Biashara ya pharmacy kwa mtaji wa Tsh. 30m

Yani unaoa mke ili umuachie biashara...ndoa na biashara zitakufa mapema sana.
KWa huo Mtaji Tafuta mtu muajiri na itakulipa tu.
Duuh!! ivi nikwel hawa viumbe wamefikia hatua hizo. Coz ukianzisha biashara kama hii ni kwaajili yenu wote wa wili na watoto wenu hapo badae, aje tena kukuibia na kukusaliti, kama ni hivyo hawa viumbe nimaadui sasa nasio wenza tena.
 
Ni mashetani. Mpende mama yako mzazi tu.
 
Kwa hiyo ktk business plan yako moja ya strategy ni kuoa mwanamke pharmacist ili awe both wife and business partner! Safi sana ...Ukihitaji Andiko la wazo lako hili la mradi nipo hapa mkuu, gharama nafuu tu
 
Mkuu niajiri nikuandikie business plan, tutafanya projections na utapata picha nzuri ya swali ulilouliza.

Nichek DM
 
Duuh!! ivi nikwel hawa viumbe wamefikia hatua hizo. Coz ukianzisha biashara kama hii ni kwaajili yenu wote wa wili na watoto wenu hapo badae, aje tena kukuibia na kukusaliti, kama ni hivyo hawa viumbe nimaadui sasa nasio wenza tena.
Mapenzi na kazi havikai pamoja...atachukua hela ya mtaji amtumie Dada yake alafu aje kujichekesha kwako.
 
Usimwache Dogo mbali na wewe ili aweze kuchota madini ya baba yake ingali mapema[emoji2][emoji2][emoji2]

Kuhusu kazi anza na kutafuta kadi ya chama kwanza(kidding)
Kumbe na madini mkuu

Dogo namlea vizuri tumenunua laptop hapa tumepasua tunaifunga tunajifunza ufundi

Week ijayo tutafungua AC tuone inafanyaje kazi huku tunaangalia youtube

Magari ndio tunafundishana kila siku

I just want my kids to be knowledgeable to know the world to understand it
To argue reasonably and taking other people's arguments into consideration

But also to learn about self defence
Darasa la karate linaanza mwakani mwezi wa sita sa hivi mpira kwanza
 
Hahahaha, hujawahi kuniangusha legend.

Ngoja na mimi niishi na haya maono yako
 
Elimu ya pharmacy imewafanya wanawake kua makatili zaidi ya unavoweza kufikiria.

Mkuu,akishakaa dukani, uchumi akaushika, Na Kama alikua bright darasani, upendo kwako ukaisha, au anakupenda Sana (ana wivu sn) anataka kukucontrol atakavyo.

Aisee jiandae kugeuzwa msukule WA familia, na sio tena baba wa familia

Wafamasia wakiwa bright sn Ni zaidi ya waganga wa kienyeji.
 
Mi pia si Mi mwnyw pia sishauri Hilo, labda dokta nae awe anauza ,sio kumwachia mkewe
 
Yaani wewe jamaaa
1. Kwanza ni mwajiriwa
2. Halafu kuambiwa ukweli hutaki
3. Unawaza shule ili upande cheo halafu unawaza biashara

Braza amua moja Are you mfanyakazi au mfanyabiashara halafu TAKE ACTION ACCORDINGLY ...

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Kwahiyo unawaza kuoa ili kupata mfanyakazi wa biashara zako ili wewe mwenyewe uendelee na utumwa wa ajira??

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…