Hujamwelewa, wanawake wengi wameingia kwenye ndoa kwasababu ya hela za mwanaume, ila kiuhalisia hawavutiwi kimapenzi na hawampendi huyo mwanaume, huko nako si kujiuza.. SkylarNadhani shida yako ni kwamba huna respect kwa wanawake, kuna lugh unatumia za kumdhalilisha mwanamke
Mtu ameolewa unasema ameuza jumla, this is not right, swallow your pride man.
Hawa unawazungumza hapa ni mama zako, dada zako, shangazi zako na pengine utakua na binti yako
Sasa huyo si anajiuza maana.Main objective yake ni money.View attachment 2759557
Kuna Mwanamke alipost hivi leo hii ktk status yake.
Alafu ni kabint kadogo tu, ngoj nimtumie hela ya vocha AJAE kwenye MFUMO.Sasa huyo si anajiuza maana.Main objective yake ni money.
Kupata mke kipind hiki ni God help tu.
Happy Married with 4 kidsUmeolewa?
Duuh, kwamba wanawake hatuna hela na hatujui kutafuta hela mpaka tunaingia kwenye ndoa na mtu usiempenda kisa pesa?Hujamwelewa, wanawake wengi wameingia kwenye ndoa kwasababu ya hela za mwanaume, ila kiuhalisia hawavutiwi kimapenzi na hawampendi huyo mwanaume, huko nako si kujiuza.. Skylar
Ajira umepata lakini? Maana naona bado unatafuta ajiraAnaeuza ndio chanzo cha matatizo. Ukimbana mnunuzi biashara itaendelea kuwepo ila ukimbana muuzaji automaticaly biashara itakufa. Ndio maana hata madawa ya kulevya wanasakwa wauzaji uwezi kuona wanasakwa mateja wapelekwe kwenye vyombo vya sheria
Nakubaliana na wewe, tena serikali iongeze nguvu ikamate na wanunuaji wote wakalime mashambaNa wanaume nao wafanyaje!!! Waibe na kupora!!!! Poverty is not an excuse to committ a crime. Serikali ikamate makahaba wakalime mashamba magerezani
Kuna tatizo mahali, kama imefikia point ya kuwa na wauzaji wa jumla basi inaonekana wanunuzi wanapewa options nyingi, anaetaka reja rwja anapata, anaetaka jumla anapataUmejikita sana kwa wauzaji wa rejareja kuna wale wauzaji wa jumla amewaelezea kaka Pascal Mayalla uko juu vipi unawaongeleaje
Wakina VICKY au sio... wanawake na MAENDELEO..Happy Married with 4 kids
Duuh, kwamba wanawake hatuna hela na hatujui kutafuta hela mpaka tunaingia kwenye ndoa na mtu usiempenda kisa pesa?
Hebu wapeni wanawake heshima yao, sikatai wapo baadhi lakini trust me, these days wanawake wanajituma na hawategemei pesa zenu, tena infact tune pesa kuwazidi kwa hiyo msituchukulie poa🤣🤣
Anyway my point hapa ni kwamba muuzaji na mnunuzi wote sawa tu, kwa hiyo tusiwahukumu wanawake
Hivi hapa hao mabikra watakuwa wanalipiwa hela au unapewa bure na Allah?Biashara hufanywa na muuzaji na mnunuzi.
Asante MamaBiashara hufanywa na muuzaji na mnunuzi.
Lets talk about the buyer, how do we call them, those who buy cheapest prostitutes?wife is the cheapest prostitute.
They do remain as buyers provided that they have decided to buy those prostitutes cheaply through what we call bride 'prices'.Lets talk about the buyer, how do we call them, those who buy cheapest prostitutes?
Hizo hela mnazo,ila anayetoa matumizi ni mwanaume aliyekuoa.Hizo hela ni zako.Za mwanaume ni zenu.Happy Married with 4 kids
Duuh, kwamba wanawake hatuna hela na hatujui kutafuta hela mpaka tunaingia kwenye ndoa na mtu usiempenda kisa pesa?
Hebu wapeni wanawake heshima yao, sikatai wapo baadhi lakini trust me, these days wanawake wanajituma na hawategemei pesa zenu, tena infact tune pesa kuwazidi kwa hiyo msituchukulie poa🤣🤣
Anyway my point hapa ni kwamba muuzaji na mnunuzi wote sawa tu, kwa hiyo tusiwahukumu wanawake
AiseeNimepita sehem nikaitwa Kaka twende tukatombane jamani utalipa guest 2000 mimi utanipa 3000.
Mimi: Sina hela dada asante!
Yeye: Kwani wewe una sh ngapi ongea usiogope.
Hapa ndipo tulipofikia wakuu.
they belong in that same category" prostitutes" no man with sound mind would go after prostitute if he is not a prostituteThey do remain as buyers provided that they have decided to buy those prostitutes cheaply through what we call bride 'prices'.
Kwa maisha ya sasa, majukumu ya familia yanatimizwa kwa ushirikiano wa mume na mke, unless umeoa mwanamke ambae ni selfishHizo hela mnazo,ila anayetoa matumizi ni mwanaume aliyekuoa.Hizo hela ni zako.Za mwanaume ni zenu.
Na ndio mpo wengi wa design yenu..Kwa maisha ya sasa, majukumu ya familia yanatimizwa kwa ushirikiano wa mume na mke, unless umeoa mwanamke ambae ni selfish
Kiasilia mwanamke ni mbinafsi na ndio maana hela ya mwanamke ni chungu na mara nyingi huambatana na masimango na manyanyaso.Kwa maisha ya sasa, majukumu ya familia yanatimizwa kwa ushirikiano wa mume na mke, unless umeoa mwanamke ambae ni selfish
Sahihi kabisaa, jambo hili huwa nalitafakari saaaana, hivi hawa wasiooa wataoa wake wa aina gani, vitoto vidogo vinakushawishi kwa bei rahisi kabisa ufanye navyo ngono tena kwa barabara zote ile kuu na ile service road, hakika msiooa subirini mtaoa makahabaAkistaafu huyo akiwa ktk utumish wa miaka 15 ina maana ana miaka 30, ndio unakutana nae Wewe sasa mwenye njaa ya KUOA unaweka ndani.