Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,153
- 2,647
Ngoja kwanza hiki kitabu unasoma kama hadithi au unasomaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa mikoani vp mfano arusha na moshiukianza kukisoma tu hiko kitabu utajikuta hausomi kama hadithi tena, bali utajikuta ukitamani tu uendelee kujua mengi zaidi yaliyomo, maana kwa namna zote yanagusa mtima wako na maisha yote kwa ujumla. Kanunue please, ni hapo mwenge tu
Kupata vitabu hivyo kwa Mikoa ya Arusha na Moshi, inahitaji process fulaniKWA MIKOANI VP MFANO ARUSHA NA MOSHI
Mbona unanitisha mkuu? mi si
nafikiri ni vitabu vya usoma tu na kuongeza uelewa? Kwani kuna vitabu
wachawi hawataki watu wasome? Mi sitaki ugomvi na mtu
bwana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hivyo vitabu vinapatikana wapi mkuu? kama kuna soft copy mwaga humu ndani
JE UNAJUA MSUKULE NI NINI?
Msukule ni mtu ambaye anahesabiwa amekufa, lakini ukweli ni kuwa mtu huyo huwa amechukuliwa na Mchawi ili amtumie katika kazi zake maalum au amtumie katika mambo yake mengine anayoyataka.
MSUKULE
Mchawi humfanya mtu huyo awe maiti au kama kitu kinachojiendesha chenyewe kikiwa kimekufa lakini hakijaoza wala hakiozi.
Mchawi kabla ya kumchukua mtu Msukule hufanya Mkataba Maalum na Jini anayeitwa BAKAS ili amsaidie katika kazi hiyo, na kuna Sadaka maalum ambayo hutoa kumlipa Jini huyo kama malipo ya kazi yake. Huyu Bakas ni Jini anayetawala siku ya Jumamosi.
Baada ya kukubaliana na Jini Bakas Mchawi huchagua mtu ambaye anataka kumchukua na akishampata huenda nyumbani kwa mtu huyo kinyume nyume mpaka anafika mlango wa mbele.
Anapofika mlangoni hunyonya roho ya mtu anayemtaka kwa kupitia tundu ya ufunguo na kama tundu hiyo haipo hutoboa tundu ndogo ambayo huiziba akimaliza kazi yake.
Baada ya kuipata roho anayoitaka huitia ndani ya chupa na kuziba chupa hiyo na kuondoka. Kazi hiyo hufanyika usiku wa manane kati ya saa nane na saa tisa usiku.
Siku inayofuata yule aliyechukuliwa roho yake huanza kuugua na hufa ghafla.
Baada ya Mazishi yule Mchawi huenda kaburini akiongozana na yule Jini Bakas ambaye hujigeuza kama babu kizee mwenye ndevu nyingi nyeupe ili kuuchukua ule mwili wa Marehemu.
Wanapofika makaburini yule Jini hukaa upande wa kichwani kwa maiti na mchawi hukaa upande wa miguuni na kila mmoja wao akifanya uchawi wake lakini kazi kubwa ya kumtoa maiti ndani ya kaburi kufanya na Jini.
Jini huomba kwa bidii na kunuiza Uchawi na husema maneno ya kichawi huku akimwaga juu ya kaburi majani ya Mkakaya (Acacia)
Mchawi yeye kwa upande wake husema maneno haya yafuatayo akirudia rudia Mortoo tombo Mivi maana yake ni kwamba aliye ndani ya kaburi ni wangu
Kwa nguvu za Uchawi mwili hutoka kaburini bila ya kaburi kuchimbwa na kusimama mbele yao na yule mchawi hukabidhiwa maiti huyo.
Baada ya kukabidhiwa kitu cha kwanza ambacho hufanya ni kwenda nyumbani na kumuonesha huyo ndugu zake kuona kama atawakumbuka.
Maiti huyo asipozinduka na kuwagundua ndugu zake au kutambua nyumbani kwao basi Mchawi hujua kwamba kazi imekuwa nzuri na hupelekwa nyumbani kwa mchawi.
Wakifika nyumbani Mchawi humrudishia yule Maiti roho ambayo aliiweka ndani ya chupa na kumnywesha dawa kali ambayo itamfanya asahau kabisa maisha yake yote ya nyuma yaliyopita na baada ya hapo maiti huyo atazinduka na kuwa Msukule.
Msukule ni binaadamu anayeishi lakini hana uhuru na anatumiwa kama mtumwa huku ndugu zake au jamaa zake wakijua kwamba amekufa.
Uchawi huu wa kuchukua Msukule ulianza miaka 500 na 1500 A.D. huko nchini Congo na Haiti na kuenea sehemu nyingi za Dunia


Mkuu Usiogope kitu Majeshi ya Mashetani hayawezi kuya shinda majeshi ya Mwenyeezi Mungu Mmoja aliye pekee hana mfano wake. ni Upuuzi wa maisha Muombe Mwenyeezi Mungu atakulinda na hila za Mashetani wabaya mkuu MlachakeHapo kwenye nyekundi mapigo ya moyo yameruka, ukizingatia niko ofisini alone
mkuu, haya mambo yapo, hayo uliyoyaandika ni madogo, laiti macho yako ya ndani yangekuwa na uwezo wa kuona ulimwengu, ungeshangaa dunia ilivyojaa uchafu.
Kwa mfano sasa hivi wapo watu wengi sana barabarani ambao siyo binadamu kabisa, na wengi wameolewa na kuoa bila kujua. Yapo magari mengi yanatembea barabarani jijini sasa hivi yakitokea kuzimu, na mara nyingi yanapomaliza shughuli zao za uharibifu hutoweka, wananchi wanabaki kudai serikali ijenge matuta kupunguza ajali, mtajenga matuta hadi mtashindwa kutembea ndani ya barabara zenu wenyewe.
HADITHI ZINGINE MUWE MNAZIHARIRI MNAWAHONGA WATU MTUDANGANYE NI MISUKULE KWANI SIRI YA UREMBO HATUIJUI? Fanyeni biashara halali na siyo kudanganya watu Mungu hapendi Hapo hakuna cha msukule wala nini uwongo mtupu.Kumbe Wewe Majimoto Aka Mama Porojo Ndio Mke Wa Mchungaji Gwajima?
Sehemu tu kati ya watu 400 waliokuwa misukule katika maeneo mbalimbali kama vile mashambani, mapangoni, kwenye misitu, mashimoni, chini ya uvungu, darini, nyuma ya kabati na milango, chini ya bahari, kuzimu, kwa wasoma nyota na sasa wamerudishwa na Bwana Yesu.Watu hawa katika picha wakishuhudia jinsi wachawi walivyowachukua na kuwatumikisha huko msukuleni. Pamoja nao katika picha ni Mchungaji Kiongozi Josephat Gwajima wa kanisa la Glory of Christ Tanzania (Maarufu kama Ufufuo na Uzima)
Posted by Glory of Christ Tanzania Church: Nyumba ya Ufufuo na Uzima at 7:48 AM
Wateja wengine wa wachawi
1. Wafanyabiashara
2. Wasanii
3. Kina mama wa nyumbani
4. Wanafunzi wa shule za sekondari hasa wa kidato cha pili.
jamani mbona mi hii ishu ya harufu naisikiaga mara nyingi tu porini? na si huwa tunasema ni nyoka ndiyo anaetoa hiyo harufu!!!Nadhani umeshawahi kusikia harufu nzuri ya plau wakati unatembea porini au mashambani sehemu ambayo hakuna nyumba yoyote karibu.
Je unajua harufu hiyo inatoka wapi
Unapopita sehemu hiyo wanapoapishwa wachawi, au karibu na madhabahu za wachawi harufu nzuri ya plau husikika lakini huwezi kuona chochote kwa macho yako. Ujue hapo wanaapishwa wachawi.