Kyawanjubu
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 2,452
- 2,197
wanakata karume ila duu ni bei juu me nilitoka arusha nikavifata dar nilijuta kwanza inatakiwa sa 10 usiku umeshafika viatu viko moshi tena bei ni nzur kuliko dar japo mzigo wanachukua dar na nairobinaomba connection ya viatu vya mtumba daressalaam wanapochana mabelo mzee.....
nitafte nikupe maelekezonaomba connection ya viatu vya mtumba daressalaam wanapochana mabelo mzee.....
hii vp beiviatu vinalipa kweli kama una mtaj hata wa m1 baada ya mwaka unaweza kuwa na mtaj mkubwa sana .me nina biashara nyigine lkn baada ya vyuma kukaza. niliweka kimeza nje ya frem nikaanza na mtaji wa elf 70 nafata moshi naleta arusha vya mtumba. kuna kiatu unanunua elfu 5 kikiwa kichafu ukiosha unauza elf 20, kwa sasa mpaka natamani nihachie frem nibaki nje maana sikosi faida elfu 20 mpaka 30 kwa siku.View attachment 1583207View attachment 1583208View attachment 1583210View attachment 1583211View attachment 1583214View attachment 1583216
Mtumba wa moshi ni mzuri sanawanakata karume ila duu ni bei juu me nilitoka arusha nikavifata dar nilijuta kwanza inatakiwa sa 10 usiku umeshafika viatu viko moshi tena bei ni nzur kuliko dar japo mzigo wanachukua dar na nairobi
Vipi bossviatu vingi hapo ni elfu 8 mpaka 12
poa mkuuVipi boss
asante sana nlikua natafuta comment kama hii ya kunitia moyoBiashara ya viatu nyoko sana mi nilinunua kiatu kwa chinga alianzia elfu 25 nilikua sitaki tu kununha ila ningekua na hela ningempa...akanikazia nikaishia kumpa elfu 10 nikaona nimempiga.Siku nimeenda karume kwa ishu zingine nikakuta wanafungua mabelo kucheki mzee vinauzwa elfu tatu hadi elfu tano top.
Na kiatu hichohicho ukienda makumbusho wanauza elfu 30 kudadadeki msiwadharau machinga watembeza viatu wanapiga hela mazee imagine elfu 10 mtaji pair 3 na ukiuza kwa haraka ndo unalamba elfu 30 , japo vingi wanaanzia bei ya juu akiuza elfu 10 unaona umempiga.
Sijui graduates tunafeli wapi mitaji inaishia kwenye simu na bundle insta afu tunasubiria ajira for f**ng 5 years in vain
moshi mzigo unachukulia wapi mkuuviatu vingi hapo ni elfu 8 mpaka 12
Memoria soko ni j4 na ijumaa kama unatoka arusha unatakiwa kuamka sa 11 ili sa 1 kamili uwe sokon ndo muda wa kufungua mzigomoshi mzigo unachukulia wapi mkuu
sawasawa mkuu, nashukuru kwa muongozoMemoria soko ni j4 na ijumaa kama unatoka arusha unatakiwa kuamka sa 11 ili sa 1 kamili uwe sokon ndo muda wa kufungua mzigo
We unapatikana mkoa ganiMe naomba tuunganishe nguvu mkuu
Ndo nilikuwa naomba ushaur kwa wazoef nfanyajeAnza na kidogo ulicho nacho unafika mbali paka utashangaa mwenyewe
Pamoja sanaSafi sana kwa ushauri
Mimi nipo mwanza wewe upo mkoa gani ili kulingana na mazingira yako tujuwe tunakushauri vipi ila kama upo mwanza itakuwa vizuri zaidiNdo nilikuwa naomba ushaur kwa wazoef nfanyaje
Njoo karume mchikichininaomba connection ya viatu vya mtumba daressalaam wanapochana mabelo mzee.....
Ushaur mzuri njoo field ujionee namna wadau wanavyofanya baada ya wiki utajua km uingie mazima au ufanye shughul nyingineNdo nilikuwa naomba ushaur kwa wazoef nfanyaje
Pamoja sana nduguUshaur mzuri njoo field ujionee namna wadau wanavyofanya baada ya wiki utajua km uingie mazima au ufanye shughul nyingine