Nurain
JF-Expert Member
- Apr 28, 2022
- 2,403
- 5,315
Umeielewa kauli ya Paskali lkn?? Rudia tena kusoma hapo juuWw vip mkuu.. ni mtaalam wa maswala ya Biashara?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeielewa kauli ya Paskali lkn?? Rudia tena kusoma hapo juuWw vip mkuu.. ni mtaalam wa maswala ya Biashara?
Ni kweli ndio the oldest business na mtu wa kwanza kuifanya ni Mama yetu Eva!,Biashara ya zamani kuliko zote, hata kwenye biblia ipo hiyo.
Tena walioandika biblia wamuhusisha mpaka uzao wa Yesu kuwa ni wa kahaba aitwae Tamari.
Wazungu hao ni watu washenzi sana.
PGenesis 38
Yuda Na Tamari
1Wakati ule, Yuda akawaacha ndugu zake akaenda kuishi na Hira Mwadulami. 2Huko Yuda akakutana na binti wa Kikanaani aitwaye Shua akamwoa na akakutana naye kimwili, 3akapata mimba akamzaa mwana, ambaye alimwita Eri. 4Akapata mimba tena, akamzaa mwana na kumwita Onani. 5Akamzaa mwana mwingine tena, akamwita Shela. Huyu alimzalia mahali paitwapo Kezibu.
6Yuda akampatia Eri, mzaliwa wake wa kwanza mke, aitwaye Tamari. 7Lakini Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda alikuwa mwovu machoni pa BWANA, kwa hiyo BWANA akamwua.
8Kisha Yuda akamwambia Onani, “Kutana kimwili na mke wa ndugu yako na utimize wajibu wako kwake kama mke wa ndugu yako ili umpatie ndugu yako uzao.” 9Lakini Onani alijua kwamba uzao haungekuwa wake, kwa hiyo kila alipokutana kimwili na mke wa ndugu yake, alimwaga chini mbegu za kiume ili asimpatie ndugu yake uzao. 10Alichofanya kilikuwa kiovu machoni pa BWANA, hivyo, pia BWANA akamwua Onani.
11Kisha Yuda akamwambia Tamari mkwewe, “Ishi kama mjane nyumbani mwa baba yako mpaka mwanangu Shela atakapokua.” Kwa maana alifikiri, “Angeweza kufa pia kama ndugu zake.” Kwa hiyo Tamari alikwenda kuishi nyumbani kwa baba yake.
12Baada ya muda mrefu mke wa Yuda binti wa Shua akafariki. Baada ya msiba, Yuda alikwenda Timna, kwa watu waliokuwa wakikata kondoo wake manyoya, naye alifuatana na rafiki yake Hira Mwadulami.
13Tamari alipoambiwa, “Baba mkwe wako yuko njiani kwenda Timna kukata kondoo wake manyoya,” 14alivua mavazi yake ya ujane, akajifunika kwa shela ili asifahamike, akaketi kwenye mlango wa Enaimu, ambao upo njiani kuelekea Timna. Akafanya hivyo kwa sababu aliona kwamba, ingawa Shela amekua, lakini alikuwa hajakabidhiwa kwake kuwa mkewe.
15Yuda alipomwona alifikiri ni kahaba, kwa sababu alikuwa amefunika uso wake. 16Pasipo kutambua kwamba alikuwa mkwe wake, akamwendea kando ya njia na kumwambia, “Njoo sasa, nikutane na wewe kimwili.”
Yule mkwewe akamwuliza, “Utanipa nini nikikutana nawe kimwili?”17Akamwambia, “Nitakutumia mwana-mbuzi kutoka kundi langu.”
Akamwuliza, “Utanipa kitu cho chote kama amana mpaka utakapompeleka?”18Akamwuliza, “Nikupe amana gani?”
Akamjibu, “Pete yako na kamba yake pamoja na fimbo iliyo mkononi mwako.” Kwa hiyo akampa vitu hivyo kisha akakutana naye kimwili, naye akapata mimba yake. 19Tamari akaondoka, akavua shela yake akavaa tena nguo zake za ujane.
20Wakati ule ule, Yuda akamtuma rafiki yake Mwadulami apeleke yule mwana-mbuzi ili arudishiwe amana yake kutoka kwa yule mwanamke, lakini yule rafiki yake hakumkuta yule mwanamke. 21Akawauliza watu wanaoishi mahali pale, “Yuko wapi yule kahaba wa mahali pa kuabudia miungu aliyekuwa kando ya barabara hapa Enaimu?”
Wakamjibu, “Hajawahi kuwepo mwanamke ye yote kahaba wa mahali pa kuabudia miungu hapa.”22Kwa hiyo akamrudia Yuda na kumwambia, “Sikumpata. Zaidi ya hayo, watu wanaoishi mahali pale walisema ‘Hapakuwahi kuwepo mwanamke ye yote kahaba wa mahali pa kuabudia miungu hapa.’ ”
23Kisha Yuda akasema, “Mwache avichukue vitu hivyo, ama sivyo tutakuwa kichekesho. Hata hivyo, nilimpelekea mwana-mbuzi, lakini hukumkuta.”
24Baada ya miezi mitatu Yuda akaambiwa, “Tamari mkweo ana hatia ya kuwa kahaba, na matokeo yake ana mimba.”
Yuda akasema, “Mtoeni nje na achomwe moto hadi afe!”25Alipokuwa akitolewa nje, akatuma ujumbe kwa baba mkwe wake kusema, “Nina mimba ya mtu mwenye vitu hivi.” Akaongeza kusema, “Angalia kama utatambua kwamba pete hii na kamba yake pamoja na fimbo hii ni vya nani.”
26Yuda akavitambua na kusema, “Yeye ana haki kuliko mimi, kwa kuwa sikumkabidhi kwa mwanangu Shela ili awe mkewe.” Tangu hapo hakukutana naye kimwili tena.
27Wakati ulipofika wa kujifungua, kukawa na wana mapacha tumboni mwake. 28Alipokuwa akijifungua, mmoja akatoa mkono wake nje, kwa hiyo muuguzi akachukua uzi mwekundu na kuufunga mkononi mwa yule mtoto akasema, “Huyu ametoka kwanza.” 29Lakini alipourudisha mkono wake ndugu yake akaanza kutoka naye akasema, “Hivi ndivyo ulivyotoka kwa nguvu!” Akaitwa Peresi. 30Kisha ndugu yake, aliyekuwa na uzi mwekundu mkononi, akatoka naye akaitwa Zera.
Ohooo... sasa hao wake za watu ndio wataalam wa MAUZO.
Bidhaa ni nyingi kuliko wanunuzi.Uwiano wa kusema wanawake wengi zaidi unamaanisha wanajitomba pia?, au?
Maake kama wanafanya biashara ambayo inahusu wao kutombwa tafsiri yake ni kwamba wanaume wanakuwa katika uwiano nao au hata kuwazidi kwakuwa kuna wakati chuda mmoja anatombwa na wanaume hata kumi kwa siku moja.
Anayeuza na anayenunua wote wapo katika mzunguko wa kibiashara
Sent using Jamii Forums mobile app
Marijuana ina FAIDA nyingi. Kuliko HASARA.Kuhusu Hiyo biashara siwezi kuiponda , kuikosoa au kuisaport la unafiki staki..Ila vip kuhusu marijuana I faidayoyote ??
Unajua kwamba kuna WABUNGE na MADAKTARI ma MENEJA pia Wanauza Bidhaa?Sijakataa ila ulikuwa unataka uwatunzee wewe?? Unajua kwanini wanajiuza umewauliza umechukua hatua gani kuwatoa huko?? Serikali wameshindwa wewe ndio nani sisifii hii nitabia mbaya ila mijitu mianaume inamzalisha mtu nyumba ya kupanga na kuleft unatarajia nini
Hujanielewa? Narudia:
Siyo mpya hiyo biashara, hata kwenye biblia ipo tena amehusishwa Yesu kuwa kizazi chake ni cha kahaba aitwae Tamari. Kajisomee kama unaijuwa biblia ni nini.
Amenishangaza kidogo kumhusisha hadi mzazi wake.Paskali yupo bar muda huu ndio maana ameamua kujitukania na kututukania mama zetu..
Hana akili kabisa!
Mkuu hongera sana kwa utafiti huu pendwa, Pili kwenye suala la Kuoa hilo ni suala lisilopingika mda wake ukifika. Muombe sana mungu akupe hitaji la moyo wako.TAKWIMU: Biashara ya NGONO ndio Biashara inayofanywa na WANAWAKE wengi zaidi.
Ndio ukweli,
Nimekuwa mtu wa kwenda katika maeneo ya starehe hasa katika mji wa DSM.
Katika Bar/Night Club hizo WANAWAKE ndio wengi
1> Wahudumu
2>Wanywaji
Hao wote wengi wao ni wafanyabiashara.
Sasa piga mahesabu kuna Bar na Clubs ngapi za starehe hapa DSM na zote zinafurika hawa Wadada.
Sijapigia hesabu CASINO's.
Sijapigia hesabu PUB's hizo ndio balaaa wale wamiliki wa PUB nyingi ni Wanawake unajua kwanini? Haya simalizii.
Wale WAKE za watu au Wanafunzi wa vyuo ndio wanaitumia sana hii, wengi wanatoa huduma remotely yaan bila kukutana na MTEJA.
Watauza Videos zao za Utupu,
Wataweka bei elekezi umpigie VIDEO CALL uone Utupu Live yaani Full HD.
Hiyo yote ni Biashara.
Sijaitaja ile style yao ya BIASHARA ya Waziwazi. Maana ktk kila mitaa iliyochangamka hao watu wapo na wanajulikana. Na BIASHARA zinapofanyika watu wanajua.
>> KUNA BIASHARA nyingine inafanyika huko ktk SALOONS.
Piga hesabu kuna Saloon ngapi za kiume Mjini zile zenye wadada..
>> BIASHARA nyingine katika MASSAGE centers.
Piga hesabu kuna vilinge vingapi vya Masaji.. naaaaam unaona BIASHARA inavyobeba hazina ya Dada zetu ee..
>> BIASHARA nyingine inafanyika INDIRECTLY
Hii sasa ni ya kiintelijensia zaidi, yaan Mwanamke anawaunga ktk Mahusiano wanaume zaidi ya watano na kuwatenga ktk makundi yafuatayo:
1> Kodi ya Nyumba na Chakula
2> OUTINGS na starehe
3> SIMU na Bundles
4> ADA (kama ni mwanachuo)
5> Mtaji wa Biashara (Mara nyingi wanajifichia ktk Nguo na Viatu ndio biashara zao pendwa, wengine vipodozi na perfumes)
Sasa nihitimishe.
Ukiangalia kwa jicho la KITAALAM utaona ktk asilimia 100% ya wanawake wote, basi asilimia 89% wapo ktk huu mfumo wa BIASHARA. Ni hatari.
Binafsi, napata Changamoto sana ktk upande wa kuchagua MWANAMKE hata wa kuwa nae ktk MAHUSIANO kutokana na mtindo huo wa BIASHARA.
NDIO maana nawasisitiza vijana hasa wa KIUME wawe makini. Na wasije wakatepeliwa na kitu kinachoitwa ______ simalizii.
Ameen.. ikitokea sijakutana na MDHULUMATI basi NTAOA Kwa Masharti/MKATABA ambao hautaweka hali ya UFILISI, UWIZI, UTAPELI wala aina yoyote ya UDHULUMATIMkuu hongera sana kwa utafiti huu pendwa, Pili kwenye suala la Kuoa hilo ni suala lisilopingika mda wake ukifika. Muombe sana mungu akupe hitaji la moyo wako.
---GOOD LUCK----
Hii ni ukweli kabisa hata hivyo huenda ni 96% ni hutegemea hiyo biashara kwasababu hata ndoa nyingi zimetokana na uzinzi.TAKWIMU: Biashara ya NGONO ndio Biashara inayofanywa na WANAWAKE wengi zaidi.
Ndio ukweli,
Nimekuwa mtu wa kwenda katika maeneo ya starehe hasa katika mji wa DSM.
Katika Bar/Night Club hizo WANAWAKE ndio wengi
1> Wahudumu
2>Wanywaji
Hao wote wengi wao ni wafanyabiashara.
Sasa piga mahesabu kuna Bar na Clubs ngapi za starehe hapa DSM na zote zinafurika hawa Wadada.
Sijapigia hesabu CASINO's.
Sijapigia hesabu PUB's hizo ndio balaaa wale wamiliki wa PUB nyingi ni Wanawake unajua kwanini? Haya simalizii.
Wale WAKE za watu au Wanafunzi wa vyuo ndio wanaitumia sana hii, wengi wanatoa huduma remotely yaan bila kukutana na MTEJA.
Watauza Videos zao za Utupu,
Wataweka bei elekezi umpigie VIDEO CALL uone Utupu Live yaani Full HD.
Hiyo yote ni Biashara.
Sijaitaja ile style yao ya BIASHARA ya Waziwazi. Maana ktk kila mitaa iliyochangamka hao watu wapo na wanajulikana. Na BIASHARA zinapofanyika watu wanajua.
>> KUNA BIASHARA nyingine inafanyika huko ktk SALOONS.
Piga hesabu kuna Saloon ngapi za kiume Mjini zile zenye wadada..
>> BIASHARA nyingine katika MASSAGE centers.
Piga hesabu kuna vilinge vingapi vya Masaji.. naaaaam unaona BIASHARA inavyobeba hazina ya Dada zetu ee..
>> BIASHARA nyingine inafanyika INDIRECTLY
Hii sasa ni ya kiintelijensia zaidi, yaan Mwanamke anawaunga ktk Mahusiano wanaume zaidi ya watano na kuwatenga ktk makundi yafuatayo:
1> Kodi ya Nyumba na Chakula
2> OUTINGS na starehe
3> SIMU na Bundles
4> ADA (kama ni mwanachuo)
5> Mtaji wa Biashara (Mara nyingi wanajifichia ktk Nguo na Viatu ndio biashara zao pendwa, wengine vipodozi na perfumes)
Sasa nihitimishe.
Ukiangalia kwa jicho la KITAALAM utaona ktk asilimia 100% ya wanawake wote, basi asilimia 89% wapo ktk huu mfumo wa BIASHARA. Ni hatari.
Binafsi, napata Changamoto sana ktk upande wa kuchagua MWANAMKE hata wa kuwa nae ktk MAHUSIANO kutokana na mtindo huo wa BIASHARA.
NDIO maana nawasisitiza vijana hasa wa KIUME wawe makini. Na wasije wakatepeliwa na kitu kinachoitwa ______ simalizii.
Noma sana!Ndivyo inavyokua,no wonder mafanikio ya baadhi ya watu wanamshukuru Mungu wanaacha kuwashukuru hata waliowawezesha kupata hali zao walizonazo,kwa protokali,kwa mfano mtu anakua na mgahawa au hoteli kubwa,msingi wa hiyo hoteli au mgahawa husika,unakuta alijiuza directly au indirectly,sasa badala ya kusema wakati wa kushukuru,kwa kuanza na Mungu,halafu yafuate majanga,anaishia kwa Mungu tu.Siyo fair.Nimewahi kukuta andiko flani likisrma,
wife is the cheapest prostitute.
Dah, mke wa mshikaji wangu amefungua hii biashara juzi kati, vp nae nimweke kwenye kundi hili😀Nikionaga tu mwanamke anamiliki duka la nguo au viatu najua tu ni muuzaji wa K.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba ilianza BIASHARA ya REJAREJA ikaja ya JUMLA.Hii ni ukweli kabisa hata hivyo huenda ni 96% ni hutegemea hiyo biashara kwasababu hata ndoa nyingi zimetokana na uzinzi.
Na jamaa akikutonya uachane nae unamchukia!Akistaafu huyo akiwa ktk utumish wa miaka 15 ina maana ana miaka 30, ndio unakutana nae Wewe sasa mwenye njaa ya KUOA unaweka ndani.
Noma sana!Kwa lugha ya kibiashara inaitwa price elasticity of demand, demand ikiwa kubwa kuliko supply price zinapanda, supply ikiwa kubwa kuliko demand, price zinashuka!. Arabuni kuna upungufu wa wanawake kwasababu watu wanaoa hadi wake 4, hivyo wale dada zetu wanaopeleka bidhaa Dubai, inalipa sana!. Wafanyabiasha wengi wa boutique wanaokwenda Uturuki, China na Singapore, wanapanda Emirates, wanapita Dubai kufanya part time for 2-Weeks, wanapata mtaji wa kutosha!.
P
Noma sana!Sijakataa ila ulikuwa unataka uwatunzee wewe?? Unajua kwanini wanajiuza umewauliza umechukua hatua gani kuwatoa huko?? Serikali wameshindwa wewe ndio nani sisifii hii nitabia mbaya ila mijitu mianaume inamzalisha mtu nyumba ya kupanga na kuleft unatarajia nini
Yeah inaanza uzinzi mwisho mnaenda kwenye ndoa ndio maana Kwa Sasa ndoa hazidumu kwasababu mlivyopatana mkikumbuka lawama zinaanza na kila mmoja anadhani yeye ni msafi.Kwamba ilianza BIASHARA ya REJAREJA ikaja ya JUMLA.