steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,175
- 1,588
- Thread starter
-
- #21
Ukisoma vizuri tangazo unaelewa ukitaka dukani zipo za jumla zina bei yake na ukitaka bei ya kiwandani pia zipo ndiyo unatoa pesa tunakuagizia simu moja 17000 mpaka kukufikiaKama hauna pesa jitangaze kabisa wewe ni dalali na utapata bei gani kama kamishen mtu akiagiza mzigo
Hajui chochote kuhusu Samsung s20,,Naomba kujua bei ya kiwandani kwa samsung s20.
Nipe muda nifanye mawasiliano ntakup mrejeshoNaomba kujua bei ya kiwandani kwa samsung s20.
Sawa mwanasheria wanguHajui chochote kuhusu Samsung s20,,
Acha utapeli
Mimi pia nimemshangaa naamini ni roho tu mbayaAmekutapeli nini wabongo mbona mnapenda ku criticize Kila kitu...? Weka wadhi alicho kutapeli nje ya hapo huo ni ujuha...mtu hujafanya nae kazi utamwitaje TAPELI...?
. Ufanye mawasiliano wapi na wewe ndiye muuzaji.?Nipe muda nifanye mawasiliano ntakup mrejesho
Kasema anahitaji kwa bei ya kiwandani lazma niwasiliane na supplier ambar yupo china anipe majibu. Ufanye mawasiliano wapi na wewe ndiye muuzaji.?
Wazee wa O KING. ilishawahi kuniulia mgonjwa hii simuWasukuma wanataka simu za sauti kubwa washindanishe muziki WA ngw'ana kang'wa na gude gude.
Namaanisha sauti kubwa kabisa.