Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Assessment kabla ya kuanza biashara pia umefanya?? kama umejiridhisha na ukashauriana na watu ukaona kila kitu kipo Okay..it is fine..kila la heri mkuuMazingira yapo kàtika hali nzuri tu,mkusanyiko upo wa kutosha
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Kunajamaa juzi alikuja ofisi za tra kwaajili ya kujipatia makadirio ya kodi kuhusiana na biashara yako hii alitoka akiwa ameloa jasho hebu nawewe kajaribu maana huyu aliondoka akidai anaenda kuuza freezer zote
duh...Kunajamaa juzi alikuja ofisi za tra kwaajili ya kujipatia makadirio ya kodi kuhusiana na biashara yako hii alitoka akiwa ameloa jasho hebu nawewe kajaribu maana huyu aliondoka akidai anaenda kuuza freezer zote
Hapo ndo Tra wanapo-boa... Ng'ombe wa maziwa wao wanamnyonga kabisaa!Kunajamaa juzi alikuja ofisi za tra kwaajili ya kujipatia makadirio ya kodi kuhusiana na biashara yako hii alitoka akiwa ameloa jasho hebu nawewe kajaribu maana huyu aliondoka akidai anaenda kuuza freezer zote
Toa maelezo tafadhalusithubutu,utalizwa hiyo biashara mwanza ishakuwa kama biashaara ya cocaine,usumbufu kila kona
usithubutu,utalizwa hiyo biashara mwanza ishakuwa kama biashaara ya cocaine,usumbufu kila kona
Na sangara bei gani?Njoo Chato nikuuzie kwa Tsh 6000 kwa kilo
una ndugu wanafanya ,waulize,narudia tena usiwekeze hela ziwa victoria,ni hatariki vipi mkuu ..maelezo yako hayajakaa poa ..afu wengine tunadungu zetu wanafanya hii kazi sijawahi kusikia kitu kama hicho