Biashara ya ngono ndiyo biashara inayofanywa na Wanawake wengi zaidi

Una uhakika umeelewa point yangu, isome tena utafakari broo.
Huyo mtoto wa kike anayejiuza kumbuka ametoka kweny malezi ya baba na mama, baba kama kiongozi wa familia lawama zote lazima zikuangukie kwa mwenendo mbaya wa familia, hata kama mtoto mwenyew ni mgumu tunaamini hujumkunja kabla hajakomaa, wewe kama baba ulishindwa kumwandalia mwanao wa kike mazingira mazuri ya kimalezi, malezi ya kidini na kijamii. To be honest, most of prostitutes wanakuwaga na daddy issues sijui kwann ila ndo ilivyo, fanya utafiti utagundua hicho kitu, swali langu ni kwamba baba ulikuwa wapi hadi mwanao anaanza kujiuza? Ndio kama baba huwez kuwa kila sehemu ila wakati ulipokuwa naye ulimfundisha nn, watu wengi hatujui ila wababa tuna majukumu mazito ya kuwafundisha watoto na sio mke wako, mke anakusaidia tuu ww ndo main teacher kweny mafunzo ya watoto.
Vitu ulivoongea ww ni tofauti kabisa, unaelewa maana ya victim broo? mfano mtu ana mke na watoto, amepita tuu sehemu akakutana na malaya mzuri mitamaa ikampanda akamnunua, huyu naye ni victim?? Kama ni victim nambie ni victim wa kitu gani?? Tamaa zake?? Mtu ambaye hawez ku-handle hadi tamaa zake tunamwita ni victim?? Hii dunia watu tunapenda kutetea mambo ya kifala.
Point yangu ni kwamba, mambo ya kuwalaumu wadada kwa mambo wanayofanya ni ujinga, wanawake wameumbwa kama wasaidizi wetu wanaume, wanawake wanatusikiliza na kutufwatisha sisi wanaume, ukiona wanamke wameacha kutusikiliza wakaanza kufanya mambo yao bac ujue sisi ndo tumefeli.
 
Mi ndomana nawapendaga wahaya kule BAO Moja buku tatu ukimpa buku 10 au 15 unalala naye kbsa na utamchezea alafu wahaya ni wasafi wa mwili huwezi sikia harufu kama hawa wengine
Mhhh mie nilipiga Mmoja alikuwa na Gono aisee K inatema kinoma, nilipiga kwenye vibanda pale Barakuda kabla hawajabomoa.
 
na wengine ni washirikina ukila kwake siku moja tu, kesho unamuhaidi nyumba 😂 na utajenga na utapauwa msaouth
 
Wanaume tusijifariji sana hapa. We are the victims of our own lust. Naona tunajifariji hapa ila yote haya mpaka kufika hapa ni kutimiza fantasy zetu za kingono. Kwa hiyo ajidhaniaye amesimama aangalie asije anguka.
 
Mie nawashauri WAENDELEE kufanya hiyo BIASHARA maana ina faida nyingi kuliko hasara.
 
Hizo takwimu zako ni kwa jamii au tabaka gani ya watu.? Yasemekana jamii ya wa-Asia kama baniani, bohora, waarabu n.k. hakuna wanawake kujiuza, adhabu ni kifo kimya kimya. Vinasaba, ufukara unahusika kwa sisi weusi? Unasemaje?
 
Wanaume tusijifariji sana hapa. We are the victims of our own lust. Naona tunajifariji hapa ila yote haya mpaka kufika hapa ni kutimiza fantasy zetu za kingono. Kwa hiyo ajidhaniaye amesimama aangalie asije anguka.
Hii ni moja ya sababu kwanini wanaume tunakufa mapema sana na stress. Always looking for loopholes to point fingers back to ourselves.
Brother, Women do this for their own pleasures [Sex and Money]. Some men dont go for cheap women like these, Some of us still admire the old school ways.
 
Hizo takwimu zako ni kwa jamii au tabaka gani ya watu.? Yasemekana jamii ya wa-Asia kama baniani, bohora, waarabu n.k. hakuna wanawake kujiuza, adhabu ni kifo kimya kimya. Vinasaba, ufukara unahusika kwa sisi weusi? Unasemaje?
Kule BIASHARA ipo tena INALIPA zaidi kutokana na DEMAND kuwa Kubwa kuliko SUPPLY.

Watu weusi hasa TANZANIA ktk baadhi ya MAKABILA ukichunguza vzr ni WAFANYABIASHARA wazuri sana wa Hii Biashara., sijamaanisha Wahaya ndio wataalam hapana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…