steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,175
- 1,588
- Thread starter
- #21
Ukisoma vizuri tangazo unaelewa ukitaka dukani zipo za jumla zina bei yake na ukitaka bei ya kiwandani pia zipo ndiyo unatoa pesa tunakuagizia simu moja 17000 mpaka kukufikiaKama hauna pesa jitangaze kabisa wewe ni dalali na utapata bei gani kama kamishen mtu akiagiza mzigo