Biashara ya Nguo za Mtumba: Ushauri na Muongozo wa Kuifanya kwa Mafanikio

Biashara ya Nguo za Mtumba: Ushauri na Muongozo wa Kuifanya kwa Mafanikio

Daa hii biashara mother angu aliifanya sana na alikuwa ana chukua kariakoo hata lile duka nimesha lisahau lakini inalipa sana! Maana alikuwa akishusha mzigo anauza sana.

Biashara nzuri!
 
Ndo nataka niifanye na mie, tatizo wahindi wanachakachua first class, la ndo ufate kampala au nairobi au ujilipue kuagiza nje, lakini kuna chimbo nimeligundua acha nitake risk nione zitakuwaje.

Daa hii biashara mother angu aliifanya sana na alikuwa ana chukua kariakoo hata lile duka nimesha lisahau lakini inalipa sana! Maana alikuwa akishusha mzigo anauza sana.

Biashara nzuri!
 
Nahitaji msaada kwa yeyote anayejua kuhusu ununuaji wa mashuka ya mtumba-grade 1. Mimi niko Dar, nataka kupata mashuka ya mtumba kwa jumla niuze kwa reja reja, ila nataka best quality. Kwa mfano kuna wale vijana wanauzaga namanga pale wanayo mkononi, grade km ile au zaidi, tatizo sijui pa kupata ya jumla.
Msaada wana-JF!!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
mafioso

Mzee mimi sijaanza biashara bado kwahiyo ntashindwa ku kuahidi kuwa ntaleta mashuka but huyo supplier ambae Mungu akipenda ntakuwa namtumia nauza mashuka, pillow cases, table cloth etc. Sijui kwa Tanzania right now wapi unaweza kuvipata. Sorry najua sijakuwa msaada ulioutaka but nikipata more info ntakujulisha
 
@ thinkpad

40 pairs sio nyingi sana! Kama utakuwa tayari kuvitoa kwenye mabox am sure unaweza kuvipaki vizuri ukavitu kwa njia ya posta. Am sure itakuwa reasonable but posta ya bongo ndio wa naweza kukuzingua kwenye malipo.
 
Hermann asante mkuu, hakuna neno umesaidia kiasi chake. Lemmi hear kama kuna wengine watakaoweza kuniongezea mwanga walau kidogo.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
ndo nataka niifanye na mie ...tatizo wahindi wanachakachua first class...la ndo ufate kampala au nairobi au ujilipue kuagiza nje......lakini kuna chimbo nimeligundua acha nitake risk nione zitakuwaje

Hizo belo zinapatikana wapi hayo maduka plse na mimi nahitaji belo za magauni.
 
Ndugu wana jamvi, Baraka zake Labana ziwe juu yenu wote:

Naomba ushauri juu ya biashara ya nguo(mpya) katika mambo yafuatayo:

1. Kiwango cha chini cha mtaji ambacho ninaweza kuanza nacho.
2. Faida yake
3. Jinsi ya kupata mzigo

Napenda sana hii biashara na nimekuwa nikiifikiria kwa muda sana, so naomba maelezo na ushauri juu ya biashara hii ili iwe taa na mwangaza wa hii biashara.

NB: Biashara hii napenda kuifanya mkoani sio Dsm.

Natanguliza shukrani.
 
Kaka za mitumba au za dukan? Na pia inategemeana na aina ya nguo unazouza ni zip, zipo first, second au third class? Mabeli ya nguo yanapatkana kwenye store za nguo, Kariako, Kisutu na Boma Ilala. Kwa kifupi, mtaji wa milion moja had moja na nusu unatosha kwa kuanza.
 
Kristian habari mzee! Kuanzia tarehe 25 April natarajia mzigo wangu ufike dar from marekani. Nina mabox mawili moja 20x20x20 na jingine ni 24x24x24 yamejaa nguo za watoto, wanawake na kidogo za kiume. Zote ni mpya kabisaaaa. Nataka mtu wa kuzinunua jumla kama unahitaji nistue tafadhani. Na kama kuna yeyote atahitaji tafadhali nijulisheni.
 
Kaka za mitumba au za dukan? Na pia inategemeana na aina ya nguo unazouza ni zip, zipo first, second au third class? Mabeli ya nguo yanapatkana kwenye store za nguo, Kariako, Kisutu na Boma Ilala. Kwa kifupi, mtaji wa milion moja had moja na nusu unatosha kwa kuanza.
Ninapenda zaidi mpya ila nitaangalia mahitaji ya soko at a time,na kama nitafanya ya mtumba basi itakua grade A.nashukuru kwa ushauri, ila nackia huwa wanachakachua sana kama mtusi mzoefu kwenye hayo mabelo, je ni kweli kaka?
 
Kristian habari mzee! Kuanzia tarehe 25 April natarajia mzigo wangu ufike dar from marekani. Nina mabox mawili moja 20x20x20 na jingine ni 24x24x24 yamejaa nguo za watoto, wanawake na kidogo za kiume. Zote ni mpya kabisaaaa. Nataka mtu wa kuzinunua jumla kama unahitaji nistue tafadhani. Na kama kuna yeyote atahitaji tafadhali nijulisheni
Nimekusoma mkuu, vp gharama zake itakua shilingi ngapi?
 
Nakapanya mi naweza kukupa mzigo wa kuanzia kwa bei poa. Nilikuwa na fremu yangu manispaa wakapitisha bomoa bomoa, ni mwezi wa pili sasa nahangaika kupata fremu mjini bila mafanikio, nafikiria kuutoa mzigo wote kwa mnunuzi wa jumla wakati naendelea kujipanga upya. Ukiwa interested ni-PM tuongee zaidi.
 
Kristian habari mzee! Kuanzia tarehe 25 April natarajia mzigo wangu ufike dar from marekani. Nina mabox mawili moja 20x20x20 na jingine ni 24x24x24 yamejaa nguo za watoto, wanawake na kidogo za kiume. Zote ni mpya kabisaaaa. Nataka mtu wa kuzinunua jumla kama unahitaji nistue tafadhani. Na kama kuna yeyote atahitaji tafadhali nijulisheni
asante kwa taarifa nami nataka kufanya hiyo biashara, sasa bei ikoje kwa hiyo mizigo yako nahitaji zaidi nguo za watoto na wanawake.
 
Katika maeneo ninayoishi nimegundua kuwa watu wanavaa nguo sub standard kwa bei kubwa ambazi nyingi zinatoka China .Kuna mama huwa anauza nguo za mitumba nzuri kwa bei robo ya hizi za kichina zinazounguza !ni bahati mbaya huyu mama sijamuona na sijui anaishi wapi .Nataka nifungue duka niuze mitumba ya daraja la juu naomba mwongozo kwa wadau wenye ufahamu/ Katika duka hilo pia ningependa kuuza pia vipodozi je biashara ikoje ,mwenye ufahamu anipe angalau mchanganuao nina mtaji wa M3 Tsh. nIPO DAR!
 
Dar kubwa, jiji lina idadi ya watu mil 5.6 ww uko wapi?
Je, nguo unazotaka kuuza ni za jinsia gani?
Mil 3, mtumba Grade 1 huwezi funga hata bell mmoja.
Toa habari zilizokamilika upate msaada Mkuu.
 
dar kubwa, jiji lina idadi ya watu mil 5.6 ww uko wapi?
Je nguo unazotaka kuuza ni za jinsia gani?
Mil 3, mtumba grade 1 huwezi funga hata bell mmoja.
Toa habari zilizokamilika upate msaada mkuu.

Kamanda unantisha mimi hata belo moja ! Mimi nipo makuburi. Napenda jinsia zote. Nikitaka kununua chache ili nianze kwani tuna ari kubwa!
 
Back
Top Bottom