Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda

Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda

Ngoja mm niwe shuhuda wa kile unachotaka kufanya mkuu...last year nilienda uganda mwez wa 6 kuchukua hzo hzo nguo za mtumba, nilikuwa na 5m...nilifikia hotel moja pale mukono inaitwa 24/7 ni hotel nzur na ipo barabaran pia kwenye ground floor pana ofisi za kampala coach hvyo unapata uhakika wa safari na kutunziwa mizigo yako pale ofisini kwao....kwa chini zaidi ya hiyo hotel kuna club wanajaa wanafunzi wa vyuo coz lile eneo la mkono lina vyuo vingi sana na utakutana na wabongo wa kutosha na wakenya......janguuu

Hahahaha ulibug usingeshuka mukono ni kama uje Dar kufata mzigo harafu ushukie chalinze.!!
 
......ngoja nirud kwenye biashara sasa...kusema ukweli uganda nguo za duka, viatu vya duka, mikoba ya special vinauzwa angalau bei kdogo, ila mtumba mh cjaona faida kwa kweli kwa 7bu zifuatazo
1.nilienda kuchukua nguo ndo ilikuwa mara ya kwanza hvyo ckujua bei ya huku bongo
2.nilitaka kufunguliwa baro na kuchaguliwa grade A tu ya nguo, hvyo mnunuz anabak na makapi, wanaita furges wenyewe
3.kwa 7bu hzo hapo juu nilidondokea pua kwan nakumbuka sket ndefu niliuziwa elf 13, fupi elf 10 gauni ndefu 21elf, gaun fupi 15elf, tops elf 6, kwa mantiki hiyo nilivyorud bongo kusema ukweli hazikulipa kbsaa kwan hzo bei nilizochukulia ndo za kuuzia bongo.
Ila nilichanganya mzigo wa nguo za special zikawa zinalipa mfano skin surual nilichukua kwa elf 6 nauza 12, simple shuz 6elf nauza 12, n.k
 
.....kuhusu kodi za nguo kusema ukweli ni ujanja wako, nilisumbuliwa tu pale mpakan mwa uganda na kenya wakat narud, nikawapa elf 30, wakaruhusu kupita, huku kwngne hata huulizwi unapita tu, mm safari nilianzia arusha naul elf 65 nenda rud laki 30, mzigo nililipia 70....
Hvyo ushauri wangu kule chukua nguo za duka sio mtumba, pili fanya research ya biashara ya hzo nguo pale unapotaka kuweka frem zinauzwaje b4 hujaenda,
na unaweza wasiliana na huyu jamaa maarufu wa kuuza mitumba ya grade A pale uganda japo mh anawateja weng na ndo ivo bei zake +2569211759, all the best mpendwa!
....kama utahis kuna kitu utataka kujua kuhusu physical chalenges nilizopitia, just ask, tho naona money stunna nae anakuwa msaada.
 
wiseboy kosa ulilofanya hukufanya utafiti vizuri. Siku nyingine huulize kwanza maana kama haujafanya utafiti ukienda sehemu yoyote utaumizwa.

Kila nchi kuna maduka ya gharama na bei ya chini ni vizuri kujua maeneo kabla ujaenda
 
Last edited by a moderator:
.....JE NILIENDELEA AMA?...
Kwa kweli sijarud tena kuchukua huko mzigo nikaamua kubadili upepo, nikaenda maduka ya hapa dsm kwa wahindi wapumbavu watupu, wezi wale, matusi yao mizigo mibaya kama roho zao, just hasara juu ya hasara...
Kwa sasa nachukua nguo ilala na zinanilipa, kuna jamaa pale wana vijana wao wanapoint nguo kali kali wenyewe wanaita sumu, then inapofika mchana wanazitundika kwa pamoja, wamenizoe nikifika mfano mtu ana nguo kama elf 5000 katundika anakuruhusu uchague zile utakazo na wanafanyaje
1.tops nachukuaga kwa 3000 unauza elf 8000
2. Gauni ndef nachukuwa kwa 8000 nauza mwisho 15,000
3.gauni fupi 5000 nauza elf 10 mwisho
4.skin jeans nachukulia elf 5, nauza 10,000 mwisho,
5.sketi fupi 5000 na kuuza 10elf,
hvyo naona bora hii ya bongo kuliko uganda, sikutaka kuwa mchoyo kwan jf imenisaidia mengi ktk maisha yangu, pia kama kuna m2 ana ushauri kuhusu the way ninavyofanya hii biashara namkaribisha, kama kuna sehemu nyngne pana soko zuri la mtumba namkaribisha pia, nimeandika mara nyngi nyingi coz natumia 4n kuandika, karibuni wadau tusaidiane hasa vijana maisha yasonge mbele.
 
wiseboy kosa ulilofanya hukufanya utafiti vizuri. Siku nyingine huulize kwanza maana kama haujafanya utafiti ukienda sehemu yoyote utaumizwa.

Kila nchi kuna maduka ya gharama na bei ya chini ni vizuri kujua maeneo kabla ujaenda

....kwel kabisa mkuu, japokuwa nilijitahid kupata in4 hata kupitia jf bila mafanikio, na pia mwenyej wangu nae hakuwa awarenes kiviile...
 
Last edited by a moderator:
MUKONO ILIPO UCU KUNA KAMA 13 HADI 16 KILOMITA HADI KAMPALA KAMA SIJASAHAU SAWA wizeboy soko lako kwa bongo lipo wapi hasa ? Namaanisha mji gani?

mkuu kuna maduka yana majina nami lengo langu ndo hilo nataka niwe öne day na boonge la fremu yan kila nguo iwepo tho bdo napata chalenge, soko langu lipo morogoro na target yangu na soko langu ni vyuo,
 
mkuu WIZEBOY pole sana kwa changamoto pia hongera sana kwa kutokata tamaa na kutafuta mbinu mbadala ili kuweka mambo sawa........inakuchukua mda gani mpaka kuja kufunga mzigo mwingine hapa dar na je? Vp kuhusu usafiri wa mzigo mpaka pale unapouzia?
 
Mmh. Mnaenda kununua Uganda; halafu wenyewe wakanunue Hongkong au Ulaya?
 
mkuu WIZEBOY pole sana kwa changamoto pia hongera sana kwa kutokata tamaa na kutafuta mbinu mbadala ili kuweka mambo sawa........inakuchukua mda gani mpaka kuja kufunga mzigo mwingine hapa dar na je? Vp kuhusu usafiri wa mzigo mpaka pale unapouzia?

....mkuu inategemea na msimu wa hela, kama wanafunz wana boom just baada ya wik 2 naenda chukua mzigo, nauli aisee kuhusu mzigo ni hela kdogo sana hasa ukishazoeana na wenye gari just elf 10 had 20
 
Back
Top Bottom