Biashara ya ngono ndiyo biashara inayofanywa na Wanawake wengi zaidi

Tena walioandika biblia wamuhusisha mpaka uzao wa Yesu kuwa ni wa kahaba aitwae Tamari.
We Bibi emu rudi shule ukasome hivi huko shule kwenu Canada ndio mlifundishwa huu ujinga nauliza ndio mlisomea ujinga huu, wapi kwenye biblia walipoandika Tamari alikua kahaba? Sema Mimi ligi za udini sizipendi sababu damu yangu ni mixer nimechangwa Mkiristu Nusu Mwislamu Nusu chotara la kidini
 
Maana Malaya anakusaka km dhahabu au almasi yaan kidogo tu kakucheck ukimuuliza nini eti anataka uende ukamgonge umlipe
Ni marketing strategy... mbinu za mauzo na ukiambiwa unapendwa usiamini sanaaa... anakujaza uvimbe kichwa. (Cha juu na cha chini). Ili ukamuungishe bidhaa yake iliyododa sokoni.
 
Ni marketing strategy... mbinu za mauzo na ukiambiwa unapendwa usiamini sanaaa... anakujaza uvimbe kichwa. (Cha juu na cha chini). Ili ukamuungishe bidhaa yake iliyododa sokoni.
Ndio nasemaje huyo alikua ananisaka km vile imekuaje nilipita nae Mara moja show ile ilipoisha akasema irudiwe yeye mwenyewe aliniambia hii show nataka irudiwe nitakutafuta, Mara ya kwanza akanichombeza nikamwambia bure akakubari nikasema duuuh Malaya anatoa bure? Bure mbaya Mimi sipendi bure yaan nilipie hata ya maji Ila sio kukamua bure
 
Nipe andiko la biblia linalosema Yesu alizaliwa na kahaba ..... Usilete Qur'an ,
Sikuandika unavyosema usinitie maneno yako kinywani mwangu, kanisome tena.

Qur'an inamuheshimu sana Mama yake Yesu Bi Martam, Qur'an inasema huyo ni mwanamke bora katika wanawake wa ulimwenguni.

Qur'an in asura nzima kuhusu Bi Maryam, kitu ambacho hukipati kwenye biblia.

Qur'an inamuheshimu pia Yesu, kama inavyowaheshimu mitume wote wa Mwenyezi Mungu na haibaguwi baina yao.

Ukitaka kuelewa wapi Yesu kasingiziwa kizazi cha kahaba, kisome kisa cha Tamari kwenye agano la kale, halafu katazame uzao wa Yesu kama hujamkuta Tamari kuwa ni kizazi cha Yesu.

Usitake kubadilisha maneno yangu.
 
Huwa sikisii.

Tena siyo kahaba tu, kajifanya kahaba ili makusudi alalwe na mkwewe, jisomee:

14 Basi akavua nguo za ujane wake, akajivika utaji, akajifunika uso, akakaa mlangoni pa Enaimu, karibu na njia ya kuendea Timna. Maana aliona ya kwamba Shela amekuwa mtu mzima, wala hakuozwa awe mkewe.
15 Yuda alipomwona alimdhania kuwa ni kahaba, maana amejifunika uso.
16 Akamgeukia kando ya njia, akasema, Niruhusu niingie kwako. Maana hakujua ya kuwa ni mkwewe. Akamwuliza, Utanipa nini, ukiingia kwangu?
17 Akasema, Nitakuletea mwana-mbuzi wa kundini. Naye akamwuliza, Je! Utanipa rehani hata utakapomleta?
18 Akasema, Nikupe rehani gani? Akamjibu, Pete yako ya muhuri, na kamba yake, na fimbo yako iliyo mkononi mwako. Basi akampa, akaingia kwake, naye akapata mimba.
 
Biashara ya ngono inafanywa na wanawake wengi zaidi
Mama yako alokuzaa ni mwanamke
Kwahiyo amekuwa akifanya biashara ya ngono zaidi
,🤣🤣🤣Imepenyaaa
Wewe pia mfanyabiashara pia tena mjasiriamali kabisa na hulipi Kodi unapewa km ilivyo
 
Basi ungesema hivyo Ila aligongwa haswa na akazaa mapacha, we ushawahi kugongwa km alivyogongwa Tamari?

Kwani malaya wote si ndivyo wanavyojifanya ma kahaba?

Kama hajajifanya kahaba atapata wateja?

Sijuwi unataka kusema nini?

Hapo Tamari kafanya zaidi ya ukahaba, ne oesa kadai, tena kwa mkwewe. Halafu huyo huyo ndiye bibia imemuweka kizazi cha Yesu.

Hapo mimi kama Muislam sikubaliani nayo kabisa biblia. Kitabu gani cha Mungu kitahalalisha zaidi ya ukahaba namna hiyo? Fikiri.
 
Cosigned. Pamoja na hoja ya OP. Marriage is glorified prostitution. Whatever route it takes the end justifies the name, sex in exchange for resources.
 
Kwani unataka kusemaje? Habari ya Lutu ulishaisoma? Mwanzo 19:30-38 na hawa pia je! Walikua ni makahaba au wameandikwa kwamba walikua ni Malaya? Tena 'Lutu' aliwagonga watoto wake wote wawili kwa awamu awali ya yote alianza kumgonga mtoto wake mkubwa akamgonga haswa akamaliza kumtia Mimba akaja mdogo nae siku inayofuata pia akamgonga vile vile nae akashika Mimba, wote wawili wakazaa watoto kutokana na Mbegu za Baba yao baada ya kuwatia Mimba

Ibrahim alioa na wake watatu, alianza na Sara huku akiwa na michepuko miwili pembeni Hagari na Ketura, aalipoona Sara hazai ndio Sara akaona mchepuko Hagari awe mke na azae na Ibrahim nae akafanya hivyo akapatikana Ishmail, Sara nae akaja akampata Isaka kwa hio mpaka hapo Hagari Mama yake na Ishmail chimbuko la 'Mtume Muamed' alikua Malaya au tuseme kahaba,

Hii maana yake 'Mtume Muamed' chimbuko lake la uzao limetokana na ukahaba au umalaya aliokua anaufanya Hagari kwa Ibrahim maana Ibrahim alikua anamgonga Hagari km Malaya tu au tuseme Kahaba au kwa kuficha maneno alikua anamgonga Hagari kwa Siri km mchepuko kabla ya Sara kumwambia 'basi isiwe tabu zaa nae tu isiwe shida najua unamgonga kwa Siri km mchepuko basi mgonge umzalishe tupate Mtoto Mimi siwezi kuzaa'

Hii pia inaonyesha kua sababu Hagari alikua km Malaya au Kahaba basi 'Mtume Muamed' chimbuko lake alitoka kwenye uzao wa Kahaba au Malaya Hagari Mama yake na Ishmail

Pia baada ya kifo Cha Sara Ibrahim akamchukua Ketura ambae pia alikua mchepuko wake akamuoa akazaa nae watoto lakini hapo kabla alikua anamgonga kwa Siri yaan km mchepuko, kwa hio Ibrahim alikua anamgonga Sara, akawa anawagonga kwa Siri Hagari na Ketura km michepuko yake tena alikua anawagonga kwa awamu kabla ya kuzaa nao yaan alikua anawagonga haswa,

Hii inathibitika kwani Ibrahim alikua anamgonga Hagari anamgonga kimahaba anamgonga haswa mpaka Sara akaona wivu akamwambia Ibrahim amtimue Hagari maana anamgonga sana wakati yeye ndo mke mkubwa na ndie alikua anatakiwa kugongwa sana, kwa hio hapa tuseme Hagari na Ketura ni Malaya ni Makahaba au vyote kwa pamoja?

Nimekwambia Mimi damu yangu mixer nipo kotekote Uislamu nipo na Ukristu nipo kwa hio usiniletee ligi ya mchangani ntakutoa knockout moja matata sana
 
Mbona husemi nikitabu gani hili neno limetoka?.
 
Biblia inamtambua kuwa Yesu ni mwana wa Mungu,aliezaliwa kwa Maria kupata ujauzito kwa uwezo wa Roho mtakatifu.....Yusuph alikuwa ni Baba mlezi tuu wa Yesu ila Biological Father........
 
Ni biashara nzuri ambayo mwisho WA siku muuzaji na mnunuaji wote mnakufa kwa Sonona na ukimwi WA kujitakia.! Muuzaji anazeeka haraka sana anakuwa hamna mvuto katika jamiiii
 
🤣 da! kwahiyo mfanyabiashara na mteja wake wakakutana tena sokoni kwa mara nyingine dah,
eehe, gharama ilikuaje sasa wakati huu ukilinganisha na wakati ule,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…