Biashara ya Nguo za Mtumba: Ushauri na Muongozo wa Kuifanya kwa Mafanikio

Biashara ya Nguo za Mtumba: Ushauri na Muongozo wa Kuifanya kwa Mafanikio

kamanda unantisha mimi hata belo moja ! Mimi nipo makuburi. Napenda jinsia zote ! Nikitaka kununua chache ili nianze kwani tuna ari kubwa!
KYALOSANGI Sikutishi mkuu,
sema tu taarifa zako hazikukamilika nikafikiri ulitaka kuandika mil 30, ukakosea ukasema 3. Ila hakuna ubaya ww jipange wenye msaada watakutafuta tu, hii si biashara bwana.
 
Last edited by a moderator:
kyalosangi sikutishi mkuu,
Sema tu taarifa zako hazikukamilika nikafikiri ulitaka kuandika mil 30, ukakosea ukasema 3. Ila hakuna ubaya ww jipange wenye msaada watakutafuta tu, hii si biashara bwana.
Ulivyoanza nikajua kipele kimepata mkunaji.
 
Dar kubwa, jiji lina idadi ya watu mil 5.6 ww uko wapi?
Je nguo unazotaka kuuza ni za jinsia gani?
Mil 3, mtumba Grade 1 huwezi funga hata bell mmoja.
Toa habari zilizokamilika upate msaada Mkuu.
Haya bhana ebu wenye uzoefu njooni manake huyu nahis anatupeleka chaka.
 
Dar kubwa, jiji lina idadi ya watu mil 5.6 ww uko wapi?
Je nguo unazotaka kuuza ni za jinsia gani?
Mil 3, mtumba Grade 1 huwezi funga hata bell mmoja.
Toa habari zilizokamilika upate msaada Mkuu.

Kaka usikatishe wenzio tamaa. Kuna vijana nawafahamu wanafuata grade 1 nairobi. Wanaenda na 3M wanarudi na mzigo wenye mashati 150-200,suruali 30-50,viatu 20-30 na wanauza maeneo ya Morocco, Posta. Mzigo huo wanatengeneza kati ya 5-6M na wanaenda kwa mwezi mara 2. Kwahio ndugu mwenye 3m hicho ni kianzio kizuri tu ila uwe committed mwenyewe kwenda hadi nairobi kufuata mzigo.
 
Katika maeneo ninayoishi nimegundua kuwa watu wanavaa nguo sub standard kwa bei kubwa ambazi nyingi zinatoka China .Kuna mama huwa anauza nguo za mitumba nzuri kwa bei robo ya hizi za kichina zinazounguza !ni bahati mbaya huyu mama sijamuona na sijui anaishi wapi .Nataka nifungue duka niuze mitumba ya daraja la juu naomba mwongozo kwa wadau wenye ufahamu/ Katika duka hilo pia ningependa kuuza pia vipodozi je biashara ikoje ,mwenye ufahamu anipe angalau mchanganuao nina mtaji wa M3 Tsh. nIPO DAR!

Nawajua watu wanaenda nairobi kuchukua grade 1 mitumba[mashati na suruali]...wana bajeti hio hio 3m wanapata mashati 150-200,suruali 30-50,viatu 20-25,wakiuza wanatengeneza kama 5-6m wanaenda mara 2 kwa mwezi,nguo zao ukiziona hazina tofauti na mpya na kali sana. Mitumba ya uk grade 1, location ya duka lako iwe sehemu nzuri kama Posta, Mwenge, Morroco coz bei ya hizi nguo wateja wake ni wa kati/juu.
 
nawajua watu wanaenda nairobi kuchukua grade 1 mitumba[mashati na suruali]...wana bajeti hio hio 3m wanapata mashati 150-200,suruali 30-50,viatu 20-25,wakiuza wanatengeneza kama 5-6m wanaenda mara 2 kwa mwezi,nguo zao ukiziona hazina tofauti na mpya na kali sana.....mitumba ya uk grade 1....location ya duka lako iwe sehemu nzuri kama posta,mwenge,morroco coz bei ya hizi nguo wateja wake ni wa kati/juu
TCleverly
Mashati pcs 150
Suruali pcs 30
Viatu pair 25
Grand Total 205

Capital
3, 000,000 * 205 = 14,700/= per pc
Hebu tuonyeshe profit ya mil 5,000,000 kwenye huu mzigo ili tuache kazi mwisho wa mwezi Mkuu, :smash:
 
Last edited by a moderator:
Kibiashara mi nafikri chagua jinsia ya kufanyia biashara kama ni mitumba ya KIKE au ya KIUME kwa kuanzia. maana ukiniambia unachanganya zote nina wasi wasi kwa kuwa hujajua biashara ilivyo.
 
TCleverly
Mashati pcs 150
Suruali pcs 30
Viatu pair 25
Grand Total 205

Capital
3, 000,000 * 205 = 14,700/= per pc
Hebu tuonyeshe profit ya mil 5,000,000 kwenye huu mzigo ili tuache kazi mwisho wa mwezi Mkuu, :smash:

5-6m turnover....profit ni 2-3m
 
Unatakiwa uwe mzoefu na nguo (kuzichagua) then uwa na muda wa kwenda masokoni kununua kwa mnada! otherwise unahitaji mtaji kidogo kuanza kazi! angalau mil2 unaweza anza biashara! kuna bwana mdogo ndo dili zake so nina uelewa kidogo na hii buzness.
 
5-6m turnover....profit ni 2-3m

Mkuu pcs 205 ,

Chukua mtaji tsh 3,000,000/205 = tsh14,7000

Turn over tsh 6,000,000/205 = tsh 30,000 ili kupata turn over ya 6,000,000 kila pc auze kwa avarage price ya 30,000 ,
na hapo ujatoa usafirishaji, kodi ya banda, gharama ndogo ndogo.

hapo: smash:
 
mkuu pcs 205 ,

Chukua mtaji Tsh 3,000,000/205 = tsh14,7000

Turn over tsh 6,000,000/205 = tsh 30,000 ili kupata turn over ya 6,000,000 kila pc auze kwa avarage price ya 30,000 ,
na hapo ujatoa usafirishaji, kodi ya banda, gharama ndogo ndogo hapo :smash:

Bro, those figures are estimates not exactly like 2-1=1 kiukweli bei za mashati tu ni 25-30,suruali <30,viatu ndio balaa si chini ya 100,000.

Acheni negativity. Kuna vijana wanafanya hii kazi nawajua and they make those figures,wanaenda 2 times a month!!!
ndio maana nikasema mwanzo duka lako liwe sehemu nzuri coz wateja ni watu wa kati/juu sana[hii ni mitumba grade A ni almost new kabisa].

Kuna mdau kasema hapo juu unatakiwa ujue nguo na taste za wateja[sio taste zako] sio kila mtu anaweza hilo sio usivamie kwasababu fulani anafanya.
 
Unatakiwa uwe mzoefu na nguo (kuzichagua) then uwa na muda wa kwenda masokoni kununua kwa mnada! otherwise unahitaji mtaji kidogo kuanza kazi! angalau mil2 unaweza anza biashara! kuna bwana mdogo ndo dili zake so nina uelewa kidogo na hii buzness.

Waeleze hao maana wanaona its too good to be true.
 
bro,those figures are estimates not exactly like 2-1=1. Kiukweli bei za mashati tu ni 25-30, suruali <30,viatu ndio balaa si chini ya 100,000.
Acheni negativity. Kuna vijana wanafanya hii kazi nawajua and they make those figures,wanaenda 2 times a month!!!
ndio maana nikasema mwanzo duka lako liwe sehemu nzuri coz wateja ni watu wa kati/juu sana[hii ni mitumba grade A ni almost new kabisa].

Kuna mdau kasema hapo juu unatakiwa ujue nguo na taste za wateja[sio taste zako] sio kila mtu anaweza hilo sio usivamie kwasababu fulani anafanya
TCleverly
This is about reality of figures under certain limited assumptions,
Your theory part does not justify the reality of matter, huyu Mkuu kaja kutafuta ushauri with a very limited capital at hand, hili sio swala lakutiana moyo, Life is real Mkuu, turnover ya 6Mil, profit margin 3 to 2Mil twice a month, too sweet to be true man.:embarassed2:
 
Siko hapa kumtia mtu moyo wala kukatisha tamaa. Najua watu wanafanya hii biashara,rafiki zangu, wanapata hizo hela, washajenga, wanasomesha watoto decent schools, wana magari kwa kazi hii ya kuuza nguo,believe me mzigo wanaoenda kuchukua twice a month ni 3m tsh only.

Wateja wao wakubwa wamo kwenye ofisi za hapo posta vijana wote wajanja wanavaa nguo za hao jamaa wakileta mzigo wanapigia watu simu. Wana daftari la namba za simu kama 300 i guess.

Mzigo mpya ukija wanauza almost half in one day coz kila mteja anataka kuwa wa kwanza. It's unbelievable. I know u want to ask me why I dont join them. I will join them in a very very large scale. Time will tell
 
Ni kweli watu wanafanya hii biz na ina faida ila kama ilivyo kwa biashara zote location ni muhimu pia hata bila locations ukipata contacts na kuweza ku satisfy taste na mahitaji yao waweza maintain soko. Kwavile unaanza mtaji unatosha badala ya kwenda nairobi waweza muomba mtu akuletee uanze na mzigo mdogo ukiangalia taste ya wateja huku unatafuta contacts hata ikibidi beba kwa hanger kwa gari kuwafata.

Ukijua taste zao unaanza kwenda mwenyewe tena unakuwa kama unanunua ulizoagizwa zikifika tu nusu inaisha. Ila nadhani chagua kundi moja hasa rika lako au friends ili iwe rahisi kujua taste na ulipaji wao. Sio tofauti na wanaoleta nguo mpya toka sijui UK au US, nimeona watu wanauza hadi ml 2+ bila frame yoyote kwa kufata wateja.

Wanawake rika zote ndo soko kubwa sana, wanaume vijana sawa, watu wazima sidhani na pia frequency ndogo akinunua mwaka hadi mwaka hatakubali ya mkononi.
 
Siko hapa kumtia mtu moyo wala kukatisha tamaa. Najua watu wanafanya hii biashara, rafiki zangu, wanapata hizo hela, washajenga, wanasomesha watoto decent schools, wana magari kwa kazi hii ya kuuza nguo, believe me mzigo wanaoenda kuchukua twice a month ni 3m tsh only. Wateja wao wakubwa wamo kwenye ofisi za hapo posta vijana wote wajanja wanavaa nguo za hao jamaa wakileta mzigo wanapigia watu simu. Wana daftari la namba za simu kama 300 I guess. Mzigo mpya ukija wanauza almost half in one day coz kila mteja anataka kuwa wa kwanza. It's unbelievable. I know u want to ask me why i dont join them. I will join them in a very very large scale. Time will tell

Ye! Na ukitaka kutoka kwny hii ni kuwa na wateja wa uhakika +location nzuri
 
TCleverly
This is about reality of figures under certain limited assumptions,
Your theory part does not justify the reality of matter, huyu Mkuu kaja kutafuta ushauri with a very limited capital at hand, hili sio swala lakutiana moyo, Life is real Mkuu, turnover ya 6Mil, profit margin 3 to 2Mil twice a month, too sweet to be true man.:embarassed2:
Ndugu hayo madesa yako uliyoyasoma ya economics sijui vitu gani..unatakiwa uyaache kwenye UE tuu. Sometimes practice na madesa tuliyoyasoma hayaa apply kihiivyo so kama unaambiwa watu wana make profits usibishe..coz wewe na mim hatufanyi..vile vile riziki haifanani maana watu watano wanaweza fanya kitu kimoja lakini may be wawili au mmoja akapata faida sana na wengine hasara sana. 1 day of practice is worth 100 years of theory..!!!
 
ndugu hayo madesa yako uliyoyasoma ya economics sijui vitu gani..unatakiwa uyaache kwenye UE tuu..sometimes practice na madesa tuliyoyasoma hayaa apply kihiivyo so kama unaambiwa watu wana make profits usibishe..coz wewe na mim hatufanyi..vile vile riziki haifanani maana watu watano wanaweza fanya kitu kimoja lakini may be wawili au mmoja akapata faida sana na wengine hasara sana..1 day of practice is worth 100 years of theory..!!!

Kweli kabisa.
 
Back
Top Bottom