Skid Row Boy
JF-Expert Member
- Mar 15, 2023
- 290
- 401
sijamaanisha Wahaya ndio wataalam hapana.Kule BIASHARA ipo tena INALIPA zaidi kutokana na DEMAND kuwa Kubwa kuliko SUPPLY.
Watu weusi hasa TANZANIA ktk baadhi ya MAKABILA ukichunguza vzr ni WAFANYABIASHARA wazuri sana wa Hii Biashara., sijamaanisha Wahaya ndio wataalam hapana.
We jamaa akili yako haina akili. Hahahahahaaa !!!!