i wish hii post+comment yako ingekuep0 kabla ya mwezi wa 11 mwaka 2019. asee kilichonitokea sikai niamini kila nikikumbuka mtu from uMILLIONAIRE to nothing inauma mnoooo yaanMkuu anza kukopesha kwa kina mama ama ama kikundi ambao wanahitaji pesa za kudouble ama kuweka akiba ili wapewe mkopo taasisi flani.
Pale wanapopokea pesa zao na wewe huyo, Unachukua chako.
Na hii unawapa wale ambao wana uhakika ndani ya wiki mmoja pesa watakuwa wamepata.riba (30%)
asa kama mdaiwa kaacha dhamana ww unaenda mahakaman kufanya nnHuu mzik ni hatar mzee alaf sasa kesi za madai mahakamn mdaiwa akishakibal kosa anapew achague yy atalip kwa muda gan kwahiy utashangaa pesa yako inazunguk mwaka mzima mkonon kwa mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
hii biashara n nzur ila lazma ujipange uskurupuke... mm nlikopesha wtu wakakausha mpaka leo lakn kuja mji fulan hv jamaa anafanya hii buzness na ana bonge la maisha mzee
kukipata hcho kibali n changamoto..mana kama skosei,BOT wanahtaji uwe na minimum capital ya 20milions
Huyu yeye anafanyaje mkuuhii biashara n nzur ila lazma ujipange uskurupuke... mm nlikopesha wtu wakakausha mpaka leo lakn kuja mji fulan hv jamaa anafanya hii buzness na ana bonge la maisha mzee
Sent from my SM-J320F using Tapatalk
Hawezi kuuza mpaka wewe useme mweny mali kwamba uza nimeshindwa kulipa. Tofauti na hapo ulipe pesa za zake akupe Mali yako.Ana leseni kutoka benki kuu? Kama hana basi atakuwa anafanya biashara haramu na kuna siku itam-cost sana. Kuna watu wameingia kwenye matata kwa sababu ya kufanya hii shuguli bila leseni halali. Na mara nyingi hutokea mkopeshaji atakapokutana na mkopaji jeuri na kuamua kuuza mali yake. Mkopaji akimua kwenda mbele ya sheria basi vinafumuka vitu vingine amabvyo vitabaki vinamshangaza na kumliza mkopeshaji.
Usipofanya hivi watu hawakulipi pesa . Unakopesha wanasepa. ila njia hii wanakutafuta mwenyewe.Huyu anafanana na Zack finance.
Yeye pia hufanya.
Japo yeye riba zake ni 30%
Alinifilisi sana mwaka niliomalizia chuo nilikuwa natafuta pesa ya kwenda kulimia
Nilijikuta kila kitu nimekiweka kwake bond.
Hii njia nzuri lazima vitu vile ufight uvirudishe maana unakuta umeweka flat ya laki 6 na nusu jamaaa anakukopesha laki mbili na nusu.
Nimeelewa sana ila wakorofi kwenye madeni wapo. Na hasa watu wakijua hana leseni wanaweza kumhangaisha.Ila ndiyo hivyo Bongo ukiogopa sana huwezi kula. Afanye lakini awe makini sana.Hawezi kuuza mpaka wewe useme mweny mali kwamba uza nimeshindwa kulipa. Tofauti na hapo ulipe pesa za zake akupe Mali yako.
Mil50 hahahaMtaji wako ni sh ngapi?
Usipofanya hivi watu hawakulipi pesa . Unakopesha wanasepa. ila njia hii wanakutafuta mwenyewe.
Mil50 hahaha
Habari wana Jamiiforums
Kwa mtu ambaye anafanya biashara ya kukopesha pesa kwa riba tunaomba atupe ikoje na hasara zake zikoje na jinsi ya kutatua izo changamoto.
Natanguliza shukrani.. Maana nimevutiwa sana natamani niifanye
Sent using Jamii Forums mobile app
Ana leseni kutoka benki kuu? Kama hana basi atakuwa anafanya biashara haramu na kuna siku itam-cost sana. Kuna watu wameingia kwenye matata kwa sababu ya kufanya hii shuguli bila leseni halali. Na mara nyingi hutokea mkopeshaji atakapokutana na mkopaji jeuri na kuamua kuuza mali yake. Mkopaji akimua kwenda mbele ya sheria basi vinafumuka vitu vingine amabvyo vitabaki vinamshangaza na kumliza mkopeshaji.
Huyu anafanana na Zack finance.
Yeye pia hufanya.
Japo yeye riba zake ni 30%
Alinifilisi sana mwaka niliomalizia chuo nilikuwa natafuta pesa ya kwenda kulimia
Nilijikuta kila kitu nimekiweka kwake bond.
Hii njia nzuri lazima vitu vile ufight uvirudishe maana unakuta umeweka flat ya laki 6 na nusu jamaaa anakukopesha laki mbili na nusu.
Ni biashara inayolipa sana, ni kati ya Biashara Nzuri sana, ila mwisho wake ni mbaya sana! I naleta vilio, magomvi na kuharibu mahusiano!
Kama wewe ni mtu tu mwenye concious na Imani ya sini yeyote, tafuta namna iliyonyoka zaidi ya kutafuta pesa
Huyo anafanya local ndo maana anatoa riba ya 50% kwa mwezi ina maana kwa mwaka riba ni 600%.
BOT wanaziregulate sana hizi microfinance.
Sasa hizi zote zina same interest rate,masharti moja na
zote zinakuwa monitored na CRB hao wa kuwa na riba ya 50% kwa mwezi ni maharamia wa mtaani.na ili uwafanyie watu hivyo inatakiwa uwe na moyo mgumu sana roho mbaya maana kawaida mtu amayekopa laki kwa kulipa laki na nusu na akapelekea tv ya nchi 32 amini nakuambia huyo ana tatizo kubwa na kahangaika kote amekosa hana jinsi tu.
Itabidi na mie nianze mfumo huu.
Nimeipitia hii hapo ktk mtaji 20M parefu kdg ,ila iko vzrMWONGOZO 2 (MABORESHO): Masharti na taratibu za kupata leseni ya biashara ya kutoa mikopo kwa kutumia mtaji binafsi - JamiiForums pitia hiyo thread.
Usifanye local rafiki.
Usifanye kuwaumiza watu au kutaka kutajirika kwa ajili ya shida za watu.
Fuata taratibu za serikali.
Utafaidika mbona satu kibao wanaendesha maisha kwa hizi microfinance.
Kafungua ofisi mkurugenzi mwenyewe na mfanyakazi mmoja huyo ndo secretary sijui loan officer wanapiga mzigo
Kwa huu mtaji inabidi uanze kukopesha majirani tena riba uweke 30% kuendelea.