Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
Hatari sana, utaisikia wenyewe wanasemaga "Wanawake na maendeleo"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mweke tuuDah, mke wa mshikaji wangu amefungua hii biashara juzi kati, vp nae nimweke kwenye kundi hili😀
Guys,mimi naona sisi wanaume tunakuwa so biased kwa hii issue kwa kuwahusisha wanawake kuwa ndio wanaonekana waanga wa biashara hii. Mi naona mtoa mada kasahau kufanya uchunguzi kuwa ili biashara ionekane imefanyika nini kinatakiwa kuwepo. Mimi naona two sides must be present, meaning... where one sells, a buyer is there to buy.TAKWIMU: Biashara ya NGONO ndio Biashara inayofanywa na WANAWAKE wengi zaidi.
Ndio ukweli,
Nimekuwa mtu wa kwenda katika maeneo ya starehe hasa katika mji wa DSM.
Katika Bar/Night Club hizo WANAWAKE ndio wengi
1> Wahudumu
2>Wanywaji
Hao wote wengi wao ni wafanyabiashara.
Sasa piga mahesabu kuna Bar na Clubs ngapi za starehe hapa DSM na zote zinafurika hawa Wadada.
Sijapigia hesabu CASINO's.
Sijapigia hesabu PUB's hizo ndio balaaa wale wamiliki wa PUB nyingi ni Wanawake unajua kwanini? Haya simalizii.
Wale WAKE za watu au Wanafunzi wa vyuo ndio wanaitumia sana hii, wengi wanatoa huduma remotely yaan bila kukutana na MTEJA.
Watauza Videos zao za Utupu,
Wataweka bei elekezi umpigie VIDEO CALL uone Utupu Live yaani Full HD.
Hiyo yote ni Biashara.
Sijaitaja ile style yao ya BIASHARA ya Waziwazi. Maana ktk kila mitaa iliyochangamka hao watu wapo na wanajulikana. Na BIASHARA zinapofanyika watu wanajua.
>> KUNA BIASHARA nyingine inafanyika huko ktk SALOONS.
Piga hesabu kuna Saloon ngapi za kiume Mjini zile zenye wadada..
>> BIASHARA nyingine katika MASSAGE centers.
Piga hesabu kuna vilinge vingapi vya Masaji.. naaaaam unaona BIASHARA inavyobeba hazina ya Dada zetu ee..
>> BIASHARA nyingine inafanyika INDIRECTLY
Hii sasa ni ya kiintelijensia zaidi, yaan Mwanamke anawaunga ktk Mahusiano wanaume zaidi ya watano na kuwatenga ktk makundi yafuatayo:
1> Kodi ya Nyumba na Chakula
2> OUTINGS na starehe
3> SIMU na Bundles
4> ADA (kama ni mwanachuo)
5> Mtaji wa Biashara (Mara nyingi wanajifichia ktk Nguo na Viatu ndio biashara zao pendwa, wengine vipodozi na perfumes)
Sasa nihitimishe.
Ukiangalia kwa jicho la KITAALAM utaona ktk asilimia 100% ya wanawake wote, basi asilimia 89% wapo ktk huu mfumo wa BIASHARA. Ni hatari.
Binafsi, napata Changamoto sana ktk upande wa kuchagua MWANAMKE hata wa kuwa nae ktk MAHUSIANO kutokana na mtindo huo wa BIASHARA.
NDIO maana nawasisitiza vijana hasa wa KIUME wawe makini. Na wasije wakatepeliwa na kitu kinachoitwa ______ simalizii.
Na wanajua kufanya BIASHARA sana... wapo vzr mnooo ktk customer CARE na kukwepa kuharibiwa BIASHARA zaoYeah inaanza uzinzi mwisho mnaenda kwenye ndoa ndio maana Kwa Sasa ndoa hazidumu kwasababu mlivyopatana mkikumbuka lawama zinaanza na kila mmoja anadhani yeye ni msafi.
Ukweli wadada wengi hufanya biashara ya ngono
Km una dada ambae amefanikiwa kwa haraka na mafanikio yake vitu anavyovimiliki na kazi anayoifanya havifaanani na haviwiani, usimchungu sana wewe pigia mstari kabisa89% ya wanawake ni malaya? kweli?
wewe una chuki binafsi
Si kweliiii WAUZAJI ni wengi kuliko WANUNUAJIGuys,mimi naona sisi wanaume tunakuwa so biased kwa hii issue kwa kuwahusisha wanawake kuwa ndio wanaonekana waanga wa biashara hii. Mi naona mtoa mada kasahau kufanya uchunguzi kuwa ili biashara ionekane imefanyika nini kinatakiwa kuwepo. Mimi naona two sides must be present, meaning... where one sells, a buyer is there to buy.
Kwa mantiki hiyo 89% ya wanawake wanaofanya biashara ya ngono( kwa mujibu wa mtoa mada) ni sawa na asilimia hiyo hiyo ya wanaume wanaonunua bidhaa hiyo. Hapo mi naona ngoma droo.
Sio wote wengine ovyo kabisa na usiombe ukutane na Malaya kashiba Pesa utaelewa customer service mbovu ipoje utatukanwa ufe wanatukana vibaya sanaNa wanajua kufanya BIASHARA sana... wapo vzr mnooo ktk customer CARE na kukwepa kuharibiwa BIASHARA zao
Hao wapo ADVANCED kwenye Biashara yaana wanathamini BIASHARA na mtejaJaman wapo wanaopiga videos call kabisaa ndo mnaingia makubaliano mbona Hao ndo wazur Hakuna kuuziana mbuz kwenye gunia
The Girl next door anauza na hujui na unaishi nae mtaa mmoja na kila siku anaingiza wateja wapya hana biashara maalumu yupo yupoSi kweliiii WAUZAJI ni wengi kuliko WANUNUAJI
Nishawah kukutana na aina hiyo ya Mfanyabiashara. Hasa wale wa Telegram.Sio wote wengine ovyo kabisa na usiombe ukutane na Malaya kashiba Pesa utaelewa customer service mbovu ipoje utatukanwa ufe wanatukana vibaya sana
Kuna MNADA nini..? HahahNakushauri pia ukitaka kujua Sodoma na Gomora mfano wake, jaribu kutembelea UDOM mida ya usiku. Mimi kwa sasa nipo Mafiati hapa jijini Mbeya
NDIO maana nawasisitiza vijana hasa wa KIUME wawe makini. Na wasije wakatepeliwa na kitu kinachoitwa NDOA
Miaka 10 ijayo ngono inaweza kuwa kitovu Cha mapato hapa kwetu bahati mbaya bandari huenda haitakuwepo tunaweza kutegemeza Kodi kwenye sekta hii yenye wateja wengi kuliko chochote.Na wanajua kufanya BIASHARA sana... wapo vzr mnooo ktk customer CARE na kukwepa kuharibiwa BIASHARA zao
Kabisa naunga mkono hoja,serikali inakosa mapato,kwa kujiaminisha kwamba hakuna kitu kama hicho.Naunga mkono hoja, ni kweli kabisa, huduma hiyo ndio the oldest professional na the oldest business ambayo imeajiri watu wengi kuliko ajira nyingine zote!.
The fortunate ones wao bidhaa zao zimenunuliwa kwa bei ya jumla na mteja mmoja, hivyo kuitwa jina la heshima "wife", the unfortunate ones inawabidi kuuza rejareja kwa wateja tofauti tofauti.
Ndio maana tulishauri Opinion: Its High Time, Tanzania Tuhalalishe "The Oldest Profession?!", na Ikiwezekana, to Legalize Marijuana!
P.
Miaka 10 ijayo ngono inaweza kuwa kitovu Cha mapato hapa kwetu bahati mbaya bandari huenda haitakuwepo tunaweza kutegemeza Kodi kwenye sekta hii yenye wateja wengi kuliko chochote.
Mnanikumbusha mutual induction na induced electromotive force, (i.e.m.f), the direction of induce i.e.m.f is such to oppose a motion producing it (sitaki na taka) halafu baadae imoooforceNi kweli kabisa, this is the oldest professional na the oldest business ambayo imeajiri watu wengi kuliko ajira nyingine zote!.
Ni kweli tena zaidi ya 89% na wateja ndio sisi au wewe hutumii?89% ya wanawake ni malaya? kweli?
wewe una chuki binafsi