Biashara ya Night Club Dar imekufa?

Hahahahahahahahahahahaha............
Duh!!
Alfajri mkuu unatafuta chimbo la kula bata..!
 

Tatizo kwa mchina mashoga Wengi sana ila ni penyewe ile ile Ukitoka hapo unaenda 1245 Shisha pekee 80,000 ndegeresi.
 
Pana laana hapo. Napita saa nne asubuhi kwenda kijiweni kwangu unakuta wanawake waliolewa wamevaa kihasara ndio kwaaanza wanatoka kuvuta sigara hapo nje!

Hapo kaka hata asubuhi inavyofika huwezi jua ni kwere sana,kama ni jumapili ukitoka nje Unaona Watu wanaenda kanisani, tatizo ni moja mashoga na ule msikiti.
 
Tatizo kwa mchina mashoga Wengi sana ila ni penyewe ile ile Ukitoka hapo unaenda 1245 Shisha pekee 80,000 ndegeresi.
Na ndicho kilichonikimbiza mimi. Yaani kuingia tu mashoga kibao halafu wanachukuliana poa tu na masharobaro wa mule plus wahuni. Sasa mimi hata nilivyovaa nikaona hapa nimepotea njia, nikanywa safari 2 nikatembea.
 

Hapo kwa Mchina ndiyo hamna kitu kabisa nimepita muda huu πŸ˜€
 
Ni shida sana hawataki tucheze mziki.
Walianza kuvunja Bilicanas ya Mbowe.
Waliobakia wote wamepigwa mikodi mpaka wameammua kufunga disco clubs zote.
 
Lascarinyo bila shaka ulikutana na watu ndio wanaondoka... wanaondokaga saa 1 pale asubuhi πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…