Biashara ya Uchawi Tanzania


Bravo Majimoto waambie bana mimi nikisema the power hand is changed hawaamini. Wanadhani ni mastermind fulani ndo anatengeneza anguko la mafisadi na utawala wao uliojifungamanisha na kuzimu. Hakuna atakaye salia then they would come to understand what it means by the mighty hand of God; Jesus and the mighty power of God; The Hollyghost. Tuko hapa Kings katika newly established Kingdom tumeamua kusimama kwa zamu zetu hadi tuhakikishe kila kona ya Tanzania iko huru na anga lote liko wazi dhidi ya marine waters and powers and prinicipalities. Yupo mnajimu wao mmoja atakuwa anaona maruwe ruwe maana nimesha toboa mboni za macho yake kiasi kuwa katika TV yake antena haikamati tena anaona chenga chenga station zote nimeng'oa minara. Sasa wako confused na soon wataanza kunyanyua silaha na kuuana wao kwa wao. Hakuna damu ya innocent mtanzania itamwagika ole wao na watoto wao maana wakikosa damu inabidi watoe kafara uzao wa matumbo yao! Glory and honour to our God almighty for without you nothing is possible. Let your name increase and mine decrease continue to use me Lord for your own Glory. In Jesus name I thank you Amen!
 
Wanakimbilia hati ya kifo inayouzwa kwa gharama ya shilingi mia tano.
Ooh Mungu wangu, sasa Majimoto, hii hati ya kifo lini inatekelezwa, au lini watu wanaanza kufa, maana hadi naogopa, kila kaya kutakuwa na vifo si chini ya vitatu
 
mjm kutokana na haya unayoelezea, ina maana babu aaelewa hicho ambacho kinafanyikka, ama ndiyo naye amefanyiwa ile high Tech science kutoka ulimwengu ule.
 
mjm kutokana na haya unayoelezea, ina maana babu aaelewa hicho ambacho kinafanyikka, ama ndiyo naye amefanyiwa ile high Tech science kutoka ulimwengu ule.

Ni wakala wa kuzimu, anajua anachofanya, usiku wa manane huletewa dawa kutoka kuzimu anazochanganya na mizizi kwa kunywesha watu siku inayofuata.
 
Ni wakala wa kuzimu, anajua anachofanya, usiku wa manane huletewa dawa kutoka kuzimu anazochanganya na mizizi kwa kunywesha watu siku inayofuata.

Maji moto, what should I do then if I have already taken the Cup. Should I just seat and wait for my Death?
 
Du Majimoto, wewe mwenyewe una exist ktk ulimwengu usionekana? nikiwa na maana hata malaika na viumbe vyenye nia nzuri na binadamu wa kawaida mkuu.
 


Mbona babu wa loliondo anatamka kuwa ametumwa nae?
 
Kazi ipo wana wa nchi!
Nina ndugu kadhaa wamekwenda kwa ''babu'' am not sure what will hapen to them.
'PLEASE LORD DO SOMETHING FOR US'
 
Ni wakala wa kuzimu, anajua anachofanya, usiku wa manane huletewa dawa kutoka kuzimu anazochanganya na mizizi kwa kunywesha watu siku inayofuata.

kwanza welcome back, nilikuwa nakusubiri kwa hamu sana.
Duuh!! Majimoto..nimeshaogopa..sasa yule mjomba na shangazi yangu wote watakufa!!!loh!!maskini

Mimi sielewi kitu majimoto hebu fafanua we hizi data unatoa wapi?
unaongea na hao wa kuzimu au inakuwaje???
 
kwenye tafiti zako hujatueleza upande wa vyama vya siasa ni chama kipi kinaoongoza kaw kununua uchawi?
 
:alien: maji moto, Acha kutisha wenzako,watu wamepata kikombe leo ni zaidi ya mwezi na hamna dalili mbaya.
hicho usemacho ni sawa na muhubiri wa dini anaoposema dhambi ni mauti,and utakufa ktk dhambi
kikombe cha babu kimewapa watu wengi unafuu mkubwa sana wa maisha yao ya day to day,so kama kufa kila mtu atakufa kwa wakati wake.
please endelea kutupa tamthilia za wachawi ,ndo zinamvuto kwa watu wengi ktk hii thread
 
Vyuo kabisa vya uchawi vipo Tanzania? Sijawahi kusikia
 
Ni wakala wa kuzimu, anajua anachofanya, usiku wa manane huletewa dawa kutoka kuzimu anazochanganya na mizizi kwa kunywesha watu siku inayofuata.

Are you sure? Au unaongea tu?
 
Ooh Mungu wangu, sasa Majimoto, hii hati ya kifo lini inatekelezwa, au lini watu wanaanza kufa, maana hadi naogopa, kila kaya kutakuwa na vifo si chini ya vitatu

Wewe kwa nini muongo hivyo? Vifo zaidi ya vitatu kila kaya? Majimoto anakudanganya
 

Acha kuogopesha watu we majimoto.
 

Acha kuogopesha watu we majimoto.
 
Wandugu hii ni hatari sasa. Kwa kweli mlipuko wa vikombe unatisha kwa sasa nchini Tanzania. Huko Tabora ameibuka yule dada na kusema ameoteshwa na bikra Maria. That is completely the devil kwa maana bikra Maria hana sehemu yeyote katika utendaji wa mambo ya Ki-MUNGU. Mambo ya Ki-Mungu yanafanywa na MUNGU mwenyewe (i.e The Father, The Son and the Holy Spirit) na mawakala wa kufikisha ujumbe kwa wanadamu ni Malaika. Kama YESU mwenyewe ameamua kumtokea mtu moja kwa moja hufanya hivyo na si bikra Maria ambaye ni binadamu kama mimi na wewe. Huko Morogoro ametokea dada mmoja wa Kijahidina na kikombe chake, huyu ana ufunuo wa majini ambao ni mashetani kwa asilimia 100. Hao wa Mbeya na Moshi ni waganga wa kienyeji ambao ni mawakala wa shetani 100%. Sasa fumbo linabaki kwa mwanzilishi wa vikombe, babu "Ambi" na kwa mujibu wa Majimoto huyu naye ni wakala wa shetani.
 
Ni wakala wa kuzimu, anajua anachofanya, usiku wa manane huletewa dawa kutoka kuzimu anazochanganya na mizizi kwa kunywesha watu siku inayofuata.
Naona hii thread ni ya kureply kwa quote. Majimoto kwa kweli!!! Mbona wanaopaka kikombe wanapata nafuu? Au ni kwa muda tuu?
 
Na viongozi wetu wengi wamekunywa, wengine kisirisiri na wengine bila kificho.Kumbe wemejiungamanisha!!!!!!!
 
Majimoto kwa kweli nimesoma kwa siku moja na ikibidi kuipia tena ila kuna swali hapo juu umeulizwa kwa wale waliokwishapata kikombe wafanayeje basi waepukane na hiyo Mauti/Kifo

Swali langu jingine ni kuwa nimekuwa nikiangalia sana vipindi wa Emmanuel Chanel na kuna siku alikuwa anasema kuna laana ya kufilisika ambayo huandama kizazi hadi kizazi,kweli nikarecall na kwetu babu yangu upande wa baba alikuwa tajiri sana mwenye mali yakiwemo mashamba na ni wa kwanza kuwa na gari kijijini hapo Kilimanjaro,yaani ameishiwa imekuwa historia,ikafuata kwa wazazi naye baba alikuwa vizuri,zilimwandama kesi za ajabu ajabu,na kuibiwa na hatimaye hayuko vizuri kama zamani,baba mkubwa naye alikuwa na kampuni ya Utalii hapo Arusha Kakakuona Tours hadi kupata tuzo ya kuendesha huduma hiyo vizuri huko Spain,jamani amekuwa choka mbaya.
Kwani ilitokea tu akawa hasimamii shughuli za ofisi vizuri kama hapo awali,akawa ana shinda bar hakuwa hivyo awali lakini ilitokea hivyo tu.
Baada ya kuona hivi na kukagua kizazi cha upande wa baba hii inawatafuna je inaweza kuwa ni laana au ni jini katumwa?

Nitakupm ili kupata maelezo ya maswali personal zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…