Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yup China kuna mitumba mpendwa tena sagula sagula...
Ukienda Guangzhou, kuna soko kubwa linaitwa Canan "jianan"...huko kuna mtumba na nguo mpya pia.
BD kila la kheri sana japo kwa miaka hii hiyo biashara ni kubahatisha sana mabelo yenye nguo nzuri.
kama uko bongo nenda pale mwenge saa za alasiri hasa jmosi, chagua wana mitumba mizuri sana hasa za akina dada/mama
ukinunua nguo 100 @200-500/= unaweza kuziuza 1000 hadi 5000/= tena kwa uhakika wa kurudisha pesa mara dufu
iwapo utapitisha maofisini. Ukifanya hiyo niambie nikuelekeza mahali nilipo utauza.
Seems unajua biashara nyingi..Nitakutafuta unipe ilimu ya ujasiriamali.
Zion Daughter tukifanikiwa kukutana tutaongea na ikiwezekana tutafanya mengi pia,
Karibu sana.
Zion Daughter tukifanikiwa kukutana tutaongea na ikiwezekana tutafanya mengi pia,
Karibu sana.
Yup China kuna mitumba mpendwa tena sagula sagula.
Ukienda Guangzhou, kuna soko kubwa linaitwa Canan "jianan"...huko kuna mtumba na nguo mpya pia.
haya maombi mbona yamekuja na mkwara mkuwa hivi kulikoni?
ngoja nitafakari nije na jibu muafaka
My dear naona watu wengi wanaenda Kampala na Nairobi kuchukia first grade......TZ sijui inakuwaje........
Hongera bidada kwa kuwa mjasiriamali make kuna wengine wameamua kuwa wajasiriamwili
Hata mimi nitakuja