Niende moja kwa Moja kwenye topic,Wakubwa Mambo yanakwenda kasi sana kwakweli na kwa jinsi hali hii inavyoshika hatamu kuna uwezakano mkubwa Style ya Dada poa Kusimama na kujiuza barabarani ikapungua kwa kiwango kikubwa sana , nimegundua njia zinatomika na hawa dada zetu kufanya biashara haramu ya kujiuza imebadilika na kuchukua sura mpya, kwa sasa wanakaa na pesa za vianzio kwenye sehemu za Starehe wakiwa makundi na wengine hutumia njia za simu yaani mitandao ya kijamii.
Unakuta Mwanamke Status zake zimejaa Picha zake tofauti tofauti yaani kila akipost anahakikisha ni picha mpya akiwa hivi mara vile Lovation mbali mbali,anapost tu na wala si kwa ajili ya tukio maalumu,yaani yeye anapost tu na hata caption anaweza asiweke.
Wengine wanaweka picha za Marafiki zao bila sababu za msingi huku wakiwa wamevalia vinguo vya ajabu wanapost video wakicheza vinyimbo mbali mbalimbali vya uchokozi,yaani mtu anapost marafiki zake tofauti tofauti hata Kumi na ujumbe anaandika tu labda Nimekumis hapo utakuta wapo pamoja , au Hav a nice Day Rafiki yangu, Yote haya ni njia za kufanya waotizama Status zake waingie kwenye mtego wa kuwaulizia na kwa kufanya hivyo direct unapewa contact .
Sasa hapa Kumbuka hawa ni proffesional anayekupa connection hana shida na pessa yako kwa wakati huo ila sasa Ikitokea mkapatana na huyo Rafiki yake Gafla unaanza kusikia unaitwa shemeji na hapa kwenye Ushemeji wakubwa nadhani mnaelewa taabu za kuitwa shemeji, na ukimuita yule outing wanakuja Wote na yule shemeji mtu sasa . Yaani inshort jua ukipitiwa mwanamke jua Umepata mwanamke na Shemeji kwa wakati mmoja , hawa hawaachani.
Kuna wale wa TickTock na Ista , hawa ndio balaa ,wanajipost tu kama jambo la kawaida,vichallenge vya hapa na pale,usithubutu kwenda kugusa DM zao,am tellling you ndani ya Dakika 15 unaitwa Babe.
Wapo kundi la tatu ambao wao sasa wapo verrry direct , wanaweka picha Status na wanaweka kabisa maelezo huyu anauzwa kiasi hichi na hichi kwa huduma fulani na kiasi hichi kwa huduma fulani, wanaweka na mikoa wanayopatikana.
Hawa ndio wale pia wamiliki wa magroup ya Whatsapp na Telegram wakiwa wanafanya kazi hizo.
Kwakweli Shughuli ya Umalaya zimekua nyepesi sana na hatari zaidi kuliku hata ile ya wadada poa.