diannajohn
Member
- Nov 13, 2016
- 76
- 8
Mi pia niko mwanza nataka kuanza iyo biashara niko nafanya research
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama unahitaji samaki wapo wa sample zote.Mi pia niko mwanza nataka kuanza iyo biashara niko nafanya research
Sawa mkuu ngoja nifuatilie kuhusu solo. Vip hao Sato ndio wanauzwaje?Hiyo biashara ya samaki inategemeana na soƙo la huƙo mbeya .Huku mwanza itapata mzigo kuliangana na aina ya mzigo unao taƙa .1 wakukaushwa ƙwa moshi maarufu kama vibambala 2 sato wakukaanga 3 sangara wakukaanga.kuhusu usafiri kama utapenda kutumia ɓus ni pm
Kat ya hizo sample ipi ni nzur zaid?kama unahitaji samaki wapo wa sample zote.
mfano wabichi ambao unasafirisha kwa basi ila mpaka wagandishwe kwenye friza n
a wanafungwa pamoja na pumba ambapo unaweza kusafirisha hata kwa siku hadi 3.
kama unahitaji ni inbox ni kuunganishe
Sato nanunua wabichi nawakaanga afu nasafirisha kwenda igungasamaki aina gani?
chukua wa maji chunvi yani wa bahari upeleke mwanza utapiga pesa.mwanza ina muingiliano mkubwa sana wa makabilaKama kichwa kilivyojieleza naitaji msaada wa mawazo,mm ni bint naishi mwanza naitaji kuanza biashara ya kuuza samaki niwe nanuunua wabichi na kuwakaanga then nauza,ivo kwa mwenye uzoefu wa biashara hii anipe mawazo au jins inavyokua
Hii ni biashara ngumu kupindukia na risk ni kubwa sanaHamna muongozo wowote wa hii biashara wakuu?
Mm nlingiaga kichwakichwa nkapoteza hela ila nlingia kwenye uvuvi wa kuvua mongol bahari nlikula za uso Sina hamuHii ni biashara ngumu kupindukia na risk ni kubwa sana
management yake ni ngumu sana,uwezekano wa kupoteza ni mkubwaMm nlingiaga kichwakichwa nkapoteza hela ila nlingia kwenye uvuvi wa kuvua mongol bahari nlikula za uso Sina hamu
Ova
Nlipoteza Big time maana wakati mwingi Nlikuwa nakwenda na madivers bahari 1) upatikanaji ulikuwa mgumu 2)jongoo bahari walikuwa hawana vibali,ila soko lake lilikuwa kubwa mno,management yake ni ngumu sana,uwezekano wa kupoteza ni mkubwa
Mkuu kila biashara ni ngumu na ni rahisi kwa upande mwingine! Ni maamuzi binafsi tu! Personally nawafahamu watu wanaofanya hii biashara na wanafanya vizuri sana!Hii ni biashara ngumu kupindukia na risk ni kubwa sana
Sijasema totally haiwezekani,nilichosema ni kwamba ni biashara ngumu sana Ku manage na risk ni kubwa.Uzoefu wangu hasa kwa uvuvi wa ziwa Victoria ni kwamba watu wanaofanya vizuri ni watu wachache wenye mitaji mikubwa na maarifa ya kutosha.90% wanafanya for the sake of survival.Mkuu kila biashara ni ngumu na ni rahisi kwa upande mwingine! Ni maamuzi binafsi tu! Personally nawafahamu watu wanaofanya hii biashara na wanafanya vizuri sana!
Kitu kikubwa ni kuwa unahitaji kuwa na uelewa wa kutosha. Elimu ya hapa jf pekee haitoshi,you need some field experience. It matters the most.
Mazingira yapo kàtika hali nzuri tu,mkusanyiko upo wa kutoshaSoma mazingira ya biashara kwanza