kibonge90
Member
- Sep 6, 2015
- 53
- 41
Asante sanaMara nyingi wanauzwa 4000 Kwa kilo wakiwa Mwanza wakifika Dar inakua 4500. Kwa kilo hapo usafiri ni 500
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sanaMara nyingi wanauzwa 4000 Kwa kilo wakiwa Mwanza wakifika Dar inakua 4500. Kwa kilo hapo usafiri ni 500
Wanauzwa 5500 mzee labda kama wale sangara ni wa mbagalaa...!!!Dar hakuna sangara kutoka mwanza
Hawa wa kufuga tu Dar au mikoa ya jirani.
Sangara wa mwanza ukileta Dar huwezi uza kilo 5000
Kipindii nafanya biashara ya samakii mkoanii nilikuwa na nunua sangara kilo kwa 3000 hadi 3500 mimi nauza jumla 5000 hadii 5500.Habari za mda huu naomba kufahamisha kuhusu hii biashara ya SAMAKI hasa SANGARA kutoka mwanza.
Natamani kujuwa bei ya jumla kwa Mwanza wanauzaje na cost ya usafirishaji
Pia natamani kujuwa kwa hapa Dar kwa jumla wanauzaje?
Nimevutiwa na biashara ya bucha la SAMAKI hasa SAMAKI aina ya SANGARA kutoka Mwanza.
Asanteni.
Mkuu naomba tutafutane tafadhali ,ni check inbox au SMS me kwa 0752678881Kipindii nafanya biashara ya samakii mkoanii nilikuwa na nunua sangara kilo kwa 3000 hadi 3500 mimi nauza jumla 5000 hadii 5500.
Satoo ilikuwa ni elfu 6000 jumla supermarket napeleka kwa 8500 hii ilikuwa bahatii ila kiloo nilikuwa nauza hadii 9000.
Ila kwa saizi sijuii maana ni miaka kama 3 au niseme 4 imepitaa mpaka sasa. Japo jamaa huwa ananipigia kuniulza kama nataka kuanzaa .
Na usafirii kwa kilo 100 ilikuwa haizidii 21000 hadi 18000 kiloo zaidi ya 100 ni kuanzia 34000 hivi na zaidiii.
Huwa wanasafirishwa na usafiri gani kutoka huko mwanza? Huku buchani sangara rejareja tunauziwa 7,000 kilo.Kipindii nafanya biashara ya samakii mkoanii nilikuwa na nunua sangara kilo kwa 3000 hadi 3500 mimi nauza jumla 5000 hadii 5500.
Satoo ilikuwa ni elfu 6000 jumla supermarket napeleka kwa 8500 hii ilikuwa bahatii ila kiloo nilikuwa nauza hadii 9000.
Ila kwa saizi sijuii maana ni miaka kama 3 au niseme 4 imepitaa mpaka sasa. Japo jamaa huwa ananipigia kuniulza kama nataka kuanzaa .
Na usafirii kwa kilo 100 ilikuwa haizidii 21000 hadi 18000 kiloo zaidi ya 100 ni kuanzia 34000 hivi na zaidiii.
Garii aina,mbiliii kuna fuso ambayoo inaondokaa ijumaa jioniii inafikaa huku jumamosi jionii au jumapilii mchana inategemea wame lala wapiiii .Huwa wanasafirishwa na usafiri gani kutoka huko mwanza? Huku buchani sangara rejareja tunauziwa 7,000 kilo.
Sato kilo 9,000.
Kuna mtu pia aliniambia wanachukua kwa jumla sikumbuki vizuri kama ubungo Riverside au mabibo hostel(ila maeneo hayohayo) na gongolamboto kwa sangara 5500 na 7,000 sato.
Sasa fuso kutoka Mwanza Dar bila refrigerated body samaki haziharibiki?Garii aina,mbiliii kuna fuso ambayoo inaondokaa ijumaa jioniii inafikaa huku jumamosi jionii au jumapilii mchana inategemea wame lala wapiiii .
Na kuna fusoo kama fusoo na garii ya kawaida ya freezer.
Sent using mt4 app
Hapana hazi haribikii mwishoo ni siku 3 au 4.Sasa fuso kutoka Mwanza dar bila refrigerated body samaki haziharibiki?
Mkuu naomba uniconnect na wauzaji wa jumla kutokea mwanza no zangu ni 0758065919Kipindii nafanya biashara ya samakii mkoanii nilikuwa na nunua sangara kilo kwa 3000 hadi 3500 mimi nauza jumla 5000 hadii 5500.
Satoo ilikuwa ni elfu 6000 jumla supermarket napeleka kwa 8500 hii ilikuwa bahatii ila kiloo nilikuwa nauza hadii 9000.
Ila kwa saizi sijuii maana ni miaka kama 3 au niseme 4 imepitaa mpaka sasa. Japo jamaa huwa ananipigia kuniulza kama nataka kuanzaa .
Na usafirii kwa kilo 100 ilikuwa haizidii 21000 hadi 18000 kiloo zaidi ya 100 ni kuanzia 34000 hivi na zaidiii.
Habari yako mkuuKipindii nafanya biashara ya samakii mkoanii nilikuwa na nunua sangara kilo kwa 3000 hadi 3500 mimi nauza jumla 5000 hadii 5500.
Satoo ilikuwa ni elfu 6000 jumla supermarket napeleka kwa 8500 hii ilikuwa bahatii ila kiloo nilikuwa nauza hadii 9000.
Ila kwa saizi sijuii maana ni miaka kama 3 au niseme 4 imepitaa mpaka sasa. Japo jamaa huwa ananipigia kuniulza kama nataka kuanzaa .
Na usafirii kwa kilo 100 ilikuwa haizidii 21000 hadi 18000 kiloo zaidi ya 100 ni kuanzia 34000 hivi na zaidiii.
Habari yako mkuu
Pole kwa miangaiko ya siku
Nimeona kuwa wewe ni expert mzuri sana wa hii biashara.
Nami toka mwaka jana nmependenzwa na kufanya biashara hii. Changamoto ambayo niliona itakuja weza nikwamisha ni soko. Na nilipata tu kuambiwa kuwa ni riverside na mabibo kuwa ndio mahali mzigo uwa offloaded bahati mbaya huko cjawahi fika.
Kama hautojali naomba unipatie mawasiliano yako, iliniweze kukutafta na unisaide taarifa muhimu katka hii biashara.
Sorry nmejaribu kukucheck Pm , nmetaarifiwa kuwa siwez kukutumia ujumbe kupitia huko.
wapo sangara kibao tu kutoka mwanza,, binafsi nimewahi fanya hiyo biasharaDar hakuna sangara kutoka mwanza
Hawa wa kufuga tu Dar au mikoa ya jirani.
Sangara wa mwanza ukileta Dar huwezi uza kilo 5000
Boss,inaonekana Una ujuzi Kwa hii biashara,Niko interested Sana Ila ishu ni kwamba walio wengi wanaoifanya ukiwadadisi wanakudanganya wanakupa habari zinazokuchanganya ilimradi uione biashara ngumu uiache.Kipindii nafanya biashara ya samakii mkoanii nilikuwa na nunua sangara kilo kwa 3000 hadi 3500 mimi nauza jumla 5000 hadii 5500.
Satoo ilikuwa ni elfu 6000 jumla supermarket napeleka kwa 8500 hii ilikuwa bahatii ila kiloo nilikuwa nauza hadii 9000.
Ila kwa saizi sijuii maana ni miaka kama 3 au niseme 4 imepitaa mpaka sasa. Japo jamaa huwa ananipigia kuniulza kama nataka kuanzaa .
Na usafirii kwa kilo 100 ilikuwa haizidii 21000 hadi 18000 kiloo zaidi ya 100 ni kuanzia 34000 hivi na zaidiii.
Mshikaji tutafutane niko Mwanza pia kama uko serious 0764789563Mkuu naomba uniconnect na wauzaji wa jumla kutokea mwanza no zangu ni 0758065919
Nilikuwa nauzia Moshi Kilimanjaroo na Arusha.Ulikua unapeleka mkoa gan
Kwa haraka haraka dagaa,naona,itakuwa nzurii sana kwakoo. Maana kipindi cha giza wanakuwaga adimu ila wakipatikana ni furaha sema ni vizurii mkiwa wawili mmoja dar mmoja mwanza.Boss,inaonekana Una ujuzi Kwa hii biashara,Niko interested Sana Ila ishu ni kwamba walio wengi wanaoifanya ukiwadadisi wanakudanganya wanakupa habari zinazokuchanganya ilimradi uione biashara ngumu uiache. Tusaidie mawazo,binafsi Niko Mwanza na natamani kupeleka samaki au dagaa dar. 0764789563 please naomba maelekezo
Kwa mnaoona hii post,kama kuna mzoefu wa masoko ya dagaa Safi dar, na kama kuna mwenye soko la dagaa ya mifugo tuongee inboxKwa haraka haraka dagaa,naona,itakuwa nzurii sana kwakoo. Maana kipindi cha giza wanakuwaga adimu ila wakipatikana ni furaha sema ni vizurii mkiwa wawili mmoja dar mmoja mwanza.
Biashara sioo ngumu ila eneo ndo linakuwa shida kwaoo.
Sent using mt4 app
Bado unauza samaki?Ukihitaji dagaa wa kukaangwa wa mwanza pamoja na samaki karibu UKARA FISH GROUP 0759292980View attachment 540477View attachment 540478View attachment 540479
Sent from my H7 using JamiiForums mobile app
Mpigie simu mkuu.Bado unauza samaki?