Biashara ya ngono ndiyo biashara inayofanywa na Wanawake wengi zaidi

Biashara ya ngono ndiyo biashara inayofanywa na Wanawake wengi zaidi

Kabisa naunga mkono hoja,serikali inakosa mapato,kwa kujiaminisha kwamba hakuna kitu kama hicho.
Wenzetu South Africa, jiji la Johannesburg ni legal lakini mji wa kiserikali Pretoria ni illegal.

Tanzania tungeweza kuanza na Jiji la Dar es Salaam, Arusha na Zanzibar ikawa legal halafu Dodoma ikawa illegal.

It's a big business!.
P
 
Wanawake wote duniani wanauza sema kuna utaratibu umewekwa kupunguza ukali wamaneno ila ukiona mtu analipa mahari ili kuoa ujue uchi ndio unaonunuliwa hapo
Ewaaa mtu ananunuliwa kwa mil 1.. maana yake ni Biashara halali hiyo ila wanafki wataaweka VIKAO vya harusi. Mie natafsir kama vikao vya BODI ya Wakurugenzi.
 
Ubaya hata akipata AJIRA RASMI
Atarud ktk hii BIASHARA.
NA WENGI wenye mitaji mikubwa ya hii BIASHARA na wenye BIDHAA Nzuri zenye ushindani SOKONI wengi wao ni wanajiita CLASSY.. yaan matawi ya juu kununua BIDHAA yake uweke DAU kubwa.

Dau linategemea.

1> CHEO
2> FEDHA
3>MALI (Nyumba na Magari..)
4.SURA (mwenye sura na shape nzuri lazma akupangie dau kubwa

Ulaya vipo,bongo wanafundishwa kupitia miziki ya bongo flavor.
Haani haaani
Kamatia chini
Nyege nyegezi
Amelowa amelowa
Chura
Sukari
Boloo boloo
NK
hizI ni baadhi ya syllabus zao
Kwa hyo unamaanisha diamond ndo headmaster wao?😂😂😂😂😂😂😂😂 Mana almost hzo nymbo ni za mondi
 
Hayo matatizo huanzishwa na wanaume kwa mujibu wa biblia. Watu kuwanajisi mabinti zao ndiko kunakopelekea kuzidi kwa ukahaba namaovu kuzidi kwenye nchi:

29 Usimnajisi binti yako, ili kumfanya awe kahaba; isiwe hiyo nchi kuuandama ukahaba, na nchi kujawa na uovu mkuu.
 
Sasa mwanamke kama huna uchi hio mahali utalipiwa nanan? Hata kama unauzur vp bidhaa inayotolewa mahali niuchi
Ndio maana ndoa za sasa hazidumu wanaume hawana utaratibu , mipaka na wala hawaeshimu wanachokifanya , hawakuwa tayari kuingia kwenye suala zima la ndoa.

Jingine mahari ni utaratibu uliowekwa kwa watu wote wajue alichokichukua sio kachukua kama bahasha ya mahindi bali ni mke wake na mahari ndio inaonyesha makubaliano ya wewe na yeye na familia zote mbili zimeungana kwani mmepeana kitu cha kuunda undugu .

Ila wanaume wa sasa hamtofautishi mahari nakuhonga ni vitu tofauti , nammewaona wake zenu kama malaya , kama kitu cha kukitumia na huku zamani baba zenu waliheshimiana
 
Back
Top Bottom