Biashara ya Vanilla, Tshs 850,000 kwa kilo; Kuna nini nyuma ya tangazo hili?

Swali; Hilo "soko la Dunia" lipo wapi? Unalifahamu? Je Hawa wakulima wana Certification za kuuza kimataifa mfano Halal, organic e.t.c???
 
Bei ya Vanilla iliyokaushwa sio hiyo ni zaidi ya Milioni moja, wakati Vanilla mbichi ni Laki moja kwa kilo.Mimi nimefika hadi kwenye hicho Kijiji Cha Vanilla.Ishu ilivyo ni kwamba wale jamaa wao wanadai kuwa Wana Soko la kuuzia Vanilla lkn hawana Uwezo wa kifedha kuzalisha vanilla ya kukidhi mahitaji ya Soko.Km una mtaji nakushauri nenda kachukue ploti kule utakuja kunishukuru.Mimi nimeenda nikawahoji maswali yote niliyokuwa nayo akilini mwangu wakanijibu bila shida.Kule kuna plot za Akina Joyce Mhaville mkurugenzi wa ITV na Radio one,Prof.Juma Athuman Kapuya,na wengineo.
 
Mkuu we wekeza tu.
Kila la kheri
 
Swali; Hilo "soko la Dunia" lipo wapi? Unalifahamu? Je Hawa wakulima wana Certification za kuuza kimataifa mfano Halal, organic e.t.c???
Ndio maana yule Jamaa wa Vanilla village anasimamia mwenyewe uzalishaji ili kuhakikisha kuwa anazalisha kadiri ya mahitaji ya Soko.
 
Vipi Bei yako iko je?
Au wanauza je huko uliko
 
Ndugu tuletee mtu ambaye ameuza akapata hiyo Tsh 850,000 kwa kilo atupe ushuhuda
 
Halafu anakuja mhuni tu anasema eti ni utapeli.
Umesahau ya songea mkuu yule jamaa aliye nunua mahind kwa Bei kubwa na kuuza kwa Bei ndogo

Had makamu wa Rais ambaye Rais Sasa alienda na kumpongeza jamaa

Watanzania tusiwe wasahaulifu jaman

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…