CHRISSIE255
JF-Expert Member
- Jan 21, 2020
- 221
- 180
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi huko?Huku tunanunua kilo moja elfu ishirini na bado kuwapata ni shughuli jambo moja tu ukiweza kuwa unawafikisha huku wewe ni tajiri siku chache zijazo kila la kheri mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku tunanunua kilo moja elfu ishirini na bado kuwapata ni shughuli jambo moja tu ukiweza kuwa unawafikisha huku wewe ni tajiri siku chache zijazo kila la kheri mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko ni wapi,kuzimu auHuku tunanunua kilo moja elfu ishirini na bado kuwapata ni shughuli jambo moja tu ukiweza kuwa unawafikisha huku wewe ni tajiri siku chache zijazo kila la kheri mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku tunanunua kilo moja elfu ishirini na bado kuwapata ni shughuli jambo moja tu ukiweza kuwa unawafikisha huku wewe ni tajiri siku chache zijazo kila la kheri mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara zote ukitaka kufanya biashara yoyote research ya mwanzo ni wewe mwenyewe unatakiwa kuifanya. Hapa unakuja kuulizia mambo ya kujazia tu.Nataka kuanzisha biashara ya samaki kwa kuchukua mzigo kutoka mwanza nakusambaza mikoani ila naitaji kujua ziadi kuhusi vibari na ushuru pia na nimikoa gani ina uhitaji sana wa samaki. Pia samaki nitakao kuwa nasambaza ni SATO na SANGARAView attachment 1399842View attachment 1399843
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara zote ukitaka kufanya biashara yoyote research ya mwanzo ni wewe mwenyewe unatakiwa kuifanya. Hapa unakuja kuulizia mambo ya kujazia tu.
👊👊👊👊Mara zote ukitaka kufanya biashara yoyote research ya mwanzo ni wewe mwenyewe unatakiwa kuifanya. Hapa unakuja kuulizia mambo ya kujazia tu.
Kutegemea na uhitaji kama ni tani1 basi ntaleta tani 1 kila week kama ni tani 2 basi nitaleta tani 2 kulingana na uhitaji na bei yenye maslai pia ata kama kg300 or 500 nisawa ntaleta kikubwa maslai
Ukishamaliza process za vibali nijuzeKutegemea na uhitaji kama ni tani1 basi ntaleta tani 1 kila week kama ni tani 2 basi nitaleta tani 2 kulingana na uhitaji na bei yenye maslai pia ata kama kg300 or 500 nisawa ntaleta kikubwa maslai
Sent using Jamii Forums mobile app
heshima yako mkuu. pale kimara mnada unafanyika sehemu gani?Nadhani pia Kuna mnada wa samaki alfajiri pale River side, na huko Kimara