Biashara ya ngono ndiyo biashara inayofanywa na Wanawake wengi zaidi

Biashara ya ngono ndiyo biashara inayofanywa na Wanawake wengi zaidi

sikia wewe mimi wake zangu nimewapa majukumu wako bize kama maafisa wa ikulu nawapa vibonus vya kazi hapa na pale, wanaweza fanya ushenzi lakini wakiwa wamechoka sana.
Wanaokuuzia BIDHAA wapo busy? Hiv unajua nature ya Mfanyabiashara? Anataka apate FAIDA zaidi. Sasa BEWARE Bro.
 
Utawasikia "una sh ngapi, toa hela upate vitu vizuri, hela yako tuuu...........".

Kwa tamaa zao wanawake sometimes wanapishana na wanaume wa kweli wanaotaka kuwaoa. Kuna wanaume wengine wanahela na wanataka wake,so wakati akiwa anafanya vetting zake,akikuona unatabia za kupenda sana hela anajua tu hapa hamna mke.

Moja kitu kingine ambacho kinawafanya wanawake wauze ni vikoba,kwani nimekugundua mizinga mingi ya wanawake huwaga siku za ijumaa nikaja kufanya utafiti wangu, kumbe jumamosi na jumapili kuna kuwaga na vikoba. Bado hapo michezo na husiombee yy awe kijumbe.
Mikopo KAUSHA DAMU.
Vikoba pia na SHEREHE za kijingajinga zinawafanya wawe wabunifu sana ktk BIASHARA zao.
 
Wale wa Tanzania wapo pia humo mkuu?????
Sijajua mkuu ila naona naona wengi wa kenya na wanaigeria but wabongo wapo sio kivile...hawapo kwa vile bongo malipo yake ni kupitia paypal na visacard ambapo wabongo wengi tunashindwa kupokea na kuweka pesa..si unajua paypal tz haipokei zaid ya kufanya malipo online tofauti na kenya ambapo inapokea tena paypal yao wamelink no no zao simu inakuwa rahisi.
 
Nimekusoma..........
 
Back
Top Bottom