Biashara ya Nguo za Mtumba: Ushauri na Muongozo wa Kuifanya kwa Mafanikio

Biashara ya Nguo za Mtumba: Ushauri na Muongozo wa Kuifanya kwa Mafanikio

Biashara ya vitu vya ug iko juu sababu ya ubora wa bidhaa zake sio kama Tanzania so changamkia fursa.
 
Ila ni aibu sana watu wanafuata vitu uganda wakati bandari ipo dar. shida ni kodi au? Je, sisi haruwezi wekeza na kuleta hivyo vitu quality hapa bongo?
 
Nataka kuanza biashara ya m2mba.nimahal gan kwa dar naweza pata nguo nzur za mchanganyiko(watoto ke$me,wanawak e na wanaume.)
 
wadau habari zenu ninahitaji kufanya biashara ya nguo za watoto wa kiume na kike za mitumba.naomba kufahamishwa no sehem gan kwa dar na we a pata mabaro daraja LA kwanza .na zp changamoto zake.nawakilisha kwa msaada wa mawazo

NAona hii "siredi" watu waliipotezea ila ni muhimu sana. Nina duka la nguo na vifaa vya michezo ya watoto, nimepata wazo la kuongeza na vitu vya mitumba ambavyo ni grade ya juu kabisa. Hasa nguo na viatu. Ngoja niifufue pengine wadau wataiona
 
nimesoma comments za watu kuhusu bsness hii nyingi ni nzuri ila ningependa kuongea vichache ninavyovifahamu.Kwanza gross profit margin ya 50% to 100% kwenye bness hii IPO Na watu wanatengeneza hiyo pesa however mi namshauri huyu Jamaa aanze Na mitumba ya watoto Na nguo za wanawake...Baro la nguo nzuri kwa watoto linaanzia 200,000 mpaka 480,000 inategemea Na za nchi gani,umri na material kwa nguo za akina Dada cjui bei ya Baro but am sure kwa laki 4 was 5 anapata.Halafu aanze kwa kununua mabaro hapa Kkoo then awe anauza nje ya mji Mfano kimara mbezi bunju etc coz costs za fremu huku town itamgharimu lakini pia competition kubwa mjini....mi ndo naanza ya nguo za watoto

Grade 1 ya viatu mitumba ya watoto kwa hapo Kariakoo inapatikana?? Bei zake?? Na nguo grade one watoto pia?? Hope to hear you soon
 
NAona hii "siredi" watu waliipotezea ila ni muhimu sana. Nina duka la nguo na vifaa vya michezo ya watoto, nimepata wazo la kuongeza na vitu vya mitumba ambavyo ni grade ya juu kabisa. Hasa nguo na viatu. Ngoja niifufue pengine wadau wataiona

Kiongozi wewe mzigo wako wa vifaa vya jumla hua unachukulia na average mtaji unatakiwa angalau uwe na shillingi ngapi? mimi nina interest na kuanzisha duka la nguo za watoto, viatu, powder, na kadhalika.
 
NAona hii "siredi" watu waliipotezea ila ni muhimu sana. Nina duka la nguo na vifaa vya michezo ya watoto, nimepata wazo la kuongeza na vitu vya mitumba ambavyo ni grade ya juu kabisa. Hasa nguo na viatu. Ngoja niifufue pengine wadau wataiona

Ntajifunza hapa pia
 
Nina nguo za Watoto naziuza kwa jumla..nilizinunuwa kwa ajili ya duka langu..ila nimeamua kujikita kwenye nguo za maharusi..kama utazitaka ni inbox Facebook Julieth Ivanov...au ni check kwenye Emmanuel bridal maharusi shop..au East Africa wedding dresses suppliers.

Ni nguo nzuri toka sainsbury UK. Zipo kama pair 30..mpya siyo mtumba.
 
Katika maeneo ninayoishi nimegundua kuwa watu wanavaa nguo sub standard kwa bei kubwa ambazi nyingi zinatoka China. Kuna mama huwa anauza nguo za mitumba nzuri kwa bei robo ya hizi za kichina zinazounguza !ni bahati mbaya huyu mama sijamuona na sijui anaishi wapi. Nataka nifungue duka niuze mitumba ya daraja la juu naomba mwongozo kwa wadau wenye ufahamu/ Katika duka hilo pia ningependa kuuza pia vipodozi je biashara ikoje, mwenye ufahamu anipe angalau mchanganuao nina mtaji wa M3 Tsh. Nipo DAR!

Watu wasikukatishe tamaa ndg, tena mimi si kwa rafiki wala jirani, nilianza mtumba, kwa kununua bero moja tu pale mnazi mmoja, faida ikatoka karibu sawa na bei ya baro nikarudia.

Nguo za kike zinalipa, mashuka na viatu, za kiume suruali na mashati ila wanaume wanakamatika kiurahs ukiwafikishia maeneo yao ya kazi au kwa kufuatwa.

Nimewai kwenda Uganda, najua vizur pia huko, anzia nyumbani uimarike kibiashara, japo mimi nimeajiriwa serikalini lakn nafanya sana mtumba. Na ivi sasa naanza likizo june, nitaendelea na mtumba kama kawa.

Mil 3 ni nyingi, suala la kununua bero na au za kuotea za kutundika/mnada ni wewe tu na upendo wako, za bero lazima ukute na marapurapu ndani, ingawa huwa tunauza cheap, na hazikosi wavaaji au wanunuzi, za kuotea utauza zote bila kuacha rapurapu lkn je? Unauzoefu wa kuotea nguo? Yani ukiiona tu unapoint? Maana mnakuwa wengi kayika ku point na wwngi ni wazoefu.

Hapo inahtaji mtu anaeona nguo tu nakujua hii ni sumu la sivo utaotea zote takataka au zinazokuvutia wewe binafs alafu zisivutie wateja.

Sehemu ya kupoint nguo ni ilala Boma, alifajir saa kumi na moja, baadae hakuna soko asbh meza ni za wanaouza kawaida kwa wapita njiA

Uliza swali kwa kile sikuandika nitakujibu.

Dresses za kike bero ya bei ya juu ni 380000/= kwa zile za kg 45, lakn unakuta bero ya top hadi 170000/= zinatofautiana kuanzia 150000/= mpk 400000/= hapo ndio juu sana kwa beri ya kilogram 45 na ukienda utaonesha hapa grade B hapa 1
Note: bero zinauzwa kwa kilogram, bei nilioweka ni. Kwa kg 45 ambazo mara nyingu utakuta nguo hadi 200

Bero za mil 1 ni kilograms 100 nk

Kuna maduka wana nguo uhakika. Naweza kukupa namba private nikakuunganisha.

Jaribu usikatishwe tamaa.
 
Dar kubwa, jiji lina idadi ya watu mil 5.6 ww uko wapi?
Je nguo unazotaka kuuza ni za jinsia gani?
Mil 3, mtumba Grade 1 huwezi funga hata bell mmoja.
Toa habari zilizokamilika upate msaada Mkuu.

Unamkatisha mwenzio tamaa bila sababu.

Tufanye anaanza na bale moja ya grade A.

Tuanzie hapo.
 
Watu wasikukatishe tamaa ndg, tena mimi si kwa rafiki wala jirani, nilianza mtumba, kwa kununua bero moja tu pale mnazi mmoja, faida ikatoka karibu sawa na bei ya baro nikarudia.

Nguo za kike zinalipa, mashuka na viatu, za kiume suruali na mashati ila wanaume wanakamatika kiurahs ukiwafikishia maeneo yao ya kazi au kwa kufuatwa

Nimewai kwenda Uganda, najua vizur pia huko, anzia nyumbani uimarike kibiashara, japo mimi nimeajiriwa serikalini lakn nafanya sana mtumba. Na ivi sasa naanza likizo june, nitaendelea na mtumba kama kawa.

Mil 3 ni nyingi, suala la kununua bero na au za kuotea za kutundika/mnada ni wewe tu na upendo wako, za bero lazima ukute na marapurapu ndani, ingawa huwa tunauza cheap, na hazikosi wavaaji au wanunuzi, za kuotea utauza zote bila kuacha rapurapu lkn je? Unauzoefu wa kuotea nguo? Yani ukiiona tu unapoint? Maana mnakuwa wengi kayika ku point na wwngi ni wazoefu,

Hapo inahtaji mtu anaeona nguo tu nakujua hii ni sumu la sivo utaotea zote takataka au zinazokuvutia wewe binafs alafu zisivutie wateja

Sehemu ya kupoint nguo ni ilala Boma, alifajir saa kumi na moja, baadae hakuna soko asbh meza ni za wanaouza kawaida kwa wapita njiA

Uliza swali kwa kile sikuandika nitakujibu

Dresses za kike bero ya bei ya juu ni 380000/= kwa zile za kg 45, lakn unakuta bero ya top hadi 170000/= zinatofautiana kuanzia 150000/= mpk 400000/= hapo ndio juu sana kwa beri ya kilogram 45 na ukienda utaonesha hapa grade B hapa 1
Note: bero zinauzwa kwa kilogram, bei nilioweka ni. Kwa kg 45 ambazo mara nyingu utakuta nguo hadi 200

Bero za mil 1 ni kilograms 100 nk

Kuna maduka wana nguo uhakika. Naweza kukupa namba private nikakuunganisha.

Jaribu usikatishwe tamaa

Hizo namba na mimi nahitaji ndio naanza hii biashara.
 
Wadau,

Kwa yeyote anayefanya biashara ya nguo za jumla hasa za vijana naomba anicheki tufanye biashara. Biashara yako iwe located Dar au popote Tanzania na sio nje ya nchi. Aina ya nguo ni tshirts, jeans na viatu.
 
Mie niko kakolA kahama nataka kufanya hiyo biashara naomba unipe utaratibu wa kupata hizo nguo
 
Back
Top Bottom