NAPENDEKEZA SULUHISHO: Iwe ni marufuku mtu kuonekana hadharani iwe usiku au mchana akiwa amavalia mavazi ya kikahaba!! Tukubaliane kuwa:
1. Hadharani maana yake ni mbele ya watu wengine. Hata kwenye kumbi za starehe ni hadharani! Hata kwenye bar na vilabuni ni hadharani!!
2. Mavazi ya kikahaba ni:
- Vazi lolote la kike ambalo halifiki nchi 6 chini ya magoti.
- Vazi lolote ambalo mpasuko wako wa nyuma unazidi sehemu ya mgoti na kuonesha mapaja wakati mhusika anatembea.
- Vazi lolote lililochanwa kwenye sehemu ya mapaja hivyo kuonesha mwili kupitia michaniko hiyo.
- Vazi lolote linaloonesha sehemu ya matiti/maziwa ya mwanamke. Ule mfereji unaotenganisha matiti/maziwa ya
mwanamke haupaswi kuonekana
- Vazi lolote linaloshikamana na mwili/linalobana mwili kiasi cha kutokutenganisha mwili na vazi (skin tight)
- Vazi lolote linaloacha mgongo wazi. Kusiwe na uwazi chini ya mabega.
- Vazi lolote linaloangaza/transparent na kuonesha nguo za ndani!
3. Atakayepatikana kuvaa mavazi ya kikahaba achapwe viboko hadharani.
4. Kama makahaba wanadai wako kwenye biashara, wakubali kufanya biashara zao bila kuleta kero kwa wengine. Kama makahaba nikikutana nao wakati narudi nyumbani usiku nikiwa na watoto wangu, lakini hawajavaa mavazi ya kikahaba, hakutakuwa na athari kwa wanangu!
Na wengine tuongeze makubaliano::