Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,406
- 8,039
Hujamwelewa, wanawake wengi wameingia kwenye ndoa kwasababu ya hela za mwanaume, ila kiuhalisia hawavutiwi kimapenzi na hawampendi huyo mwanaume, huko nako si kujiuza.. SkylarNadhani shida yako ni kwamba huna respect kwa wanawake, kuna lugh unatumia za kumdhalilisha mwanamke
Mtu ameolewa unasema ameuza jumla, this is not right, swallow your pride man.
Hawa unawazungumza hapa ni mama zako, dada zako, shangazi zako na pengine utakua na binti yako