Biashara ya Uchawi Tanzania

Ngoja kwanza hiki kitabu unasoma kama hadithi au unasomaje?
 
Ukianza kukisoma tu hiko kitabu utajikuta hausomi kama hadithi tena, bali utajikuta ukitamani tu uendelee kujua mengi zaidi yaliyomo, maana kwa namna zote yanagusa Mtima wako na maisha yote kwa ujumla.
kanunue please, ni hapo Mwenge tu
 
ukianza kukisoma tu hiko kitabu utajikuta hausomi kama hadithi tena, bali utajikuta ukitamani tu uendelee kujua mengi zaidi yaliyomo, maana kwa namna zote yanagusa mtima wako na maisha yote kwa ujumla. Kanunue please, ni hapo mwenge tu
kwa mikoani vp mfano arusha na moshi
 
{Nilikuwa natafuta Mkoa wa IRINGA kule ambako kaburi halihamishiki sijauona.}
Na mimi nilikuwa nauangalia huo mkoa kwani kuna watu wengi wanakwenda makete kutafuta dawa ya utajiri
 
Biashara hii ya uchawi kwakweli sasa imekua dili sana kwa ndugu zetu wa kila rika yaani sio wazee,vijana na hata watoto hivyo mi nafkiri source ya ongezeko hili ni imani finyu kwa mwenyezi Mungu,tamaa ya utajiri wa haraka,ugumu wa maisha,mifarakano ndani ya ndoa,tamaa ya uongozi,mila potofu za baadhi ya makabila yanayoaamini kuwa bila ndumba hakuna mafanikio,pamoja na sababu kibaaaaaoo zinazosababishwa na shetani anayesadikiwa kuziteka roho nyingi za wanaadamu..Kumbe hawajui kuwa mali,utajiri na mafanikio ya kweli yanatoka kwa aliyetuumba pamoja na kufanya kazi kwa bidii na maarifa.
 
Mbona unanitisha mkuu? mi si
nafikiri ni vitabu vya usoma tu na kuongeza uelewa? Kwani kuna vitabu
wachawi hawataki watu wasome? Mi sitaki ugomvi na mtu
bwana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

hahahahahahahaaaa shetani hana kitu ni mchovu sn ila tu mikwara yake ndio mizito.
 
Hivyo vitabu vinapatikana wapi mkuu? kama kuna soft copy mwaga humu ndani

Kama unataka soft copy ya hicho kitabu kwa kiswahili hicho cha maombi ya kushinda ni PM au nielekeze jinsi ya kuattach documnet
 
  • Masonic Allegory of Death
    Masons have a peculiar allegory about death that expresses their belief in the afterlife. It's an ominous drawing called "Time and the Virgin" depicting an old man holding a scythe, much like the grim reaper, behind a young female who is weeping over an open book and broken column. The old man is analogous to the Greek god Chronos, an aspect of time personified. This image symbolizes that every Mason must be patient and persevere with thoughts of hope when death strikes, and how once people pass away the concept of time becomes eternal and thus the soul immortal.

  • Masonic Funeral Ceremony
    During a Masonic funeral, the deceased Mason is placed into a coffin with his Masonic attire draped over his body, such as his apron to symbolize how he lived his life in purity and temperance. A piece of evergreen is then laid on his heart to symbolize the immortality of his soul, and the peacefulness in which it now rests. Generally, family and friends attend the funeral service along with other Masonic brothers; even if they did not personally know him, other Masons can pay respect to his life as a member of the Freemasonic fraternity.
    Masonic Prayers
    Every Mason gets the same Masonic prayer recited during his funeral, regardless of his religious background. The Masonic chaplain or clergyman reads a eulogy that speaks about the principles of Freemasonry. The chaplain speaks about how a Mason builds his character the same way he builds a house, and how once a person dies his soul is placed in the temple of heaven, built by God, whom the Masons call "The Grand Architect of the Universe." The prayer may also include the reciting of Psalm 23 from the Bible, which is a standard for many non-Masonic funerals as well.

    Masonic Tombstones
    Many Masons are honored after their death with the erection of a heavily symbolic monument at their gravesite. This monument may include a statue of the Mason's likeness, or just a column with Masonic etching over it. Often, a soldier or commander who fell during a war is given a broken pillar, such as the one displayed in Albany Rural Cemetery, to symbolize the unfinished life. There is also a famous statue called "Friend to Friend" at the Gettysburg Cemetery, which depicts an act of "Brotherly Love" between fellow Freemasons.



 

Kumbe Wewe Majimoto Aka Mama Porojo Ndio Mke Wa Mchungaji Gwajima?




Sehemu tu kati ya watu 400 waliokuwa misukule katika maeneo mbalimbali kama vile mashambani, mapangoni, kwenye misitu, mashimoni, chini ya uvungu, darini, nyuma ya kabati na milango, chini ya bahari, kuzimu, kwa wasoma nyota na sasa wamerudishwa na Bwana Yesu.Watu hawa katika picha wakishuhudia jinsi wachawi walivyowachukua na kuwatumikisha huko msukuleni. Pamoja nao katika picha ni Mchungaji Kiongozi Josephat Gwajima wa kanisa la Glory of Christ Tanzania (Maarufu kama Ufufuo na Uzima)


Posted by Glory of Christ Tanzania Church: Nyumba ya Ufufuo na Uzima at 7:48 AM
 
Hapo kwenye nyekundi mapigo ya moyo yameruka, ukizingatia niko ofisini alone
Mkuu Usiogope kitu Majeshi ya Mashetani hayawezi kuya shinda majeshi ya Mwenyeezi Mungu Mmoja aliye pekee hana mfano wake. ni Upuuzi wa maisha Muombe Mwenyeezi Mungu atakulinda na hila za Mashetani wabaya mkuu Mlachake
 
nimesoma mpaka page ya sita tu lakini hayo majina ya majini katika miji hiyo yote yana majina ya Kiarabu na hayo majina ndugu zetu wa imani ya Kiislamu huyatumia hayo majina. Sijui hii ina maana gani
 

mama porojo tufanyeje ili haya yasitupate?
 
HADITHI ZINGINE MUWE MNAZIHARIRI MNAWAHONGA WATU MTUDANGANYE NI MISUKULE KWANI SIRI YA UREMBO HATUIJUI? Fanyeni biashara halali na siyo kudanganya watu Mungu hapendi Hapo hakuna cha msukule wala nini uwongo mtupu.
 
Wateja wengine wa wachawi
1. Wafanyabiashara
2. Wasanii
3. Kina mama wa nyumbani
4. Wanafunzi wa shule za sekondari hasa wa kidato cha pili.

Mkuu, hiyo namba nne umesema wateja wakuu wa uchawi na wanafunzi wa Sekondari kidato cha pili wapo sasa kwanini wawe wao na sio wanafunzi wengine hasa wa vidato vingine wa vyuo vikuu? na hao wanafunzi wengi wa kidato cha pili ambao umesema ni wateja wakuu wa uchawi wao wanatokea mikoa ipi na sehemu gani?
 
Mhn! kwa kifupi bila hata kufuata takwimu hali ni mbaya sana. watu hawatiaki kufanya kazi na wanategemea mafanikio au mavuno makubwa kwa kazi wasio fanya.matokeo yake wameamua kuamini nguvu za giza.
tunatakiwa tuwaelekeze watu ni jinsi gani wanaweza kujikomboa kwa kujituma na bahati nzuri siku hizi waganga washastuka ukienda wanakupiga hela ya maana lakni watu wamo tu.
 
Nimetamani sana huyu maji moto angeendelea kuwepo hapa jf anijibu maswali yangu kwa mujibu ya maelezo yake,lakini hata mtu mwingine mwenye uelewa naomba anifahamishe
1).majimoto amesema majini yAnawalaza usingizi mzito sana wakristo wakati wa adhana,sasa inamaan adhana inapotoka wakristo wote husinzia popote walipo au alimaanisha nini?
2).alisema kutumia ubani ni katika ibada za kichawi,naomba anieleze je waislamu na wakatoliki ni wachawi?
3)ameweka orodha ya viongozi wanchi za kiarabu tu ndio wanaoenda kuzimu,vipi kuhusu marekani,ulaya na africa?
4).anasemaje kuhusu papa huyu kiongozi wa wakatoliki nae ni mchawi sababu anatumia ubani katika ibada?
Angalizo:
Hii thread ni ya kilokole ambayo hata mistari na misimamo ya alieiandaa imekaa kilokole huku ikijenga hoja ya kuonyesha imani zingine ni za kichawi,nyie mliochangia wengi wenu mmemgeuza huyu majimoto kama ndio kitu gani sijui ambae anajua kila kitu mlichokumbana nacho katika maisha yenu,acheni kuwa wepesi wa kushawishiwa na watu wanaokaa chini yamiamvuli ya dini,hizi ni nyakati za mwisho,kama hutamshikilia MUNGU unaemuamini na kumtii siku zote kwa kufuata maelezo ya mtu ambae hata humjui, na zaidi unashindwa kutumia logic ya kawaida tu. kutambua kuwa shetani anambinu nyingi na hii inaweza kuwa mojawapo.
 
maji moto au Mama Porojo mbona umeamua kupakimbia hapa na yale uliyokuwaa unayasema yanafanyika hapa duniani vp utarudi tena? Au ndio basi tena?
 
Last edited by a moderator:
jamani mbona mi hii ishu ya harufu naisikiaga mara nyingi tu porini? na si huwa tunasema ni nyoka ndiyo anaetoa hiyo harufu!!!
kumbe ni uchawi!!!!
OOH GOD TUEPUSHE NA HAYA!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…