Biashara ya Nguo za Mtumba: Ushauri na Muongozo wa Kuifanya kwa Mafanikio

Biashara ya Nguo za Mtumba: Ushauri na Muongozo wa Kuifanya kwa Mafanikio

Biashara ya mitumba inalipa tena ukengua wafungashia Kenya, kuna soko lamitumba tena mitumba first class.kama unahela ya kutosha hata kama laki 5 ivi kianzio, ila hii inataka uwe na sehemu waitundika au hata kijibanda chako cha kufanyia biashara

Vipi kuhusu mipakani kaka. Huwa wanatoza kodi yao vipi?
 
Kanunue mitumba quality first class uganda ulete bongo

Uganda sehemu gani wangu. Nina friend yuko kule tunahangaka nahii kitu kila tukifungua lonya tu. Tumefungua school bag, Mashati bado hovyo tu. Hii biashara ni ya kubahatisha sana.
 
Nijulishe aina za nguo unazotaka. Nikiyuma mzigo nitakufungia huo mzigo wako na ukifika Dar utapigiwa simu ukaangalie mzigo wako. Nipo Canada na sehemu ninayosushia mzigo ni machinga complex. Nimekuwa nikileta viatu tu lakini container inayofuata sasa itakuwa na nguo grade 1.

Email yangu ni faoincredible@yahoo.ca

Karibuni wote
 
serikali lalafi ya tanzania + tbs hawawezi ku~filter hata mitumba nayo tuchukulie kenya,ambayo ni grade nzuri, SERIKALI LALAFI AMKA SASA CHUJA MITUMBA MARONYA MWIKO TANZANIA EEHE SEREKALI LALAFI wakereketwa tunaumia sana sana!
 
Nijulishe aina za nguo unazotaka. Nikiyuma mzigo nitakufungia huo mzigo wako na ukifika Dar utapigiwa simu ukaangalie mzigo wako. Nipo Canada na sehemu ninayosushia mzigo ni machinga complex. Nimekuwa nikileta viatu tu lakini container inayofuata sasa itakuwa na nguo grade 1.

Email yangu ni faoincredible@yahoo.ca

Karibuni wote

Tuchekiane whatsApp 0757460737 ninahitaji hiyo kitu kaka mmwanzoni mwa december.
 
Nijulishe aina za nguo unazotaka. Nikiyuma mzigo nitakufungia huo mzigo wako na ukifika Dar utapigiwa simu ukaangalie mzigo wako. Nipo Canada na sehemu ninayosushia mzigo ni machinga complex. Nimekuwa nikileta viatu tu lakini container inayofuata sasa itakuwa na nguo grade 1.

Email yangu ni faoincredible@yahoo.ca

Karibuni wote

Mkuu nipe details za kutosha
 
Biashara ya mitumba ni biashara ambayo niifanya kama miaka miwili iliyopita!,Kwa kifupi katika ulimwengu wa biashara hakuna biashara rahisi, biashara rahisi ni ile tu inayokupa hasara na si faida, bila kupoteza muda ni kwamba biashara ya mitumba ni biashara nzuri ila kama tu unachaguo nguo nzuri kwa wale wanaofungua balo, Ila ukitaka uwe unafungua balo mwenyewe hapo ndipo utaichukia biashara ya Mitumba.
 
Mimi niko Tanga, nataka nianze biashara ya nguo (mitumba). Nataka kujua niwe na mtaji kiasi gani, Na je inalipa na nianze na nguo za kike au za kiume? Je, Dar zinapatikana kiasi gani?

My phone number 0778358746.
 
Wadau habari zenu. Ninahitaji kufanya biashara ya nguo za watoto wa kiume na kike za mitumba.naomba kufahamishwa no sehem gan kwa Dar na we a pata mabaro daraja LA kwanza .na zp changamoto zake.nawakilisha kwa msaada wa mawazo
 
Habari Wanajamii!

Kwa wale wajisiriamali wanaoenda kuchukua Viatu/Nguo za Mitumba Uganda Biashara ikoje kwa sasa huko?
Bei za T-shirts(nguo kwa ujumla)na viatu inaendaje huko?

Bado inalipa?
 
Back
Top Bottom