Biashara ya Nguo za Mtumba: Ushauri na Muongozo wa Kuifanya kwa Mafanikio

Biashara ya Nguo za Mtumba: Ushauri na Muongozo wa Kuifanya kwa Mafanikio

Mkuu tafuta soko nzuri na ujue watu wako wanahitaji nguo za aina agan, na uwe makini wakti wa kuchagu hayo mabelo wackupe bortion ucje kulia bure.ukiipatia unatoka fasta mno sio siri inalipa.mi mwenyewe nasoma kwa kwa msaada wa kazi iyo.
 
Mkuu tafuta soko nzuri na ujue watu wako wanahitaji nguo za aina agan, na uwe makini wakti wa kuchagu hayo mabelo wackupe bortion ucje kulia bure.ukiipatia unatoka fasta mno sio siri inalipa. Mi mwenyewe nasoma kwa kwa msaada wa kazi iyo.

Heshima yako mkuu.
 
Nimesoma comments za watu kuhusu bsness hii nyingi ni nzuri ila ningependa kuongea vichache ninavyovifahamu.Kwanza gross profit margin ya 50% to 100% kwenye bness hii IPO Na watu wanatengeneza hiyo pesa however mi namshauri huyu Jamaa aanze Na mitumba ya watoto Na nguo za wanawake.

Baro la nguo nzuri kwa watoto linaanzia 200,000 mpaka 480,000 inategemea na za nchi gani,umri na material kwa nguo za akina Dada cjui bei ya Baro but am sure kwa laki 4 was 5 anapata.Halafu aanze kwa kununua mabaro hapa Kkoo then awe anauza nje ya mji Mfano kimara mbezi bunju etc coz costs za fremu huku town itamgharimu lakini pia competition kubwa mjini. Mi ndo naanza ya nguo za watoto.
 
Habari wajasriamali.

Nina mpango wa kuanza biashara ya kuuza mitumba kwa rejareja mikoani, naomba kujua hapa Dar sehemu naweza pata balo (sijui ndo robota) za mashati/suruali za ukweli ambayo yatakuwa rahisi kuuzika na bei zake zikoje?

Mtaji wangu ni mdogo hivyo sitoweza kuifuata nje ya nchi maana nimeona post kadhaa humu ndani za kwenda kufuata nje.

Naomba msaada wa haraka wajasirimali wenzangu.

Natanguliza shukrani....
 
Habari wajasriamali.
Nina mpango wa kuanza biashara ya kuuza mitumba kwa rejareja mikoani, naomba kujua hapa Dar sehemu naweza pata balo (sijui ndo robota) za mashati/suruali za ukweli ambayo yatakuwa rahisi kuuzika na bei zake zikoje? Mtaji wangu ni mdogo hivyo sitoweza kuifuata nje ya nchi maana nimeona post kadhaa humu ndani za kwenda kufuata nje. Naomba msaada wa haraka wajasirimali wenzangu. Natanguliza shukrani....

Anza!!!!
 
mkuu jaribu kutembelea mnazi mmoja kuna wahindi pale wanamaduka ya kuuza mabelo
ila kabla ya yote jaribu asubuh kwenda karume ukadodose mawili matatu namna ya kupata belo zuri lisilochakachuliwa
au mtafute kijana wa kazi bwana WISEBOY
 
Mkuu biashara ya mtumba ina msimu, namaanisha msimu wa kuuza sana nguo na hasa nguo za watoto na akina weshu ni miezi ya sikukuu hasa sikukuu za Eid na kipindi cha mavuno baadhi ya sehemu, kwa mfano asaiv ni misimu ya wafanyabiashara ya nguo mikoa ya kanda ya kati Dodoma, singida na maeneo ya jirani kama kilindi na handeni. usilogwe ufanye biashara ya nguo mwezi December, utalia.

Ushauri wangu kama unataka kwenda front mwenyewe ni heri ubaki upige hesabu zako za calculus,
vijana waliomaliza std 7 hutawaweza kwa hiyo biashara huko minadani.
 
Ahsante wangu kwa ushauri. Nina soko tayari ninachohitaji ni nguo ziwe quality kuna sehemu nimeivumbua inalipa "kimahesabu" na ushindani ni mdogo sanaaaaaa!
 
Vipi una sh. ngapi ya kuanzia mtaji ili tuweze kukupa ushauri wenye mafanikio na faida kwako.
 
Ahsante wangu kwa ushauri. Nina soko tayari ninachohitaji ni nguo ziwe quality kuna sehemu nimeivumbua inalipa "kimahesabu" na ushindani ni mdogo sanaaaaaa!

Mkuu bongoland fitina nyingi usitegemee kukosa ushindani kabisa coz once wakiona unazichanga kupitia kijibiashara chako haitapita mwezi watajitokeza with same idea just kukuharibia tu! Bongo ubunifu zero.
 
Back
Top Bottom