MKUBHI,
Biasharahii ni nzuri kama uko eneo lililozungukwa hasa na taasisi za elimu hasa vyuo vya elimu ya juu au ualimu/
Biashara hii watuwengi wamekimbilia huko lakini usikate tamaa,Uwe na mtaji usiopungua milioni 3.5.
MCHANGANUO.
1.PHOTOCOPY=Tafuta photocopy aina ya canon ir2020 ni vema ukapata used iliyokwenye condition nzuri na iwe imetoka nje mojakwamoja isiwe imetumika hapa.pia angalia imetoa copy ngapi kwani photocopy kumbukumbu ya idadi ya copy iliyotoa toka ilipoanza kutoa copy ya kwanza.
Na pia aina hii itakufaa kwakuwa inaweza kuitumia kama printer pia ukiunganisha kwenye computer.
Gharama yake kuanzia 1.8m.
2.PRINTER=Hapa uutaitaji ya colour ambayo unaweza kujaza wino inamitungi yake modogo ya kujaza wino iko nje ,
Tafuta epson l1300 gharama yake kuanzia laki 5.5
3.MAMBO MENGINE=Haya ni ya kawaida ni kununua books na vifaa vingiine vya stationary anza taratibu usijaze mzigo mkubwa nunua items kwa kiwango kidogo kwanza.
MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU IBARIKI AFRICA
PATRICE LUMUMBA