Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 45,757
- 246,786
Uko sahihi na ndicho wanachofanya wakopeshaji wengiToa pesa yako kwa maandishi ila kama faida ni asilimia 50 , ukitoa 100000 anaekopa aandike 150000 ili arudishe 150000 . Hapo hakuna biashara ila ni msaada. TRA hana la kusema.
Sent using Jamii Forums mobile app