Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
usiishie kusema tu nataman nataman THUBUTU..nenda ht km iweje..!kila la heri..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama upo mwanza nitafute ata mimi nafanya hiyo biashara nitakuunganisha na watu wanaoenda kampalaHabari msaada natamani sana kwenda uganda kwaajili ya biashara ya viatu, kununua kule nilete huku. Lakini sijui pakuanzia, nafikia wapi, hotel, masoko na bei za bidhaa, jinsi y kusafirisha mzigo taxes zikoje, sina mwenyeji kabisa.
Napata woga kidogo ila ni swala nalotamani kulifanya, msaada Ma boss
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama upo mwanza nitafute ata mimi nafanya hiyo biashara nitakuunganisha na watu wanaoenda kampala
Sent using Jamii Forums mobile app
Kampala hakuna shida kabisa,ukipanda gari za friends ukifika tu ofisini kwao kuna watu wa hotel inaitwa kilimanjaro inn wanakuja kupokea wateja,hiyo hotel ni nzuri coz ipo katikati ya maduka zipo na nyingine kama kk trust etc
Viatu mostly vipo jengo la capital ground floor na majengo mengine hapo hapo around
Tax mnalipia mpakani unaweza lipa mwenyewe au ukampa conductor afanye on ur behalf
Mzigo kusafirisha sio ghali kwa bus
Wanaongea kiswahili kiasi na english pia so hamuwezi shindwa kuelewana
Enjoy your trip
usiishie kusema tu nataman nataman THUBUTU..nenda ht km iweje..!kila la heri..
Lakini pia Kiswahili wanaongea japo si sana, kwa hiyo mnaweza kuelewana bei. Moja ya changamoto ya Kampala ni kua kama wakijua wewe ni mgeni bas bei hua inachangmka kidgo. Yes, Kampala kuna vitu vingi vizuri kias unaweza ukanunua na kuvuka budget yako! Angalizo tu Hela ya nauli pamoja na hela ya kulipa boda(Mutukula) incase akina zakayo wakikuotea itenge pembeni kabisa ama ukishuka tu kata tiketi ya gari la kuludi.
Bata la kule nisiliongelee kabisa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiogope kuhusu lugha Kampala wafanyabiashara wa Uganda waliopo pale wengi wao kiswahili kinapanda.
Vitu ni bei nafuu ukienda na pesa utanunua vitu na bado utatamani ununue zaidi.
Mwaka juzi niliuliza kiatu aina ya Sebago hapo Kampala maduka karibu na Stendi ya daladala nikaambiwa ni elfu 40 ya Uganda (mitwalo minne), ambayo ukibadili kwa Tsh ilikuwa ni elfu 20.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni pm namba zako nitakutafutaAsante boss, naomba namba yako , nakuja mwanza mwezi wa tatu... Iwe rahis kukuchek
Sent using Jamii Forums mobile app
Inakuaje Uganda inakuwa Bei rahisi lakin hawana kiwanda kikubwa Cha viatu au wait wanatoah wapii
Na ukienda ulete feedback wengi wanauliza hivi hivi na hawarudi kusema ilikuaje...
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaendelea na biashara au umeacha?[emoji16][emoji16][emoji16] nimesoma nacheka huu uzi. Wewe dada nikiacha mengine yote ya kupata waliokupa namba za simu, mara sijui pm muwasiliane mara mkutane mwanza mie nakushauri kama ifuatavyo.
Kuna Uzi humu ukiutafuta unaelezea sana habari za Uganda na Wengine tumetoa uzoefu wetu wa kwenda mara ya kwanza.
Nakusisitiza nenda peke yako. (Sijui umenielewa)?
Siku ya kwanza nilienda peke yangu, sikutaka kupelekwa na mtu nisiyemfahamu. Sasa ukiona yafaa wewe pelekwa na mnaokutana humu uone. (Utaliwa mpk ushangae) we si mwanamke wewe[emoji3][emoji3]
Sikwambii ufanye nn, ila soma nilivo safiri itakusaidia. Nilienda kukata uhamiaji hati ya dharula ya kusafiria. Kama sikosei ilikuwa 15000/=
Nikapanda gari ubungo, safari ikaanza, nikalala kahama, hapo nimevaa soksi ndefuuu mpk mapajani za mpira[emoji3][emoji3] humo nimepanga maburungutu ya millions zangu, alafu nikavaa suruali pana tu.
Kesho yake asbh tulitoka kahama nikaingia kampala saa 9 au 10 hivi. Safarini tayari kwenye gari kuna wafanya biashara tulianza kupiga stori njiani (huwakosi) ila sikuwaonesha mie ndio first time[emoji41]
Katika stori tu njiani, nilijua gest ya katikati ya mji, majengo ya bidhaa, lakini pamoja na yote nilitoka na ramani ya hivyo vyote hapa jamii forum (uzi upo) unaeleza mpaka gesti.
Tuliposhuka stand nikachukua boda nikamwambia nipeleke gest flan, alipojua mie Mtanzania akabadili lugha akaanza kugonga kiswahili (kibovu lakini). Prrrrrrrrri tuk tuk mpaka gesti nikalipia elfu 25 ya Uganda ilikuwa kama elfu 15/16 ya Tanzania. Nikalala
Hii gesti niliolala ingekuwa Tanzania basi nimelala karikakoo kabisaa, ukitoka nje ni maduka. Basi asbh mzee nikaanza kukata mitaa mwenyewe napita jengo mpk jengo na study. Lakin nilipolala hapo walilala pia watanzania wawili waanya biashara wazoefu, na mkongo mmoja ambao jioni ile kulikuwa na match chini sehemu ya chakula tukakaa tunapiga stori kabla ya kulala
Aisee katika story walinipa madini sana ya biashara, zinavofanyika, kupita mpakani, na kuongeza kipato kwa kubeba mzigo unapokuja uganda na unabeba unaporudi. So hakuna kusafiri kiboya.
Aisee ni mengi, siwezi eleza yote. Kesho yake kama nilivoeleza hapo juu nikafanya kuzunguka mwenyewe nikajua mengi, nikarud kulala kuwa sasa kesho naenda kununua. Usiku huo pia wakaja watanzania watatu wanawake pale lodge. Wawili toka dar, mmoja kigoma.
Aisee wale wadada tulikaa tujapiga story wakanipa ramani hadi nikahsi naamka tajiri leo. Kesho yake nikaingia nao madukani japo tuliachana, kila mtu akawa bize kufunga mzigo, ukishafungwa moja kwa moja kwenye gari. Kesho yake alfajiri safari
Hapo mnarudi njiani mko wengi, na stori kama zote (naimani ushanisoma eeh?) Utapewa mbinu na kila ujanja.
Dada imetosha. Ondoka nenda, mpk unafika ushakuwa mwenyeji. Kila la kheri.
Dumelang
Noo siyo wachache bhana ni wengi na ata kiswahili wanabonga freshNchi ya watu ile ndugu yangu , lugha tofauti, naskia wachache huongea english
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenikumbusha mbali mkuu kwa hii pic. I miss KampalaPanda basi hadi Kampala unaingia saa 1 jioni kama umeanzia safari Mwanza na kama umelala Bukoba utaingia saa 7 mchana. Kwenye hoteli utakayofikia ongea na meneja akupatie tax dreva anayemfahamu yeye akupeleke kwenda kukutembeza na si vibaya ukatenga elfu 10 ya Tz akakupatia hata binti wa kukutembeza kwa miguu. Nakuhakikishia hautajutia kwenda Kampala, na nakuhakikishia wazo uliloendanalo ukikanyaga tu jijini Kampala utabadiri msimamo na kujikuta kila kitu unataka ununue maana kinalipa tu. Mie siku ya kwanza baada ya kukanyaga jijini nilishindwa kununua chochote ikabidi nirudi kwanza chumbani kulala nikitafakari ninunue nini na niache nini.View attachment 1026446
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulikuw unchkua mzgo gn?[emoji16][emoji16][emoji16] nimesoma nacheka huu uzi. Wewe dada nikiacha mengine yote ya kupata waliokupa namba za simu, mara sijui pm muwasiliane mara mkutane mwanza mie nakushauri kama ifuatavyo.
Kuna Uzi humu ukiutafuta unaelezea sana habari za Uganda na Wengine tumetoa uzoefu wetu wa kwenda mara ya kwanza.
Nakusisitiza nenda peke yako. (Sijui umenielewa)?
Siku ya kwanza nilienda peke yangu, sikutaka kupelekwa na mtu nisiyemfahamu. Sasa ukiona yafaa wewe pelekwa na mnaokutana humu uone. (Utaliwa mpk ushangae) we si mwanamke wewe[emoji3][emoji3]
Sikwambii ufanye nn, ila soma nilivo safiri itakusaidia. Nilienda kukata uhamiaji hati ya dharula ya kusafiria. Kama sikosei ilikuwa 15000/=
Nikapanda gari ubungo, safari ikaanza, nikalala kahama, hapo nimevaa soksi ndefuuu mpk mapajani za mpira[emoji3][emoji3] humo nimepanga maburungutu ya millions zangu, alafu nikavaa suruali pana tu.
Kesho yake asbh tulitoka kahama nikaingia kampala saa 9 au 10 hivi. Safarini tayari kwenye gari kuna wafanya biashara tulianza kupiga stori njiani (huwakosi) ila sikuwaonesha mie ndio first time[emoji41]
Katika stori tu njiani, nilijua gest ya katikati ya mji, majengo ya bidhaa, lakini pamoja na yote nilitoka na ramani ya hivyo vyote hapa jamii forum (uzi upo) unaeleza mpaka gesti.
Tuliposhuka stand nikachukua boda nikamwambia nipeleke gest flan, alipojua mie Mtanzania akabadili lugha akaanza kugonga kiswahili (kibovu lakini). Prrrrrrrrri tuk tuk mpaka gesti nikalipia elfu 25 ya Uganda ilikuwa kama elfu 15/16 ya Tanzania. Nikalala
Hii gesti niliolala ingekuwa Tanzania basi nimelala karikakoo kabisaa, ukitoka nje ni maduka. Basi asbh mzee nikaanza kukata mitaa mwenyewe napita jengo mpk jengo na study. Lakin nilipolala hapo walilala pia watanzania wawili waanya biashara wazoefu, na mkongo mmoja ambao jioni ile kulikuwa na match chini sehemu ya chakula tukakaa tunapiga stori kabla ya kulala
Aisee katika story walinipa madini sana ya biashara, zinavofanyika, kupita mpakani, na kuongeza kipato kwa kubeba mzigo unapokuja uganda na unabeba unaporudi. So hakuna kusafiri kiboya.
Aisee ni mengi, siwezi eleza yote. Kesho yake kama nilivoeleza hapo juu nikafanya kuzunguka mwenyewe nikajua mengi, nikarud kulala kuwa sasa kesho naenda kununua. Usiku huo pia wakaja watanzania watatu wanawake pale lodge. Wawili toka dar, mmoja kigoma.
Aisee wale wadada tulikaa tujapiga story wakanipa ramani hadi nikahsi naamka tajiri leo. Kesho yake nikaingia nao madukani japo tuliachana, kila mtu akawa bize kufunga mzigo, ukishafungwa moja kwa moja kwenye gari. Kesho yake alfajiri safari
Hapo mnarudi njiani mko wengi, na stori kama zote (naimani ushanisoma eeh?) Utapewa mbinu na kila ujanja.
Dada imetosha. Ondoka nenda, mpk unafika ushakuwa mwenyeji. Kila la kheri.
Dumelang
[emoji16][emoji16][emoji16] nimesoma nacheka huu uzi. Wewe dada nikiacha mengine yote ya kupata waliokupa namba za simu, mara sijui pm muwasiliane mara mkutane mwanza mie nakushauri kama ifuatavyo.