Biashara ya ukopeshaji pesa kwa riba

mifuko ya cement
Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyu katumia akili na bamutu mingi iko inafanya hv

Sent from my SM-J320F using Tapatalk
 
wapelele BoT wametoa grace period had oktoba 2020, polisi utawaambia umeshafanya application ya leseni yoka BOT, na BOT bado kujujibu kutokana na mchakato wa maandalizi ya noti mpya.
hapo wadawa wako wanaweza anza kulipa madeni yako.
wale wadaiwa wengi wao walikuwa wa mikoan kwa hyio washarud kwao

Sent from my SM-J320F using Tapatalk
 
hawapokei tu, n lazma uwe na receipt au ushahid wa umiliki halali wa hyo mali

Sent from my SM-J320F using Tapatalk
 
Wengine anakupa ATM Card yake na ikikaribia mwisho wa mwezi anaenda kusema kule bank kwamba amepoteza card yake na mwishowe pesa yake ataitolea ndani(counter).
ndugu yang hapa nimesumarize ila ni story ndef yan jamaa ana conection na mabank managers yaan kila mda anaenda kucheki salio lako yan mda mwngne anabadili mpaka namba ya simu ya kwny account such that mshahara ukiingia bas yy ndo anakuwa wa kwanza kujua afu pia wana connection na mapolisi nk

Sent from my SM-J320F using Tapatalk
 
Loan sharking ni dhambi.Watu huwa wanachomewa nyumba zao na kutekwa na wanaowadai.Kuna jamaa alikatwa mapanga usiku kwa sababu ya biashara hii.
 
Una uzito wa kg ngapi mkuu?
Huwa hufanyi mazoezi?
Una kitambi?
Hii biashara ni gym nzuri sana[emoji851]
Kila la kheri!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeshaifanya hii biashara ina faida na hasara zake.....

FAIDA:
-Ni biashara ambayo inajiendesha bila uangalizi/usimamiz wa karibu, unaweza kua unafanya mishe zako zngne na biashara inaenda tu.

-Faida na hasara znajifidiana humo kwa humo, kuna walipaj wazuri na vmeo..zile riba unazopata kutoka kwa walipaj wazuri znafidia za wale vimeo.

-Haina gharama za uendeshaji, hapa singumzii micro

HASARA:
-Kutolipwa hela zako kwa wakati na mda mwngine kutolipwa kabsa

-Kuvunja mahusiano na watu wako wa karibu, hili lazma likutokee unapofanya hii biashara haliepukiki

-Kufilisika, hili ndo kubwa kwenye hii biashara inaweza filisi mtaji wko wote...unaweza kuposha mtu akakimbia, akapatwa na umauti

Ushauri wangu, kwa wakati huu wazo lako la kuanzisha hii biashara achana nalo ngoja hili gonjwa lipite[emoji111]
 
Watu sasa hivi wamekuwa wajanja baada ya kuona wanadhulumiwa. Sasa wanafanya hivi;

Wewe si unataka mkopo wa laki moja Basi tunaandikishana kwamba nimekupa laki na nusu na utatakiwa kuirudisha siku fulani ukishindwa mwezi ukiisha anakuita mnaandikisha na tena ile laki na nusu sasa inakuwa 225,000/=

Sasa hapa hakiiuza Mali yako huna pa kwenda maana makubaliano yanaonesha alikupa pesa bila riba.

God save us
 
Huu mzik ni hatar mzee alaf sasa kesi za madai mahakamn mdaiwa akishakibal kosa anapew achague yy atalip kwa muda gan kwahiy utashangaa pesa yako inazunguk mwaka mzima mkonon kwa mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka pia kuna kifungu katika kesi ya madai kinachosema mtu kama anakudai anaweza akachukua Mali yako inayolingana na kiasi anachokudai na akaiuza na asiwe na kesi ya Kujibu.

Wale wanaokubali nakuomba wapewe mda wa kulipa ni wale ambao hawajaweka kitu bond. Ukisha weka Mali yako bond we lipa tu.

God save us
 
Ni biashara inayolipa sana, ni kati ya Biashara Nzuri sana, ila mwisho wake ni mbaya sana! I naleta vilio, magomvi na kuharibu mahusiano!

Kama wewe ni mtu tu mwenye concious na Imani ya sini yeyote, tafuta namna iliyonyoka zaidi ya kutafuta pesa
Nilimwambia baby mama nataka kufanya hi kitu akanipinga kwa asilimia kubwa sana . sasa hapa naweza nifanye kimya kimya ama

God save us
 
Huyo ni jangili

God save us
 

Sijaongelea bond sijaongelea Biblia, nimesema ni magomvi, na kwangu mie amani Ina thaman sana! Kama una mtizamo tofauti ni sawa!
 
Nimeiekezea hiyo loop hole

God save us
 
[emoji120][emoji120] ubalikiwee
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…