao ipo katika eneo hilo na hawana sehemu nyingine ya kwenda.

“Sisi tulishawazoea, kila mtu na maisha yake. Tutafanya nini, tutakwenda wapi baba yangu,” anasema mwanamke huyo.

Mwananyamala ‘Kwa Wahaya’

Mkazi wa Mwananyamala, Ramadhani Juma anasema eneo la Mwananyama maarufu kama “Kwa Wahaya” ni la muda mrefu na lilianza miaka ya 1980 walipohamia hapo kutoka Kisutu.

Anasema wanawake hao hawakuanza biashara hiyo hivi karibuni, bali walianza zamani kwa kuwafurahisha wanajeshi wa jeshi la kikoloni wakati huo.

“Hawa wanawake walihamia hapa miaka ya 1980 wakitokea mjini karibu na soko la Kisutu, hawa walikuwa pale kwa ajili ya kuwafurahisha wanajeshi wa kikoloni, siku zilivyozidi kwenda walihamia maeneo mengine,” alisema Ramadhani.

Alisema hadi eneo hilo linaanzishwa ni kwa sababu wapangaji walikuwa wanasumbua kulipa kodi, lakini kwa hawa makahaba, mwenye nyumba anakuwa na uhakika wa kulipwa bila usumbufu. “Wapangaji hawa hawasumbui katika suala la kodi, kama ni kwa mwezi au miezi sita uhakika wa kulipa upo tofauti na wengine inapofika wakati wa kulipa wanasumbua,” alisema.

“Binafsi namfahamu rafiki yangu alikuwa na nyumba ya kawaida yenye vyumba vitano, kutokana na kusumbuliwa na wapangaji aliamua kugeuza vyumba vidogo vidogo na kuwapangisha makahaba hao.

“Hii biashara ilianza kwa nyumba moja, kadri siku zilivyozidi kwenda watu wengine walinunua nyumba na kuzifanya hivyo, lengo ni kuachana na usumbufu wa kodi, kwani hawa wana uhakika wa kulipa,” alisema.

Juma alibainisha kuwa wanaofanya biashara hiyo wamekuwa wakipanga vyumba hivyo na umri unapokwenda wamekuwa wanawapangisha watu wengine.

Chanzo: Mwananchi
Hapo kwa wahaya in noma sana, siku moja katika majukumu yangu ya kazi nilikuwa ofisi moja ya serikali maeneo hayo.... Nikaa mpaka jioni kuna jamaa mmoja ni mlizinzi wa jengo LA ofisi akawa ananitania nikuitie mmoja nikasema mwite... Eeeh! So akapiga simu buana! DKK sifuri Huyo! Nilivyo mwona nikaanza kucheka.... Alivyo fika nikawa namtania akaona namchelewesha akanipa mgongo akaanza kunitingishia gongingo.... Militoa macho balaa.... Nikasema m/nyamala kwa wahaya sio watu wazuri
 
Wengi wameamua kufanya Digitalization, ukiangalia waliopo kwenye social media ni wengi sana, kifupi kila mwanamke anajiuza kulingana tu na anajiuzaje na bei ikoje basi.
 
40K per day, sawa na 1.2 M kwa mwezi, wastani wa 800K. Mshahara wa baadhi ya kada graduate. Hawa wanasomesha, kuhudumia mama zao, wanatuma hela vijijini. Ni sekta ya muhimu sana. Inahitaji kulindwa.
Unaibadili nyekundu kuwa njano? Ukahaba ni ukahaba na ndoa ni ndoa
 
Acha masikhara mkuu..

Yaani wale malaya wa Telegram unatafuna papuchi pekupeku?
Telegram munajiungaje,ni kidownload kwenye play store Huwa hainiletei hao Malaya,Huwa natapa telegram tofauti na hyo ya dating.Ebu nipatieni link yake niwatafute
 
Back
Top Bottom