KISS 100
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 528
- 1,120
Aliyeleweshwa video yake ikavuja W..Nani uyo? Kajala au
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyeleweshwa video yake ikavuja W..Nani uyo? Kajala au
Kaka!! Oldest proffession haifikii ya uuwaji,wizi na ujambazi. Prostitution is both immoral and illegal, huwezi kufananisha marriage na prostitution. siyo wote walioingia ktk ndoa wamefuata kulipwa hela na wanaume, ukahaba upigwe vita, unavunja familia/ndoa , unaongeza watoto mitaani, unadumaza akili za wanawake, unasambaza magonjwa nk nkNaunga mkono hoja, ni kweli kabisa, huduma hiyo ndio the oldest professional na the oldest business ambayo imeajiri watu wengi kuliko ajira nyingine zote!.
The fortunate ones wao bidhaa zao zimenunuliwa kwa bei ya jumla na mteja mmoja, hivyo kuitwa jina la heshima "wife", the unfortunate ones inawabidi kuuza rejareja kwa wateja tofauti tofauti.
Ndio maana tulishauri Opinion: Its High Time, Tanzania Tuhalalishe "The Oldest Profession?!", na Ikiwezekana, to Legalize Marijuana!
P.
Now wameamua kuutumia sasa.Uchumi wanao alafu WAMEUKALIA..
Au BABA Tozo akipata washauri wazuri anaweza kulipeleka Bungeni.
Baada ya binadamu kuumbwa, shughuli ya kwanza kufanyika ni hiyo!. Sijui ni wangapi wanaijua dhambi ya asili ni nini?. Sijui ni wangapi wanajua Adam na Eva/Hawa waliookatazwa kula lile tunda la mti wa katikati sijui ni wangapi mnajua ni tunda tuu au ni tendo?.Kaka!! Oldest proffession haifikii ya uuwaji,wizi na ujambazi.
Naunga mkono hoja, prostitution ni lile tendo, likifanywa kwa heshima sio prostitution.Prostitution is both immoral and illegal,
Sijafananisha prostitution na ndoa, nimesema sababu ya ndoa ni lile tendo!, watoto na kujenga familia ni matokeo tuu, mtu kufunga ndoa ili kuhalalisha tendo kihalali. Wanaoolewa ni wenye bahati bidhaa yao imenunuliwa na mteja mmoja kwa bei ya jumla!, kinacholipiwa ile mahari sio kumnunua mtu ni kununua ile huduma!.huwezi kufananisha marriage na prostitution
It's true kuna wanawake wengi wanaingia kwenye ndoa wakiwa na kazi zao na wengine wana vipato kuliko waume zao, hivyo wanaolewa kwa mapenzi tuu, lakini lengo la ndoa zote ni lile tendo na mwanaume ana wajibu kukuhudumia ili kulipia huduma hiyo, that is the business part of it!.. siyo wote walioingia ktk ndoa wamefuata kulipwa hela na wanaume,
Natofautiana na wewe, ndoa nyingi zinadumu kwasababu kuna alternatives, kuna wanawake wengi wako kwenye ndoa zao kwasababu tuu wana alternative lakini mapenzi yalikwisha siku nyingi ni michepuko ndio inazishikilia. Mimi mwenyewe nimeisha wahi kusaidia sana kudumisha ndoa za watu, nami pia nikadumishiwa ya kwangu.ukahaba upigwe vita,
Unalinda familia, hiyo biashara inasaidia sana jamii.unavunja familia/ndoa ,
Hizo ni changamoto tuu tena kwa taarifa yako waathirika wakuu wa ukimwi ni wanandoa na mahusiano ya kuaminiana, wale wenye kazi zao, ni lazima uvae kinga bila kinga no game!.unaongeza watoto mitaani, unadumaza akili za wanawake, unasambaza magonjwa nk nk
Na ww jichanganye uanzishe hiyo Biashara uone..Kina Fulani wana range kwa biashara ya nguo,
Wanajiita "Wapambanaji..." huwezi jua wanapambana na nini haswa.......Halafu wanajisifia wanawake siku hizi ni wapiganaji!!! Kumbe ni wafanyabiashara haramu iliyokatazwa na sheria za dini na serikali na hawalipi kodi yeyote.
Umenikumbusha kitu, hao WAFANYABIASHARA ambao wapo serious na Kazi zao, huwa wapo very careful yaani kavu kavu huwezi kwenda nae na wengi wanatembea nazo zile PROTECTIVE GEARS.Hizo ni changamoto tuu tena kwa taarifa yako waathirika wakuu wa ukimwi ni wanandoa na mahusiano ya kuaminiana, wale wenye kazi zao, ni lazima uvae kinga bila kinga no game!.
P
Watakuja kubisha na kulialia Wametukanwa au KUDHALILISHWA.Hela ya kujiuza ni kama Opium au Cocaine ukionja huachi. Hata Hawa watoto WA chuo wanajiuza now wakiipata kazi still wataendelea kufanya.. Inakuwa kama Uraibu ndo maana hata walio maofisini wanaendeleza hela yako tu. Na anapokea mshahara mzuri tu WA kumtunza but lazima akauze. Now tuna date na machangudoa ila ndio tutafanyaje Sasa
You are very right, na pia wanakolea zaidi kuliko wanawake waliotulia. Mimi baada ya kuoa tuihamia UK then US, wife akabaki kule mimi nikarudi Bongo.Kwa upande wangu MALAYA wa barabarani yupo safe kuliko BINTI wa Chuoni.
Kuna siku nilipanda Daladala, Mdada alikuwa na MJamaa hivi, Mdada ni mzuri alafu mdogo mdogo tunatokea Tabata gari inaenda MWENGE.Sinza pale Ambience barabani kwenye container ni elfu 5. Sinza imeliovateki soko la Kinondoni. Ile barabara ya Kitambaa cheupe Ijumaa na Jumamosi ni balaa!.
P
Mtaani kwetu kuna danguro game ni 3k, demu ana gharamika room na ndomu. Wankera sana hawa wadada mwanamme ukipita njia ile lazima utongozwe. Cha ajabu serikali imewawekea na ATM ya ndomu, ukidumbukiza jero linatema pakti 3Nimepita sehem nikaitwa Kaka twende tukatombane jamani utalipa guest 2000 mimi utanipa 3000.
Mimi: Sina hela dada asante!
Yeye: Kwani wewe una sh ngapi ongea usiogope.
Hapa ndipo tulipofikia wakuu.
Wanauza rejareja.. maana wamemuuzia MUME kwa jumla sasa wanafaya Distribution of goods in retail ways.Kinachosikitisha zaidi, siku hizi mpaka wanawake wenye waume wanajiuza.
Location..Mtaani kwetu kuna danguro game ni 3k, demu ana gharamika room na ndomu. Wankera sana hawa wadada mwanamme ukipita njia ile lazima utongozwe. Cha ajabu serikali imewawekea na ATM ya ndomu, ukidumbukiza jero linatema pakti 3
Kwenye ndoa nyingi sahiv wanawake walioolewa hawatoi papuchi hata kwa miaka 6, hapo ni ndani ya ndoa, unategemea mwanaume hapo ufanyeje SkylarI don't gerrit! Unaposema wanajiuza unaweza kuwa spesific kidogo
On the same note, wanaume wa kizazi hiki ni irreaponsible seeds, haiwezekani unafunga safari kutoka nyumbani kwako unaenda baa kununua mbususu, halafu ukirudi kwako unajiita kichwa cha familia