Biashara ya samaki

Biashara ya samaki

Huku tunanunua kilo moja elfu ishirini na bado kuwapata ni shughuli jambo moja tu ukiweza kuwa unawafikisha huku wewe ni tajiri siku chache zijazo kila la kheri mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za mda huu naomba kufahamisha kuhusu hii biashara ya SAMAKI hasa SANGARA kutoka mwanza.

Natamani kujuwa bei ya jumla kwa Mwanza wanauzaje na cost ya usafirishaji

Pia natamani kujuwa kwa hapa Dar kwa jumla wanauzaje?

Nimevutiwa na biashara ya bucha la SAMAKI hasa SAMAKI aina ya SANGARA kutoka Mwanza.

Asanteni.
 
Dar hakuna sangara kutoka Mwanza
Hawa wa kufuga tu Dar au mikoa ya jirani.
Sangara wa Mwanza ukileta Dar huwezi uza kilo 5000
 
Mara nyingi wanauzwa 4000 Kwa kilo wakiwa Mwanza wakifika Dar inakua 4500. Kwa kilo hapo usafiri ni 500
 
Back
Top Bottom