Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda

Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda

Pia ili utoke jiepushe na tamaa za starehe uwapo popotte kibiashara.

nimekusoma chief japo yakupasa kuwa na bajeti ya kurefresh mind hata mwisho wa wik kwa mara moja, mfano mi situmii kilevi ni juice na maji na soda, haya disco la maana club haizid elf 10, no sometime tulifresh mind ila iwe with in a planed burget....!
 
....ila naomba kuuliza wadau, hivi kafremu ka biashara ya mitumba as mitumba inakatiwa leseni ya biashara TRA, coz kuna watu wanasema kibanda cha mitumba hakikatiwi wengne wanadai kibanda cha mitumba kinakatiwa leseni, ukwel upo wap? Msaada plz mwenye uelewa juu ya hili.
 
nimekusoma chief japo yakupasa kuwa na bajeti ya kurefresh mind hata mwisho wa wik kwa mara moja, mfano mi situmii kilevi ni juice na maji na soda, haya disco la maana club haizid elf 10, no sometime tulifresh mind ila iwe with in a planed burget....!

Ujamuelewa mkuu. Anamanisha ukitoka kibiashara kama kufata mzigo usijiingize kwa starehe ufate kilichokupeleka
 
Hata kama uko safari kibiashara umefuata mzigo, ukishamaliza kufunga mzigo si mbaya kutalii kidogo!

Kuna rafik zangu 2 mmoja mkenya. Mwingine mtanzania waliwai fanya hivo kuendekeza starehe wakachukua na wanawake.

Asubuh walijikuta na boksa tu.mizigo yao ilikombwa na pesa pia. Na hawakupewa msaada wowote waliomba kulala store siku 3 hadi wakatumiwa nauli kwao.

Kama unaenda kuchukua mzigo usijiingize kwa starehe ila kama umeenda kutalii sawa
 
du hii biashara sijui kama utaifanya,hata hujui uanze na mtaji kiasi gani!hata hujui utaishi wapi ukiwa uganda!kwani wewe ndo wale wakisafiri hadi afikie kwa nduguye!!

hukulazimishwa kutoa ushauri!

yani hata umeshindwa kutoa currency problem differences kumsaidia mdada wa watu?

kwani ungemwambia kwamba pesa ya tanzania ina ahueni angalau kuliko ya ug ungepigwa ban?

aargh! kukatisha tu wenzennu tamaa!
 
Kuna rafik zangu 2 mmoja mkenya. Mwingine mtanzania waliwai fanya hivo kuendekeza starehe wakachukua na wanawake.

Asubuh walijikuta na boksa tu.mizigo yao ilikombwa na pesa pia. Na hawakupewa msaada wowote waliomba kulala store siku 3 hadi wakatumiwa nauli kwao.

Kama unaenda kuchukua mzigo usijiingize kwa starehe ila kama umeenda kutalii sawa

Hahahaa, kumbe waliendekeza starehe, hapo sawa. Lakini kutalii kidogo miji ya watu kwangu mimi muhimu sana, najifunza mengi pia, thats just me!
 
Mkuu Money Stunna binafsi umenisaidia sana..kwani mimi nko hapa Mutukula ajabu sijawahi kufika hapo kampala...najipanga nitaenda karibuni angalau nikajionee mwenyewe biashara za huko.....kweli itakuwa biashara za huko zinalipa nawaona wafanyabiashara wa Dar na Mwanza wanapita sana hapa mkuu
 
hahahaa yan uko hapo mutukula,kampala ujafika!!! nafikiri uwa unawaona wafanyabiashara wanaoenda na kurudi kuchukua mzigo,jitahidi ufike usihishie Kyotera au masaka,ufike Kampala
 
Yap nawaonaga wafanyabiashara wengi wanavuka boda kufata mizigo ila naona kama wanasumbuka sana na kodi za Tra....ofisi zao pale Kyaka zimekaa vibaya...biashara watu wengi wanapenda kuzifanya mkuu tatizo ni mitaji....
 
Ni kweli tatizo mtaji. Mtaji ndio tatizo na mambo za kukopa si nzuri.

Ila unaweza kwenda kusafisha macho wikend moja.
 
Kampala viatu bana. Hizi raba simple simple zipo kibao afu za ukweli kinoma. Lakini nguo sidhani. Hakuna nguo nzuri na latest kuliko dar. Kama vipi nenda Nairobi mitumba mizuri na ya kutosha.
 
Back
Top Bottom