Biashara ya Night Club Dar imekufa?

Kuna clubs zipi sasa hivi? Najua moja imefunguliwa hapo Kona bar nasikia ni nzuri sana sijawahi kufika na nimesahau jina lake.
 
Pana laana hapo. Napita saa nne asubuhi kwenda kijiweni kwangu unakuta wanawake waliolewa wamevaa kihasara ndio kwaaanza wanatoka kuvuta sigara hapo nje!
Ndio hapo niliingia, bia bei ya kawaida tu 2500 ila nikaona wahuni na wengine hawaeleweki eleweki hata mavazi mara wengine wakabane roba!

Nikachukua boda inirudishe las carinyo.
Bodaboda wa las carinyo akanikumbuka wakati nashuka akasema bro viph mbona umegeuka hujapaelewa kwa mchina?
Nikasema nimeona wanywaji wengi hatuendani, nimekunywa 2 tu.
 
Nikiwaona tu kwa nje wamepinda wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…