Biashara ya samaki

Biashara ya samaki

Dar hakuna sangara kutoka mwanza
Hawa wa kufuga tu Dar au mikoa ya jirani.
Sangara wa mwanza ukileta Dar huwezi uza kilo 5000
Wanauzwa 5500 mzee labda kama wale sangara ni wa mbagalaa...!!!
 
Hiyo biashara bei zake huwa zinabadilika kulingana na upatikanaji wakat wa kuvua,lazima uyajue maduka ya wahindi wanaogandisha samaki ndo ununue kwao,mie nafanya biashara hiyo nicheck 0768752056
 
Habari za mda huu naomba kufahamisha kuhusu hii biashara ya SAMAKI hasa SANGARA kutoka mwanza.

Natamani kujuwa bei ya jumla kwa Mwanza wanauzaje na cost ya usafirishaji

Pia natamani kujuwa kwa hapa Dar kwa jumla wanauzaje?

Nimevutiwa na biashara ya bucha la SAMAKI hasa SAMAKI aina ya SANGARA kutoka Mwanza.

Asanteni.
Kipindii nafanya biashara ya samakii mkoanii nilikuwa na nunua sangara kilo kwa 3000 hadi 3500 mimi nauza jumla 5000 hadii 5500.

Satoo ilikuwa ni elfu 6000 jumla supermarket napeleka kwa 8500 hii ilikuwa bahatii ila kiloo nilikuwa nauza hadii 9000.

Ila kwa saizi sijuii maana ni miaka kama 3 au niseme 4 imepitaa mpaka sasa. Japo jamaa huwa ananipigia kuniulza kama nataka kuanzaa .

Na usafirii kwa kilo 100 ilikuwa haizidii 21000 hadi 18000 kiloo zaidi ya 100 ni kuanzia 34000 hivi na zaidiii.
 
Mkuu naomba tutafutane tafadhali ,ni check inbox au SMS me kwa 0752678881
 
Kipindii nafanya biashara ya samakii mkoanii nilikuwa na nunua sangara kilo kwa 3000 hadi 3500 mimi nauza jumla 5000 hadii 5500.

Satoo ilikuwa ni elfu 6000 jumla supermarket napeleka kwa 8500 hii ilikuwa bahatii ila kiloo nilikuwa nauza hadii 9000.

Ila kwa saizi sijuii maana ni miaka kama 3 au niseme 4 imepitaa mpaka sasa. Japo jamaa huwa ananipigia kuniulza kama nataka kuanzaa .

Na usafirii kwa kilo 100 ilikuwa haizidii 21000 hadi 18000 kiloo zaidi ya 100 ni kuanzia 34000 hivi na zaidiii.
Huwa wanasafirishwa na usafiri gani kutoka huko mwanza? Huku buchani sangara rejareja tunauziwa 7,000 kilo.
Sato kilo 9,000.

Kuna mtu pia aliniambia wanachukua kwa jumla sikumbuki vizuri kama Ubungo Riverside au mabibo hostel(ila maeneo hayohayo) na gongolamboto kwa sangara 5500 na 7,000 sato.
 
Huwa wanasafirishwa na usafiri gani kutoka huko mwanza? Huku buchani sangara rejareja tunauziwa 7,000 kilo.
Sato kilo 9,000.

Kuna mtu pia aliniambia wanachukua kwa jumla sikumbuki vizuri kama ubungo Riverside au mabibo hostel(ila maeneo hayohayo) na gongolamboto kwa sangara 5500 na 7,000 sato.
Garii aina,mbiliii kuna fuso ambayoo inaondokaa ijumaa jioniii inafikaa huku jumamosi jionii au jumapilii mchana inategemea wame lala wapiiii .

Na kuna fusoo kama fusoo na garii ya kawaida ya freezer.

Sent using mt4 app
 
  • Thanks
Reactions: amu
Garii aina,mbiliii kuna fuso ambayoo inaondokaa ijumaa jioniii inafikaa huku jumamosi jionii au jumapilii mchana inategemea wame lala wapiiii .

Na kuna fusoo kama fusoo na garii ya kawaida ya freezer.

Sent using mt4 app
Sasa fuso kutoka Mwanza Dar bila refrigerated body samaki haziharibiki?
 
Sasa fuso kutoka Mwanza dar bila refrigerated body samaki haziharibiki?
Hapana hazi haribikii mwishoo ni siku 3 au 4.

Anae kutumia lazima agandisheee yani samakii inakuwa jiweee kabisaa huwa wana weka kwenye frizer zile zenye nguvuuu.

Na wakifunga kuna style moja ya boksii inakuwa baridi haitokii njee hata kidogoo.

Hapoo nahisii umenielewaaa.

Ili mradi agandishe vizurii tu basii

Sent using mt4 app
 
Kipindii nafanya biashara ya samakii mkoanii nilikuwa na nunua sangara kilo kwa 3000 hadi 3500 mimi nauza jumla 5000 hadii 5500.

Satoo ilikuwa ni elfu 6000 jumla supermarket napeleka kwa 8500 hii ilikuwa bahatii ila kiloo nilikuwa nauza hadii 9000.

Ila kwa saizi sijuii maana ni miaka kama 3 au niseme 4 imepitaa mpaka sasa. Japo jamaa huwa ananipigia kuniulza kama nataka kuanzaa .

Na usafirii kwa kilo 100 ilikuwa haizidii 21000 hadi 18000 kiloo zaidi ya 100 ni kuanzia 34000 hivi na zaidiii.
Mkuu naomba uniconnect na wauzaji wa jumla kutokea mwanza no zangu ni 0758065919
 
Kipindii nafanya biashara ya samakii mkoanii nilikuwa na nunua sangara kilo kwa 3000 hadi 3500 mimi nauza jumla 5000 hadii 5500.

Satoo ilikuwa ni elfu 6000 jumla supermarket napeleka kwa 8500 hii ilikuwa bahatii ila kiloo nilikuwa nauza hadii 9000.

Ila kwa saizi sijuii maana ni miaka kama 3 au niseme 4 imepitaa mpaka sasa. Japo jamaa huwa ananipigia kuniulza kama nataka kuanzaa .

Na usafirii kwa kilo 100 ilikuwa haizidii 21000 hadi 18000 kiloo zaidi ya 100 ni kuanzia 34000 hivi na zaidiii.
Habari yako mkuu

Pole kwa miangaiko ya siku

Nimeona kuwa wewe ni expert mzuri sana wa hii biashara.

Nami toka mwaka jana nmependenzwa na kufanya biashara hii. Changamoto ambayo niliona itakuja weza nikwamisha ni soko. Na nilipata tu kuambiwa kuwa ni riverside na mabibo kuwa ndio mahali mzigo uwa offloaded bahati mbaya huko cjawahi fika.

Kama hautojali naomba unipatie mawasiliano yako, iliniweze kukutafta na unisaide taarifa muhimu katka hii biashara.

Sorry nmejaribu kukucheck Pm , nmetaarifiwa kuwa siwez kukutumia ujumbe kupitia huko.
 
USHAURI WA SOKO LA UHAKIKA

Kwenye swala la soko sio kitu cha kukosea uzurii wa samakii ni kwamba lazika utafute connection sio hotelini wala mama ntiliee wale wanao pikaa hasaa hivi vimigahawa.

Na samaki piga ua, ukitaka ikukate kaa nayo mda mrefu kwenye frijii; lazima kilo zipungue, ndo ujinga wake sasa. Kama zikiwa zina ganda sana, inabidi mda mwingine una zima na freezer.

Na uzuri ukiwa una fahamika kuwa, una, uza samakii niaminii mimi wateja hukosi angalau uwe na uwezo wa, ku-push kilo kumi hadii 20 kwa siku na kamwe usi wadharau wateja wa jumla.

Ukibahatisha hoteli kama 3 hivi basii wewe hapo safii na usije ukajilogaa ukaanza na samaki kubwa za kilo 10 mmoja, hapana.

Sema saizi nimechoka keshoo nitakujibu ipasavyo.

Ila kuhusu usafiri sioo kazii, hata kidogo

Sent using mt4 app
 
Dar hakuna sangara kutoka mwanza
Hawa wa kufuga tu Dar au mikoa ya jirani.
Sangara wa mwanza ukileta Dar huwezi uza kilo 5000
wapo sangara kibao tu kutoka mwanza,, binafsi nimewahi fanya hiyo biashara
 
Kipindii nafanya biashara ya samakii mkoanii nilikuwa na nunua sangara kilo kwa 3000 hadi 3500 mimi nauza jumla 5000 hadii 5500.

Satoo ilikuwa ni elfu 6000 jumla supermarket napeleka kwa 8500 hii ilikuwa bahatii ila kiloo nilikuwa nauza hadii 9000.

Ila kwa saizi sijuii maana ni miaka kama 3 au niseme 4 imepitaa mpaka sasa. Japo jamaa huwa ananipigia kuniulza kama nataka kuanzaa .

Na usafirii kwa kilo 100 ilikuwa haizidii 21000 hadi 18000 kiloo zaidi ya 100 ni kuanzia 34000 hivi na zaidiii.
Boss,inaonekana Una ujuzi Kwa hii biashara,Niko interested Sana Ila ishu ni kwamba walio wengi wanaoifanya ukiwadadisi wanakudanganya wanakupa habari zinazokuchanganya ilimradi uione biashara ngumu uiache.

Tusaidie mawazo,binafsi Niko Mwanza na natamani kupeleka samaki au dagaa dar. 0764789563 please naomba maelekezo
 
Boss,inaonekana Una ujuzi Kwa hii biashara,Niko interested Sana Ila ishu ni kwamba walio wengi wanaoifanya ukiwadadisi wanakudanganya wanakupa habari zinazokuchanganya ilimradi uione biashara ngumu uiache. Tusaidie mawazo,binafsi Niko Mwanza na natamani kupeleka samaki au dagaa dar. 0764789563 please naomba maelekezo
Kwa haraka haraka dagaa,naona,itakuwa nzurii sana kwakoo. Maana kipindi cha giza wanakuwaga adimu ila wakipatikana ni furaha sema ni vizurii mkiwa wawili mmoja dar mmoja mwanza.

Biashara sioo ngumu ila eneo ndo linakuwa shida kwaoo.
 
Kwa mnaoona hii post,kama kuna mzoefu wa masoko ya dagaa Safi dar, na kama kuna mwenye soko la dagaa ya mifugo tuongee inbox
 
Back
Top Bottom