Biashara ya Uchawi Tanzania

Biashara ya Uchawi Tanzania

HATI ya KIFO

Nimekuwa mbali na safu hii kwa muda, baada ya safari ya mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma, kwa sasa nipo Mbamba Bay kandokando ya ziwa Nyasa wilayani Mbinga. Yapo mambo yanayoonekana kuwa ni mambo ya heri, yameanza kujiinua kwa nguvu kubwa na bado yanazidi kujiinua ndani ya taifa la Tanzania.

Katika safu zangu ya nyuma niliweka maelezo kama yanavyosomeka hapo juu, kuhusu mambo yaliyolikuta taifa la Tanzania katika ulimwengu usioonekana, leo nitazungumzia baadhi ya mambo na harakati kubwa za kuzimu, wakijaribu kujinasua na anguko lililowapata.

Utawala ulioliongoza taifa ulisambaratishwa na kufutwa kabisa katika ulimwengu usiooneka, mwishoni mwa mwaka jana 2010, baada ya kufanya makufuru makubwa. Kusambaratishwa kwa utawala wa zamani wa dunia ya Tanzania, kumewapa taabu kubwa mamlaka za kuzimu ambazo zimejipanga upya kukabiliana na hali hiyo.

Kwa kuanzia kuzimu wamepandisha duniani majini mengi ya mlipuko, majini haya huwaingia wanaadamu na wakishawaingia hufanya kile walichoamriwa na kuzimu kukifanya wakiwa ndani ya watu hawa. Kujenga utawala ulioanguka katika ulimwengu usioonekana damu ya binadamu ni malighafi muhimu inayohitajika na ni lazima ipatikane kwa namna yoyote. Maazimio ya vikao vya kuzimu ni kupata mapipa mengi yaliyajaa damu za binadamu ili kazi ifanikiwe, na namna ya kuipata ni kusababisha ajali sehemu mbalimbali za nchi yetu, kazi hii kwa sasa inaendelea kufanyika kwa nguvu.

Hatua ya pili ni kuharakisha vifo vya watu kwa kuwauzia hati ya kifo kwa bei nafuu, vikao vilitambua matatizo ya maradhi aina mbalimbali waliyo nayo Watanzania wengi, na wengi wao wamekuwa siyo rahisi hata kidogo kuwatumia mawakala wao waliopo duniani wakijulikana kama waganga wa kienyeji. Hivyo haya majini ya mlipuko yalielekezwa yawaingie viongozi wa dini ya Kikristo, ambao walikuwa na mahusiano na kuzimu, kwa kufanya hivyo watu wengi wasiokubali huduma za waganga wa kienyeji watakamatika kirahisi, majini haya yakiwa ndani ya watumishi hawa huwatokea kwenye ndoto na kupewa miongozo jinsi ya kutenda kazi. Kimsingi kinachofanyika majini haya ndiyo yenyewe yanagawa hizo dawa zilizotoka kuzimu kwa kutumia mikono ya hawa wanadamu. Utabibu huu wa kuzimu unaonekana kuleta ahueni kwa baadhi ya watu, lakini ukweli ni kuwa KILA mtu aliyenyweshwa kikombe na majini haya, mambo makubwa na ya hatari sana yako mbele yake.

Nilizungumzia aibu watakayokuwa wanaipata watawala waliokataliwa, kwani kila jambo watakalolifanya kuwahadaa wananchi wataishia kwenye aibu, tumeshuhudia madudu yao waliyoyafanya katika harakati zao za kuibadili katiba ya Tanzania.

Bravo Majimoto waambie bana mimi nikisema the power hand is changed hawaamini. Wanadhani ni mastermind fulani ndo anatengeneza anguko la mafisadi na utawala wao uliojifungamanisha na kuzimu. Hakuna atakaye salia then they would come to understand what it means by the mighty hand of God; Jesus and the mighty power of God; The Hollyghost. Tuko hapa Kings katika newly established Kingdom tumeamua kusimama kwa zamu zetu hadi tuhakikishe kila kona ya Tanzania iko huru na anga lote liko wazi dhidi ya marine waters and powers and prinicipalities. Yupo mnajimu wao mmoja atakuwa anaona maruwe ruwe maana nimesha toboa mboni za macho yake kiasi kuwa katika TV yake antena haikamati tena anaona chenga chenga station zote nimeng'oa minara. Sasa wako confused na soon wataanza kunyanyua silaha na kuuana wao kwa wao. Hakuna damu ya innocent mtanzania itamwagika ole wao na watoto wao maana wakikosa damu inabidi watoe kafara uzao wa matumbo yao! Glory and honour to our God almighty for without you nothing is possible. Let your name increase and mine decrease continue to use me Lord for your own Glory. In Jesus name I thank you Amen!
 
Wanakimbilia hati ya kifo inayouzwa kwa gharama ya shilingi mia tano.
Ooh Mungu wangu, sasa Majimoto, hii hati ya kifo lini inatekelezwa, au lini watu wanaanza kufa, maana hadi naogopa, kila kaya kutakuwa na vifo si chini ya vitatu
 
mjm kutokana na haya unayoelezea, ina maana babu aaelewa hicho ambacho kinafanyikka, ama ndiyo naye amefanyiwa ile high Tech science kutoka ulimwengu ule.
 
Ni wakala wa kuzimu, anajua anachofanya, usiku wa manane huletewa dawa kutoka kuzimu anazochanganya na mizizi kwa kunywesha watu siku inayofuata.
 
Maji moto, what should I do then if I have already taken the Cup. Should I just seat and wait for my Death?
 
Du Majimoto, wewe mwenyewe una exist ktk ulimwengu usionekana? nikiwa na maana hata malaika na viumbe vyenye nia nzuri na binadamu wa kawaida mkuu.
 
Majini ni moja ya viumbe ambao hawaonekani kwa macho katika ulimwengu unaoonekana kuna aina kuu mbili za majini, yapo majini yaliyovurumishwa kutoka mbinguni baada ya kuasi, na yapo majini yanayotengenezwa kwa kufuata mila za Kiarabu, majini yaliyo vyurumishwa toka mbinguni yanamjua Mungu na siku zote hawasogelei nyumba za ibada, kwani wanaujua moto wake, majini ya kutengeneza hayaelewi chochote na huingia kwenye nyumba za ibada wenyewe kwa kutumwa au wakiwa ndani ya mwili wa mtu. Ndiyo maana yanapokemewa, hupiga kelele za kuunguzwa na moto.

Ili haya majini nayo yaweze kufanya ibada yao, Hutawanyika kwenye maeneo au nyumba zenye kawaida ya ibada na kuwalaza wahusika usingizi mzito, kwani kwenye ulimwengu usioonekana neno la Mungu ni moto makali sana na mara nyingi wamekuwa wakiumizwa vibaya sana. Mara kwa mara wamekuwa wakikosa kufanya ibada kwa kuwa huwa wamejeruhiwa, na ni najisi kufanya ibada ukiwa na majeraha ya damu.

Mbona babu wa loliondo anatamka kuwa ametumwa nae?
 
Kazi ipo wana wa nchi!
Nina ndugu kadhaa wamekwenda kwa ''babu'' am not sure what will hapen to them.
'PLEASE LORD DO SOMETHING FOR US'
 
Ni wakala wa kuzimu, anajua anachofanya, usiku wa manane huletewa dawa kutoka kuzimu anazochanganya na mizizi kwa kunywesha watu siku inayofuata.

kwanza welcome back, nilikuwa nakusubiri kwa hamu sana.
Duuh!! Majimoto..nimeshaogopa..sasa yule mjomba na shangazi yangu wote watakufa!!!loh!!maskini

Mimi sielewi kitu majimoto hebu fafanua we hizi data unatoa wapi?
unaongea na hao wa kuzimu au inakuwaje???
 
kwenye tafiti zako hujatueleza upande wa vyama vya siasa ni chama kipi kinaoongoza kaw kununua uchawi?
 
:alien: maji moto, Acha kutisha wenzako,watu wamepata kikombe leo ni zaidi ya mwezi na hamna dalili mbaya.
hicho usemacho ni sawa na muhubiri wa dini anaoposema dhambi ni mauti,and utakufa ktk dhambi
kikombe cha babu kimewapa watu wengi unafuu mkubwa sana wa maisha yao ya day to day,so kama kufa kila mtu atakufa kwa wakati wake.
please endelea kutupa tamthilia za wachawi ,ndo zinamvuto kwa watu wengi ktk hii thread
 
Vyuo kabisa vya uchawi vipo Tanzania? Sijawahi kusikia
 
Ni wakala wa kuzimu, anajua anachofanya, usiku wa manane huletewa dawa kutoka kuzimu anazochanganya na mizizi kwa kunywesha watu siku inayofuata.

Are you sure? Au unaongea tu?
 
Ooh Mungu wangu, sasa Majimoto, hii hati ya kifo lini inatekelezwa, au lini watu wanaanza kufa, maana hadi naogopa, kila kaya kutakuwa na vifo si chini ya vitatu

Wewe kwa nini muongo hivyo? Vifo zaidi ya vitatu kila kaya? Majimoto anakudanganya
 
HATI ya KIFO

Nimekuwa mbali na safu hii kwa muda, baada ya safari ya mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma, kwa sasa nipo Mbamba Bay kandokando ya ziwa Nyasa wilayani Mbinga. Yapo mambo yanayoonekana kuwa ni mambo ya heri, yameanza kujiinua kwa nguvu kubwa na bado yanazidi kujiinua ndani ya taifa la Tanzania.

Katika safu zangu ya nyuma niliweka maelezo kama yanavyosomeka hapo juu, kuhusu mambo yaliyolikuta taifa la Tanzania katika ulimwengu usioonekana, leo nitazungumzia baadhi ya mambo na harakati kubwa za kuzimu, wakijaribu kujinasua na anguko lililowapata.

Utawala ulioliongoza taifa ulisambaratishwa na kufutwa kabisa katika ulimwengu usiooneka, mwishoni mwa mwaka jana 2010, baada ya kufanya makufuru makubwa. Kusambaratishwa kwa utawala wa zamani wa dunia ya Tanzania, kumewapa taabu kubwa mamlaka za kuzimu ambazo zimejipanga upya kukabiliana na hali hiyo.

Kwa kuanzia kuzimu wamepandisha duniani majini mengi ya mlipuko, majini haya huwaingia wanaadamu na wakishawaingia hufanya kile walichoamriwa na kuzimu kukifanya wakiwa ndani ya watu hawa. Kujenga utawala ulioanguka katika ulimwengu usioonekana damu ya binadamu ni malighafi muhimu inayohitajika na ni lazima ipatikane kwa namna yoyote. Maazimio ya vikao vya kuzimu ni kupata mapipa mengi yaliyajaa damu za binadamu ili kazi ifanikiwe, na namna ya kuipata ni kusababisha ajali sehemu mbalimbali za nchi yetu, kazi hii kwa sasa inaendelea kufanyika kwa nguvu.

Hatua ya pili ni kuharakisha vifo vya watu kwa kuwauzia hati ya kifo kwa bei nafuu, vikao vilitambua matatizo ya maradhi aina mbalimbali waliyo nayo Watanzania wengi, na wengi wao wamekuwa siyo rahisi hata kidogo kuwatumia mawakala wao waliopo duniani wakijulikana kama waganga wa kienyeji. Hivyo haya majini ya mlipuko yalielekezwa yawaingie viongozi wa dini ya Kikristo, ambao walikuwa na mahusiano na kuzimu, kwa kufanya hivyo watu wengi wasiokubali huduma za waganga wa kienyeji watakamatika kirahisi, majini haya yakiwa ndani ya watumishi hawa huwatokea kwenye ndoto na kupewa miongozo jinsi ya kutenda kazi. Kimsingi kinachofanyika majini haya ndiyo yenyewe yanagawa hizo dawa zilizotoka kuzimu kwa kutumia mikono ya hawa wanadamu. Utabibu huu wa kuzimu unaonekana kuleta ahueni kwa baadhi ya watu, lakini ukweli ni kuwa KILA mtu aliyenyweshwa kikombe na majini haya, mambo makubwa na ya hatari sana yako mbele yake.

Nilizungumzia aibu watakayokuwa wanaipata watawala waliokataliwa, kwani kila jambo watakalolifanya kuwahadaa wananchi wataishia kwenye aibu, tumeshuhudia madudu yao waliyoyafanya katika harakati zao za kuibadili katiba ya Tanzania.

Acha kuogopesha watu we majimoto.
 
Wandugu hii ni hatari sasa. Kwa kweli mlipuko wa vikombe unatisha kwa sasa nchini Tanzania. Huko Tabora ameibuka yule dada na kusema ameoteshwa na bikra Maria. That is completely the devil kwa maana bikra Maria hana sehemu yeyote katika utendaji wa mambo ya Ki-MUNGU. Mambo ya Ki-Mungu yanafanywa na MUNGU mwenyewe (i.e The Father, The Son and the Holy Spirit) na mawakala wa kufikisha ujumbe kwa wanadamu ni Malaika. Kama YESU mwenyewe ameamua kumtokea mtu moja kwa moja hufanya hivyo na si bikra Maria ambaye ni binadamu kama mimi na wewe. Huko Morogoro ametokea dada mmoja wa Kijahidina na kikombe chake, huyu ana ufunuo wa majini ambao ni mashetani kwa asilimia 100. Hao wa Mbeya na Moshi ni waganga wa kienyeji ambao ni mawakala wa shetani 100%. Sasa fumbo linabaki kwa mwanzilishi wa vikombe, babu "Ambi" na kwa mujibu wa Majimoto huyu naye ni wakala wa shetani.
 
Ni wakala wa kuzimu, anajua anachofanya, usiku wa manane huletewa dawa kutoka kuzimu anazochanganya na mizizi kwa kunywesha watu siku inayofuata.
Naona hii thread ni ya kureply kwa quote. Majimoto kwa kweli!!! Mbona wanaopaka kikombe wanapata nafuu? Au ni kwa muda tuu?
 
Na viongozi wetu wengi wamekunywa, wengine kisirisiri na wengine bila kificho.Kumbe wemejiungamanisha!!!!!!!
 
Majimoto kwa kweli nimesoma kwa siku moja na ikibidi kuipia tena ila kuna swali hapo juu umeulizwa kwa wale waliokwishapata kikombe wafanayeje basi waepukane na hiyo Mauti/Kifo

Swali langu jingine ni kuwa nimekuwa nikiangalia sana vipindi wa Emmanuel Chanel na kuna siku alikuwa anasema kuna laana ya kufilisika ambayo huandama kizazi hadi kizazi,kweli nikarecall na kwetu babu yangu upande wa baba alikuwa tajiri sana mwenye mali yakiwemo mashamba na ni wa kwanza kuwa na gari kijijini hapo Kilimanjaro,yaani ameishiwa imekuwa historia,ikafuata kwa wazazi naye baba alikuwa vizuri,zilimwandama kesi za ajabu ajabu,na kuibiwa na hatimaye hayuko vizuri kama zamani,baba mkubwa naye alikuwa na kampuni ya Utalii hapo Arusha Kakakuona Tours hadi kupata tuzo ya kuendesha huduma hiyo vizuri huko Spain,jamani amekuwa choka mbaya.
Kwani ilitokea tu akawa hasimamii shughuli za ofisi vizuri kama hapo awali,akawa ana shinda bar hakuwa hivyo awali lakini ilitokea hivyo tu.
Baada ya kuona hivi na kukagua kizazi cha upande wa baba hii inawatafuna je inaweza kuwa ni laana au ni jini katumwa?

Nitakupm ili kupata maelezo ya maswali personal zaidi
 
Back
Top Bottom