Biashara ya ngono ndiyo biashara inayofanywa na Wanawake wengi zaidi

Kule BIASHARA ipo tena INALIPA zaidi kutokana na DEMAND kuwa Kubwa kuliko SUPPLY.

Watu weusi hasa TANZANIA ktk baadhi ya MAKABILA ukichunguza vzr ni WAFANYABIASHARA wazuri sana wa Hii Biashara., sijamaanisha Wahaya ndio wataalam hapana.
sijamaanisha Wahaya ndio wataalam hapana.

We jamaa akili yako haina akili. Hahahahahaaa !!!!
 
Wanafanya biashara huku wakipata raha na kukata viu. What a coincidence buddy...
 
Wanapata mitaji kwa maumivu
 
Eeh yaan kwenye wanawake 100, wanawake 89 ni wadangaji? Mbna mnatukosea heshima kiasi hiki?tuheshimuni jamani sisi ndo bibi,mama, wake,dada na wadogo zenu[emoji120][emoji120][emoji120]
Mtoa mada ni mtoto wa msimbe, hivyo anaongea alichokiona kwao
 
Biashara hufanywa na muuzaji na mnunuzi.

Mnunuzi hawazi kuwa mfanyabiashara. Biashara hufanywa na muuzaji bila ya kujali mnunuzi.

Kuna wanunuzi wapo lakin hawapati ainafulani ya biashara, kwa nini uwaweke kwenye kundi la wafanyabiashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…