Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Wenzetu South Africa, jiji la Johannesburg ni legal lakini mji wa kiserikali Pretoria ni illegal.Kabisa naunga mkono hoja,serikali inakosa mapato,kwa kujiaminisha kwamba hakuna kitu kama hicho.
Tanzania tungeweza kuanza na Jiji la Dar es Salaam, Arusha na Zanzibar ikawa legal halafu Dodoma ikawa illegal.
It's a big business!.
P