MAMA POROJO
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 4,974
- 785
Mkuu Majimoto,kwenye red napinga
????????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Majimoto,kwenye red napinga
Mkuu Majimoto,kwenye red napinga
Majini ni moja ya viumbe ambao hawaonekani kwa macho katika ulimwengu unaoonekana kuna aina kuu mbili za majini, yapo majini yaliyovurumishwa kutoka mbinguni baada ya kuasi, na yapo majini yanayotengenezwa kwa kufuata mila za Kiarabu, majini yaliyo vyurumishwa toka mbinguni yanamjua Mungu na siku zote hawasogelei nyumba za ibada, kwani wanaujua moto wake, majini ya kutengeneza hayaelewi chochote na huingia kwenye nyumba za ibada wenyewe kwa kutumwa au wakiwa ndani ya mwili wa mtu. Ndiyo maana yanapokemewa, hupiga kelele za kuunguzwa na moto.
Ili haya majini nayo yaweze kufanya ibada yao, Hutawanyika kwenye maeneo au nyumba zenye kawaida ya ibada na kuwalaza wahusika usingizi mzito, kwani kwenye ulimwengu usioonekana neno la Mungu ni moto makali sana na mara nyingi wamekuwa wakiumizwa vibaya sana. Mara kwa mara wamekuwa wakikosa kufanya ibada kwa kuwa huwa wamejeruhiwa, na ni najisi kufanya ibada ukiwa na majeraha ya damu.
Lakini Majimoto,unaposema suala la Maijini,mie naona hilo liko Kiimani zaidi.
Unaposema kuna Majini yamefuikuzwa toka Mbinguni,una Maana gani Majimoto,ina Maana Mungu nafuga Majini Mbinguni kweli,na kama ni kweli,aliyaumba ya kazi gani hayo Mjaini ilhal yanakuja ulimwenguni kukwaza kazi zake hapa Duniani Majimoto
Majimoto, una maana wakati Mungu anamuumba Lucifier hakujua kama atakuja kuasi siku moja na kusababisha matatizo yote Majini na Mashetani wanayotuletea balaa hapa Duniani,Mimi siamini katika haya Majimoto,Mungu hana Makusudi kiasi hiko kutuwekea Vikwazo Vya kufika kwake yeye mwenyeweBramo. Lucifier alikuwa malaika mkuu wa sifa Mbinguni, akiwa na malaika wasaidizi, walipotaka kufanya maasi, Mwenyenzi Mungu aliwafukuza na kuwashusha kwenye moyo wa dunia. Kimsingi Lucifier ndiye sasa anajulikana kama shetani na malaika wasaidizi ndio sasa wanajulikana kama majini.
Majimoto, una maana wakati Mungu anamuumba Lucifier hakujua kama atakuja kuasi siku moja na kusababisha matatizo yote Majini na Mashetani wanayotuletea balaa hapa Duniani,Mimi siamini katika haya Majimoto,Mungu hana Makusudi kiasi hiko kutuwekea Vikwazo Vya kufika kwake yeye mwenyewe
Hivi uchawi ndio nini?
Au ni nadharia za chuki tu?
Mbona uchawi hautaji mafanikio kwa wema.
Nikutaja uchawi kwa chuki hata kama mtu amefanikiwa utasikia mchawi huyo!
Mara mwanga huyo!
Mshirikina huyo!
Kama mtu amefanikiwa tatizo liko wapi jaman?
Nipeni ufafanuzi mnanitisha saaaaanaaaa!!!
watu kama nyie lazima mnamiliki fisi na matunguri ndani!!! unajifanya uchawi hujui!!
Mikoa saba nchini Tanzania ndiyo tishio kwa kuwa na nguvu kubwa za uchawi
1. Tanga ndio kinara
2. Lindi unafuatilia
3. Dar es Salaam
4. Mtwara
5. Tabora
6. Kigoma
7. Mwanza
Mikoa yenye wachawi wengi, kwa maana kwamba karibu kila kaya kuna mchawi
1. Sumbawanga (Rukwa) ndio kinara
2. Ruvuma inafuatialia
3. Mbeya
4. Singida
Mikoa ambayo wananchi wake ndio wateja wakuu wa wachawi
1. Kilimanjaro inaongoza
2. Morogoro inafuatilia
3. Kagera
Wateja wengine wa wachawi
1. Wafanyabiashara
2. Wasanii
3. Kina mama wa nyumbani
4. Wanafunzi wa shule za sekondari hasa wa kidato cha pili.
Kwani kuna uongo hapo?Kwa watu wenye mawzo yaliokaa kushoto kama yako "kichawi chawi.. kamwe nchi haitoendelea" nafkiri watu kama nyinyi mkiona wale wazee wenye macho ya rangi ya njano mnawashutumu wachawi kumbe ni jaundice maskini... AMKA DUDE!
Kwani kuna uongo hapo?
Ubani huendana sana na ibada za kishirikina, kila jini lina ubani wa aina yake ambao ukichomwa na kusoma dua, jini hilo hutokea, na kama unataka kulituma utatakiwa ulimweshe kwanza damu ya kuku, mbuzi, ng'ombe au ya binadamu ndipo ulitume kwenda kudhuru watu. Ndiyo maana unapokwenda kwa mganga wa kishenzi atakutaka ulete kuku kwanza ndiyo afanye uchawi wake.
Majini yanafanya Wakristo walale usingizi mzito wakati wa adhana, kwani wakati huo ndio wakati yanakwenda kwenye ibada, na ibada za Wakristo zinawazuia kutembea. Pia yanawafanya Wakiristo walale usingizi mzito wakati wa mahubiri, ndiyo maana makanisani watu wengi hulala fofofo kabisa.
i believe in modern science sio uchawi... inamaana wale wazee macho yanayobadilika rangi wewe unafikiri ni wachawi..?!! kwa hali ya umaskini TZ kwa wazee ni rahisi sana Liver kupata defect na kutokufanya kazi vizuri.. matokeo ni jaundice!.... siamini na pinga mauaji ya vikongwe!
Ni kweli kabisa si kweli kuwa watu wenye macho mekundu au defect ya aina yoyote ni wachawi. Lakini katika jamii yetu uchawi upo na wachawi upo, tatizo ni namna gani tunaweza kuwatambua??i believe in modern science sio uchawi... inamaana wale wazee macho yanayobadilika rangi wewe unafikiri ni wachawi..?!! kwa hali ya umaskini TZ kwa wazee ni rahisi sana Liver kupata defect na kutokufanya kazi vizuri.. matokeo ni jaundice!.... siamini na pinga mauaji ya vikongwe!