Biashara ya pharmacy kwa mtaji wa Tsh. 30m

Thanks 🙏
 
Daktari una wazo zuri la kuanzisha biashara. Kiukweli nina mengi sana ya kukushauri lakini kwa sasa naomba nikushauri moja tu

(1). Kumuoa mwanamke ili aje asimamie biashara yako, sijaelewa. Angalia Tena, fikiria tena hilo daktari

Kila lakheri daktari.
 
🙏
 
Huyu ni mwanamke! Huu ushauri ubandike ukutani!
 
Kuoa kwa ajili ya kunufaika kibiashara sio wazo zuri,
Biashara unaweza ukafanya na ukafanikiwa hakikisha tu upo eneo sahihi la kufanyia biashara yako,
Madawa yana faida nzuri sana naweza kusema hivyo ila running cost nazo ni kubwa
Kila la heri
 
Yani unaoa mke ili umuachie biashara...ndoa na biashara zitakufa mapema sana.
KWa huo Mtaji Tafuta mtu muajiri na itakulipa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…