Biashara ya samaki

Biashara ya samaki

Mi huwa nakereka na hawa wafanyabiasha ambao wanasema nauza kitu bei nafuu au bei nzuri halafu hawaweki bei,huu ni ubabaishaji,hatujifunzi kwa wenzetu?!mfano,angalia makampuni yanayofanya biashara mitandaoni wanaweka bei ya bidhaa zao,halafu wewe ukiiona utajipanga kulingana na mfuko wako,bei nzuri kwako kwa mwingini ni mbaya,bei nafuu kwako kwa mwingine ni ghali.Tupia bei mtu aamue mwnyw!
Acha hivyo, ukienda kwa mhindi/mwarabu kaweka bei, sisi hatutaki wala kufikiria kuweka! Na hao gabacholi wanauza kinoma bidhaa zao, ukiingia saloon hakuna bei, waambiiwa baada ya kutazamwa juu chini! Sijuwi lini tutaacha huu ubabaishaji, mzungu anaweka bei kwenye samaki na kila bidhaa anayouza, anajiamini, sisi hatuweki, na anapiga hela ya nguvu mtandaoni..
Nahisi kutokusoma shule ya mambo ya masoko inachangia, hata tuseme vipi hawataelewa..
 
Nauza samaki jumla na rejareja, samaki aina ya sangara na sato natoa mwanza nasambaza mikoani,. Napatikana dar es salaam.. Kwa mawasiliano 0745703651
 
Ndo maana nimeweka namba ndugu sio kirabiashara lazima BEI uweke hadharani..ndo misingi ya biashara yetu iyo BEI zinatofautiana MKOA kwa MKOA
Acha ubishi,,biashara ni Kazi,,mfano. Sato kilo 1 ni 4500 kwa dar ,,Dodoma ni 4000 singida ni 3800,tabora ni 3200,,be specific my friend
 
Acha ubishi,,biashara ni Kazi,,mfano. Sato kilo 1 ni 4500 kwa dar ,,Dodoma ni 4000 singida ni 3800,tabora ni 3200,,be specific my friend
huyu atakuwa dalali hawezi fanya hivi,
Anataka kila mtu apige simu ampige kivyake,
Alafu biashara ya samaki imekuwa ngumu sana kipindi hiki, mambo yote ni dagaa na maharage!
 
Acha ubishi,,biashara ni Kazi,,mfano. Sato kilo 1 ni 4500 kwa dar ,,Dodoma ni 4000 singida ni 3800,tabora ni 3200,,be specific my friend
Ndugu sio kwa soko LA SAS...labada unakumbuka BEI za 1960 ndugu samahn lakin kama jibu langu litakua limekukwaz
 
Kama kichwa kilivyojieleza naitaji msaada wa mawazo,mm ni bint naishi mwanza naitaji kuanza biashara ya kuuza samaki niwe nanuunua wabichi na kuwakaanga then nauza,ivo kwa mwenye uzoefu wa biashara hii anipe mawazo au jins inavyokua
 
Wakuu naomba msaada wenu kimawazo. Mimi nipo Mbeya nimefikiria nimepata wazo la kuagiza samaki Mwanza kwenye mabus ili kuuza Mbeya. Kwa mwenye kujua lolote naomba anisaidie je ni samaki gani nideal nao? na je wanauzwaje hao samaki huko Mwanza? na uzoefu wowote nipewe tafadhar.
 
Naona watu wako kimya, ngoja nijaribu kukukuunga mkono. Ni hivi biashara ya samaki kutoka Mwanza imegawanyika katika makundi tofautitofauti.
1.Kuna wale ambao hununua samaki wabichi na kuwasafirisha huko mikoani kwa ajili ya kuuza Mabuchani. Hawa gharama ya kusafirisha ni kubwa lazima utumie ndege au kama Gari binafsi yenye Deepfreeze. Na pia kama hujui samaki unaweza uziwa ambao utafikisha wakiwa mizoga
2. Kuna wale unanunua na kuwakata vipande vupande na kuvikaanga kisha kuingiza Sokoni. Hawa ni rahisi unaweza langua na ukakaangiwa hukohuko wanakopatikana
3. Kuna wale ambao wanakuwa wamebanikwa/kukaushwa.
Samaki maarufu huko Mwanza ni Sato na Sangara. Sasa ishu ya bei inategemeana na eneo unaloenda kulangua na ukubwa wa samaki unaonunua.

Kama una MTU unayemuamini anayeishi huko Mwanza unaweza fanya nae biashara kwa mafanikio kwani inalipa vizuri sana.
 
Back
Top Bottom